Kutakuwa na tatizo katika usahihishaji wa mtihani wa somo la Elimu ya Dini ya Kiislam Kidato cha Nne

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Baraza la mitihani waangalie imekuwaje hakuna wastani mzuri katika somo la Elimu ya Dini ya Kiislam kwenye matokeo ya Kidato cha Nne?

Kuna walakini katika usahihishaji.
Serikali ifanye uchunguzi.

Ili ukweli ubainike. Kama ni watoto wote waliofanya somo hilo hawana uwezo wa kupata A tujue. Ripoti itolewe na iwe wazi kwa kila mtu kuisoma. Ili wazazi waondoa malalamiko yao baada ya kujua kwamba watoto wao hawana uwezo wa kufaulu grade A ya somo hilo.

Asante
 
Baraza la mitihani waangalie.
Imekuwaje hakuna wastani mzuri katika somo la Elimu ya Dini ya Kiislam kwenye matokeo ya kidato cha nne?

Nilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)

Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%

Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.

Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.

Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.

Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISTS .

Sikuhitaji kukata rufaa kwa sababu zangu binafsi.
 
Nilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)

Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%

Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.

Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.

Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.

Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISM.

Kwani uwa inasahishwa na nani mkuu?
 
Ungefuatilia baraza la mitihani, nilishawahi kuona mwanafunzi tuliekua tunamuamini sana kwamba afaulu somo la dini ya kiislam lakini akapata D

Utaratibu unaotumika kufundisha uislam madrasa ni tofauti na uliopo kwenye syllabus ya somo la maarifa ya kiislam na shida ndio huanzia hapo.
 
Baraza la mitihani waangalie.
Imekuwaje hakuna wastani mzuri katika somo la Elimu ya Dini ya Kiislam kwenye matokeo ya kidato cha nne?
Kuna walakini katika usahihishaji.
Serikali ifanye uchunguzi.
Ili ukweli ubainike. Kama ni watoto wote waliofanya somo hilo hawana uwezo wa kupata A tujue. Ripoti itolewe na iwe wazi kwa kila mtu kuisoma. Ili wazazi waondoa malalamiko yao baada ya kujua kwamba watoto wao hawana uwezo wa kufaulu grade A ya somo hilo.
Asante
Ungekuwa unajua namna mitihani inavyotungwa na kusahihishwa usingeleta hii mada yako hapa.
Nikwambie tu kama mtihani una maswali 10, basi utapitiwa na watu wasiopungua 14.
Walimu 10 wanaofundisha hilo somo watasahihisha kila mtu swali lake kwa Chain. Karàtasi ikitoka hapo inapita kwa Checker anakagua kama maswali yote yamepitiwa na alama alizopewa in sahihi. Karatasi inapita kwa mtu wa kutotal alama. Baada ya hapo inaenda computer kujazwa. Baada ya kutoka computer kuna watu tena wanahakiki kama alama za computer ni sawa na zilizo kwenye karatasi. Mchakato n mrefu mno kuonewa sio rahisi kama unavyodhani
 
Nilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)

Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%

Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.

Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.

Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.

Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISM.

Sikuhitaji kukata rufaa kwa sababu zangu binafsi.
Hii kitu ipo Sana .......matokeo ya somo hili huwa ndo Ivo ...ukijitahid ukapata C we n mtabe sijui ni mini kinafanyika ....japo watu wanakaa kimya but naamini kuna kitu hakipo sawa.
 
Sijisifu ila nguo nilikua vizuri sana somo la dini. Ilivyofika kujiandikisha sikujiandikisha basi mwalimu wa somo (ostaadh) akanifata akaniuliza vipi mbona hukujiandikisha kufanya Islamic? Nikamwambia itanichafulia cheti changu.
 
Nilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)

Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%

Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.

Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.

Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.

Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISM.

Sikuhitaji kukata rufaa kwa sababu zangu binafsi.
The end determines the beginning..wewe ulikua kilaza tu..kule kwingine ulibahatisha..necta ulikua pekeako ukakosa wa kuegelezea ndio mana ulifeli.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom