Wafuasi wa Zumaridi wanapotoa Somo kwa Makamanda

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,180
36,174
Wafuasi wa Zumaridi wakiwamo makerubi wameendelea kutoa masomo kwa makamanda wote bila kujali upande wao kuhusiana na nguvu ya umma.

Walipo sasa wanaliliwa hali ili wakubali kupewa dhamana.

Kwa hakika imekuwa mzigo wa kutosha kwa timu pendwa hii:

IMG_20220307_180618_102.jpg

Hawa ni watu 85 tu, sembuse wangekuwa 100?

Namba hazidanganyi.

Kamanda Sirro sikia mambo kwani amani ni tundra la haki.

Source: Wafuasi 40 wa 'Mfalme Zumaridi' wakubali kuachiwa kwa dhamana
 
Sio kwamba wamekosa pa kuwaweka ila wanaona hasmwastahili kupelekwa pasipofaa!
 
Wafuasi wa Zumaridi wakiwamo makerubi wameendelea kutoa masomo kwa makamanda wote bila kujali upande wao kuhusiana na nguvu ya umma.

Walipo sasa wanaliliwa hali ili wakubali kupewa dhamana.

Kwa hakika imekuwa mzigo wa kutosha kwa timu pendwa hii:

View attachment 2146478

Hawa ni watu 85 tu, sembuse wangekuwa 100?

Namba hazidanganyi.

Kamanda Sirro sikia mambo kwani amani ni tundra la haki.

Source: Wafuasi 40 wa 'Mfalme Zumaridi' wakubali kuachiwa kwa dhamana
Hivi bado wanampigia saluti Makonda?
 
Nakubaliana nawe mh. denooJ, kupata mafunzo labda haiwezekani. Labda yamekuwa mengi mno na miluzi mingi imekuwa tatizo zaidi.
 
Back
Top Bottom