soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania, Rwanda na Uganda zaunda soko moja la hisa

    Nyakati zabadilika kweli. Tanzania Uganda, na Rwanda zimeungana kuunda soko moja la hisa. Tumetoka siku za COW hivi sasa nchi za Africa mashariki zinaendelea kuitenga Kenya. Kenya imepoteza deals kadha za ukanda huu kwa mda wa hivi karibuni but we still hold strong. Haya yote yanafanyika bila...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachina wachangamkia parachichi kutoka Kenya, walivyo wengi lile ni soko litakalotutoa kimasomaso

    Mapingamizi yote yameondolewa na tayari kontena zimeanza kutua Uchina, ni mwendo wa kukusanya hela, wakulima wetu mpoooo!!! Kenya has started export of frozen avocado to China, yielding to pressure on conditions that Beijing had issued before they allow in imports of the fruit from the country...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanaouza viungo kwa kilo Kariakoo Soko Dogo wananunua wapi?

    Nahitaji kujua supplier wa viungo kwa jumla. Viwango vya kilo 50 kwenda juu. Wawe juu ya wanaouza viungo Kariakoo.
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ajira hizi wanapata shida kwenye Soko la Ndoa. Wanaume huwakwepa

    Kumekuwa na malalamiko sana kutoka kwa Makundi haya ya Wanawake kuhusiana na mtizamo wa Wanaume wengi juu ya Kazi zao. 1. Wanasiasa 2. Manesi 3. Masekretari 4. Askari/ Wanajeshi 5. Wanasheria 6. Wafanya biashara wanaosafiri safiri 7. Air hostess 8. Wasanii Wanaume wengi wamekuwa wakiogopa kuoa...
  5. JamiiForums Tanzania Mkazo zaidi unatakiwa kuwekwa kwenye Soko la Ndani katika kuendeleza Uchumi

    Rais Xi Jinping wa China ametoa mwito wa kuweka msisitizo kwenye kuunda mtindo mpya wa maendeleo, ambapo soko la ndani na solo la nje yanahimizana, lakini soko la ndani kuwa njia kuu ya kuendeleza uchumi. Rais Xi amesema hili ni “chaguo la kimkakati” kwa China kwenye ushirikiano wa kimataifa na...
  6. JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  7. JamiiForums Tanzania Soko la hisa toeni elimu Kuepusha kama mambo ya Desi na Mr. Kuku

    Najaribu kujiwekea Akiba ya hivi visenti vyangu kwa kuangalia tofauti ya taasisi mbali mbali. Kitu kinachonishangaza ni kwamba utaratibu wa mamlaka kutoa elimu ya kwenye haya masoko ya hisa imekuwa mgumu binafsi nimekwenda zaidi ya mara kadhaa DSE na UTT ila kiukweli sijaelewa chochote mbaya...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi makampuni ya Kenya yanavyozidi kuliteka soko la EAC lenye idadi ya watu milioni 150

    Soko la EAC linazid kufungua milango, makampuni ya Kenya kwa ujasiri yanazidi kutanua na yapo kwenye kila taifa mwanachama wa huu muungano, safi sana kwa kweli. Takwimu za hivi majuzi zimeonyesha jinsi mauzo yetu kwenda kwenye haya mataifa yameongezeka pakubwa, huu ndio muda wa kila mmoja wetu...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wapi soko la Silcon liquid lilipo?

    Wakuu, napenda kujua Silcon inayotoka kwenye miamba inakuwa ya moto ukiweka Taster inawaka inakuwa Red na black. Solo lake lipo wapi na bei yake ikoje per litre.
  10. JamiiForums Tanzania Soko la Network Engineering Tanzania

    Wadau naomba ushauri juu ya soko (kwa upande wa ajira) mimi nasoma Bachelor of Computer Engineering, MUST, siko interested sana na coding. Nafkiria kuspecialize na Network & System Administration kwenye suala la ajira iko vp hii? Na ni sector zipi zina uhitaji wa ao watu wa network?
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: KEMSA yashutumiwa kufanya ununuzi wa vifaa kinga dhidi ya Corona kwa mara mbili ya bei halisi

    Kenya Medical Supply (KEMSA) ambayo inahusika na ununuzi wa dawa na vifaa tiba kwa vituo vyote vya Afya vilivyopo Kenya imeingia katika kashfa nyingine kutokana na ununuzi wa vifaa vya dharura dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Taarifa zinasema vifaa hivyo vilinunuliwa kwa gharama ya juu sana...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya mahindi soko la Songea Mjini

    Wakuu nahitaji kufahamu bei ya mahindi pale Songea Mjini kuna mdau anafahamu basi anisaidie maana nahitaji mzigo mwingi.
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo ya kufungua soko lote la USA kwa bidhaa za Wakenya

    Huu mkataba utakua wa kwanza baina ya Marekani na taifa la ukanda huu wa Sahara, ikumbukwe Marekani ndio ya tatu kwenye soko la bidhaa zetu na sasa inafungua soko lote wazi kwa ajili yetu. Ni muda wa kuchangamkia mbele kwa mbele, takwimu zinasema yaani hata tukipata asilimia tano tu (5%) ya...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dodoma Stendi kama Ulaya vs Nairobi Soko la Wakulima

    Leo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. 😂😂😂😂 Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania? Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona kila project ndogo ya Tanzania lazima itangazwe hapa kwa section ya Kenya? 😂 😂 😂 Haya oneni pia...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu izibadilishe shule za msingi za Serikali ziwe English Medium. Soko kubwa sana, Serikali ipate hela ya ada yanayovunwa na watu binafsi

    Habari wadau Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana. Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni...
  16. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Taswira ya soko la Kariakoo, Mchague Tundu Lissu

  17. JamiiForums Tanzania Soko la barakoa na sanitizer linafifia!

    Kutokana na leo 16.06.2020 Rais JPM akilivunja bunge, ametangaza shule zote zitafunguliwa 29.06.2020 zilizokuwa zimefungwa mnamo April 17 kutokana na ugonywa wa covid 19. Hivyo wenye stock za barakoa na sanitizer ni wakati wa kuzimalizia hata kwa kurudisha mtaji! Maana zinakosa soko Kama ndoo...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlipuko mpya wa virusi vya Corona waibuka jijini Beijing, China kutoka kwa samaki kwenye soko la vyakula la Xianfadi

    Wakazi wa Beijing wamerudi kwenye hali ya taharuki ya hapo awali janga la Corona lilipoibuka baada ya serikali yao kuweka sehemu za jiji lao kwenye total lockdown na kuwashurutisha maelfu ya watu kupimwa. Hii inafatia mkurupuko mpya wa COVID-19 ulioibuka kutoka kwa samaki aina ya 'Salmon' ndani...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeuza mayai ya kisasa kwa Dar es Salaam

    Habari ndugu zangu.. Kama kuna mtu anauza mayai ya kuku wa kisasa na yupo Dar naomba tuwasiliane. Nahitaji tray zaidi ya 300.. Nitafurahi sana kama nitapata fursa ya kukutana na huyo mtu
  20. JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta soko la Rosela

    Habarini wana jamvi, Kama kichwa kinavyosomeka. Mimi nipo Geita na nina takribani gunia nne za hilo zao na bado naendelea na uvunaji. Natafuta mtu anayehitaji hii bidhaa nimuuzie. Nikipata maelekezo pia kuhusu mahali ambapo naweza kuuzia itakuwa ni vema pia. Nitasoma replies pia. Naombeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…