Dodoma Stendi kama Ulaya vs Nairobi Soko la Wakulima

kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
4,316
3,683
Leo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania?

Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona kila project ndogo ya Tanzania lazima itangazwe hapa kwa section ya Kenya? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Haya oneni pia Sonko amejenga soko ya masaa 24.

wakulima.JPG

Inaonekana ni kama Dodoma bus terminal imewapenya kweli kweli na huo ni mwanzo tu,

Kwa video ni soko jipwa dodoma.

Aje sasa bus terminal inayokaa kujengwa miaka ya 1970s itupenye? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Bus terminal za kisasa zinakaa hivi. Hii design yenu mtaishi nayo miaka 100 ijayo. Mlikuwa na nafasi ya kurekebisha lakini wapi.

bus1.JPG
bus2.JPG
bus3.JPG
 
Embu post hizo bus terminal zenu za kisasa tuone.

Imewapenya na huo ni mwanzo tu.

Yaani unajibu comment yangu kwa kutumia bus terminal za wenyewe badala utumie za kenya kunijibu

Mbona mkajenga stendi mpya 2020, lakini design ya jengo ni 1970?

Nairobi hatuna stendi mpya ya basi. Lakini itakapo jengwa design itakuwa ya 21st century.
 
Story za wakati ujao "itakapo jengwa" ama kweli wivu na ujinga ni kitu mbaya sana,

Halafu nimekujibu hapo kwa kupost soko jipwa Dodoma usijifanye hujaona,

Hii nyingine inajengwa Mbezi Dar es salaam na ujenzi ulianza kitambo.

Nairobi stendi tutajenga haja ikitokea.

Pia, jiji la Nairobi ni jiji la stendi mingi. Haliwezi shibishwa na stendi moja.

Stendi zake za kwenda kila kona ya nchi zimetapakaa kote. Hii pia ni kuwezesha biashara za streets mbali mbali.

Hatuwezi katupa mabasi yote eneo moja kama kijiji cha Dodoma. Tukifanya hivi tutamaliza uchumi wa maeneo mbali mbali ya jiji.
 
Hivi una habari ni stendi ngapi zimejengwa Tz na zinazoendelea kujengwa au unaandika tu vitu kujipa matumaini,

Naona unaendelea kudhihirisha kuwa ni rasmi Dodoma vs Nairobi,

Halafu umeandika Nairobi ni jiji la stendi nyingi..hivi unafahamu Dar ina stendi ngapi!

Nyie bakini na stendi zenu za "Shukisha hapo kwa mlima"

Halafu embu post hizo stendi nyingi unazodai ziko Nairobi tuzione.
 
Nairobi stendi tutajenga haja ikitokea.
Pia, jiji la Nairobi ni jiji la stendi mingi. Haliwezi shibishwa na stendi moja.
Stendi zake za kwenda kila kona ya nchi zimetapakaa kote. Hii pia ni kuwezesha biashara za streets mbali mbali.

Hatuwezi katupa mabasi yote eneo moja kama kijiji cha Dodoma. Tukifanya hivi tutamaliza uchumi wa maeneo mbali mbali ya jiji.
Kwahiyo hata airport mnazo nyingi hapo Nairobi kila ndege inatua kwenye Airport yake? Inaonesha hata maana ya regional bus terminal hujui maana yake

Unafikiri hiyo ni kama commuter bus stops
 
Leo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania?

Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona kila project ndogo ya Tanzania lazima itangazwe hapa kwa section ya Kenya? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Haya oneni pia Sonko amejenga soko ya masaa 24.

View attachment 1493446

Hilo soko ni kama wamejengewa wakulima wa Tanzania, sababu ndio hulijaza pomoni na mazao yao kuja kuwalisha lazy asses around there

LA Morogoro looks thousands modern than that
 
Kwahiyo hata airport mnazo nyingi hapo Nairobi kila ndege inatua kwenye Airport yake? Inaonesha hata maana ya regional bus terminal hujui maana yake

Unafikiri hiyo ni kama commuter bus stops

Gari za Mombasa, Kisumu, Central Kenya, Kaskazini, Ukambani nk. Zote stendi tofauti.

Nairobi sio kijiji. Hatuwezi tupa hizi basi zote eneo moja, ilhali barabara zinazotumia kuingia jijini ni tofauti.
Jjji litajaa msongamano wa mabasi yakielekea stendi.

Dodoma ni kijiji.
 
Back
Top Bottom