Kenya ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo ya kufungua soko lote la USA kwa bidhaa za Wakenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,376
2,000
Huu mkataba utakua wa kwanza baina ya Marekani na taifa la ukanda huu wa Sahara, ikumbukwe Marekani ndio ya tatu kwenye soko la bidhaa zetu na sasa inafungua soko lote wazi kwa ajili yetu.

Ni muda wa kuchangamkia mbele kwa mbele, takwimu zinasema yaani hata tukipata asilimia tano tu (5%) ya soko la USA tutapiga hela ndefu sana. Safi sana!

Ni bilateral, maana kwamba na wao watatukimbiza, ila dunia hii usiishi kwenye maisha ya uwoga uwoga, utabaki maskini miaka yote, tupambane omundu-khu-mundu.

======

Kenya on Wednesday launched talks to seal a free trade agreement with the United States which it hopes will transform its economy, despite criticism it will undermine regional integration.

Trade Minister Betty Maina said striking the bilateral trade agreement was crucial to "secure trade and investment relations" ahead of the lapse of the African Growth and Opportunity Act (Agoa) in 2025, which eliminates import tariffs on goods from eligible African nations.

Kenya hopes to promote the export of textiles, clothing, tea, coffee and fish to the US - currently Kenya's third-largest export market and seventh overall trading partner.

More than 70 percent of Kenya's exports are duty-free under Agoa.

"We estimate that if we can only capture five percent of the US market for these products we could increase our export revenue by more than two trillion shillings ($18.8 billion, 16.5 billion euros)," Maina said.

"We therefore expect such an agreement will help us increase investment, both domestic and foreign... and in our view open up vast opportunities for Kenyan businesses," she added.

Source:
Daily Nation
 
xng hua

JF-Expert Member
Sep 24, 2016
2,738
2,000
Nyie hamna uwezo wa kushindana na us kwe biashara, nahisi us anataka soko la east Africa kupitia ke...ila sio Tz akija uku ni kodi kodi kodi.

Kipindi hiki tunataka kua nchi ya viwanda ivi tutakuwaje kama ndo tunasaini mkataba wa kipumbavu kama huo?
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,943
2,000
Nyie hamna uwezo wa kushindana na us kwe biashara, nahisi us anataka soko la east Africa kupitia ke, ila sio tz akija uku ni kodi kodi kodi.

Kipindi hiki tunataka kua nchi ya viwanda ivi tutakuwaje kama ndo tunasaini mkataba wa kipumbavu kama huo?
Mijinga hiyo, kazi ni kujipendekeza. Watakua dumping site ya Wamarekani.
 
mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,426
2,000
Huwezi ukawa na mkataba wa free trade na marekani ukapata hata 1%,we mkenya utauza nini marekani?majani ya chai au maua?
Nakwambia ukoloni active unarudi na utaanzia Kenya. Mikataba ya mangugo hiyo.
 
henry kilenga

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
1,328
2,000
kwahiyo mtakua mnawauzia maua halafu mnarudi Tena kwao kuomba wawape msaada wa mchele unga wa mahindi na sukari

Kwahiyo Kenya mnaeweza kulima maua nchi mzima lakini hamuwezi kulima mazao ya chakula
 
henry kilenga

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
1,328
2,000
Huku sijui Kama watawezana maana bandarini kodi, sokoni kodi, kwenye kutangaza bidhaa kodi, faida yake itakatwa kodi atakapolala akiwa huku pia atakatwa kodi
Nyie hamna uwezo wa kushindana na us kwe biashara, nahisi us anataka soko la east Africa kupitia ke, ila sio tz akija uku ni kodi kodi kodi.

Kipindi hiki tunataka kua nchi ya viwanda ivi tutakuwaje kama ndo tunasaini mkataba wa kipumbavu kama huo?
 
ponopono

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
639
1,000
Kenyan you have to think twice. Fair trade na Marekani? Aya bhana sisi wengine tupo macho waiting to see.
 
mwathadan

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
1,550
2,000
Nyie hamna uwezo wa kushindana na us kwe biashara, nahisi us anataka soko la east Africa kupitia ke, ila sio tz akija uku ni kodi kodi kodi.

Kipindi hiki tunataka kua nchi ya viwanda ivi tutakuwaje kama ndo tunasaini mkataba wa kipumbavu kama huo?
Wewe wala huna uwezo wa kuwaza umuhimu wa trade agreements kati hizi nchi zetu
 
mwathadan

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
1,550
2,000
Kenyan you have to think twice, fair trade na marekani? Aya bhana sisi wengine tupo macho waiting to see.
Most of the things we import from US hatuundi huku Kenya mbna wengi wenu hamtaki kutumia akili.
 
yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
4,850
2,000
Sa 9 Unaamka Kufungulia Uzi Habari Ya Kipumbav Kama Hii, Muda Ni Mwalim Mzuri Mtakua Mnatupa Na Update Ya Mnachopata
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,376
2,000
Nyie hamna uwezo wa kushindana na us kwe biashara, nahisi us anataka soko la east Africa kupitia ke....ila sio Tz akija uku ni kodi kodi kodi.

Kipindi hiki tunataka kua nchi ya viwanda ivi tutakuwaje kama ndo tunasaini mkataba wa kipumbavu kama huo?

Kwa mawazo kama haya Afrika itaendelea kuwa bara lililolaaniwa umaskini, mko hovyoo sana, nyie mlilemazwa na ujamaa.
 
xng hua

JF-Expert Member
Sep 24, 2016
2,738
2,000
Kwa mawazo kama haya Afrika itaendelea kuwa bara lililolaaniwa umaskini, mko hovyoo sana, nyie mlilemazwa na ujamaa.
Nyie wakenya hajielewi. Nadhani mnawajua US hawana mchezo kwe mikataba yao. Nyie mtawauzia nini? 👈 tuanzie hapo kwanza.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,599
2,000
Kwa mawazo kama haya Afrika itaendelea kuwa bara lililolaaniwa umaskini, mko hovyoo sana, nyie mlilemazwa na ujamaa.
CCMAGEREZA ni shida huku!
Hata bendera za chama zapandishwa na wafungwa (kiashiria kuwa waTZ wote ni wafungwa wa chama twawala) KENYA endeleeni KUTUWAKILISHA, hamjaanza leo, toka enzi za BURNING SPEAR.
 
Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
2,634
2,000
Haitawezekana kamwe. Kenya wanafarijiwa tu ili mwendelee kujitolea Somalia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom