soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais mama Samia Suluhu: Wizara ya kilimo hamjali wakulima wanateseka wanalima soko hakuna nendeni watafutieni masoko ya nje

    "Wizara ya kilimo kuna shida, Mkulima anazalisha mazao yake hana kwa kuuza, Nendeni watafutieni masoko Nje na mkipata masoko ya mazao msiwapangie WAKULIMA waacheni wakauze wenyewe"
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya movies za nje ni 🔥 sana Kkoo, ni nini kiliua soko la filamu za Tanzania?

    Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje. Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika...
  3. JamiiForums Tanzania Bei mbovu kuwahi kutokea ya zao la mpunga yadumu misimu miwili Tanzania

    Kwa miaka takribani 15 sasa hakujawahi kutokea kuanguka kwa bei ya Mpunga. Kilimo cha zao la Mpunga kwa msimu wa mwaka 2020/ 2021 kinaleta mashaka makubwa. Bei ya wakati wa mavuno kwa gunia la serikali la debe 6 kwa msimu 2020 kipindi cha mavuno Tsh 50,000 hii ni bei ya mwezi wa sita...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zuio la mahindi kuingia Kenya, ni kwasababu makamu wa Rais anataka soko la mahindi yake

    Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, amedaiwa kuwa na shamba la mahindi hekari 500,000 nchini DR Congo, ambapo ametumia nguvu yake kisiasa kupata uhakika wa soko la mahindi yake Baadhi ya wabunge wa DRC wamethibitisha hilo. Ili kupata soko la mahindi alilazimika kuzuia mahindi kutoka Tanzania...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wakulima wa mazao wanapaswa kulipwa ndani ya siku 4, tutaanzisha soko la chai Dar es Salaam

    Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo. Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo. Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nadhani kunaitajika jicho la tatu kwenye makampuni yaliyoko Soko La Hisa (Na hisi kuna udanganyifu sana)

    Nimeona niongee tuu ninacho kiona mie , kama sioni vizuri niko tayari kufundishwa. Makampuni ambayo yanafanya vizuri kweny Soko la Hisa (DSE) miaka yote ni Sigara na Beer na hii naamanisha kuanzia kupanda kwa Hisa zake pamoja na ugawaji wa dividends kwa wamiliki wa Hisa. Sisemi hazishukagi...
  7. JamiiForums Tanzania Mwongozo mwenye kufahamu soko la ruby (gemstone)

    Habarini za mchana wanaJF! Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa soko la uhakika la ruby Tanzania.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kushuka kwa Soko la hisa tangia 2015 inaashiria nini?

    Sijui kama niko sawa ninachokiona kwenye soko la hisa la Dar es salaam kwamba tangia mwaka 2015 soko hili limeenda likishukaa taratibu nikimaanisha bei za share za makumpuni karibia yote. Yaani share nyingi zilikuwa kwa kiwango cha juu mwaka 2014. Baada ya apo zimeenda zikiporomoka kila mwaka...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Investors Pour Billions in Kitengela, Athi River to Rival Nairobi

    Greenpark Estate in Athi River. FILE Over the last 3 years, at least Ksh 300 billion has been poured into development projects in the city outskirt towns of Kitengela and Athi River. From malls to gated communities to whole city projects, the two towns have seen a major influx in...
  10. JamiiForums Tanzania Utajiri bila soko ni ujinga

    Marekani na China Ni nchi Matajiri Sana lakini kila moja inaitegemea nyingine. Marekani anazalisha Sana na anaiuzia China, China pia anazalisha Sana na anaiuzia Marekani. Sisi hatuzalishi chochote Cha kiwandani Cha kuweza kuwauzia Mabeberu, Wala hatulimi Sana kushinda hata India China na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania LATRA yapiga marufuku Taxi kutumika kama daladala Chato, wenyewe wasema ni ushindani wa soko!

    Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala. Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Maana ya soko la hisa na sababu za kupanda na kushuka kwa bei za hisa

    Hisa zikishatolewa na makampuni ya umma haziwezi kurudishwa mpaka kampuni itakapofilisika. Lakini hisa zinaweza kuhamishwa kutoka mmiliki mmoja kwenda kwa mmiliki mwingine. Hivyo kama mtu anayemiliki hisa atahitaji kubadilisha hisa zake kuwa pesa hatoiomba kampuni kumfanyia hivyo bali atatafuta...
  13. JamiiForums Tanzania Nimevuna nazi takriban 8000, natafuta madalali wa nazi soko la Ilala na Temeke Stereo

    Wakuu naomba mwenye contacts za madalali wa nazi katika soko la ILALA na Temeke stereo. Asanteni sana Hello wakuu, nina shamba la minazi huku Kilwa nimevuna takribani nazi 8000, kama kuna dalali ambaye yupo serious tuwasiliane ili tuweze fanya biashara. Thanks
  14. JamiiForums Tanzania Serikali sasa kuna ulazima wa soko kuu Bunju au Tegeta na barabara njia mbili

    Wana JF, Kilio cha siku nyingi bila mafanikio sasa kinaonekana kuwa kibaya zaidi baada ya watu wengi kuitikia wito wa kujenga nyumba kwenye viwanja vyao vilivyopo Tegeta boko bunju ununuo mbweni na mabwepande, Ni dhahiri shahili kuwa watu ni wengi hitajiko la soko kuu na barabara line mbili...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenye ufahamu wa soko la lozera!

    Habari wakuu! Naomba kujua mwenye kujua soko la lozera anijuze
  16. JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Marekani litufumbue kitu Waafrika

    Soko la Hisa la Marekani na baadhi ya nchi zilizoendelea yako very flexible kiasi ambacho kampuni kushuka au kuongezeka net worth ndani ya masaa ni jambo la kawaida sana. Chukulia mfano Corona ilivyoweza kufanya makampuni kama zoom kuinuka kwa kasi na hisa zake kupanda chati kwa kasi, au hivi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwambe: Bei ya Mafuta ya Kula imepanda kutokana na ongezeko la bei kwenye Soko la Dunia iliyosababishwa na Corona

    Waziri wa biashara Mh. Mwambe amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutokana na ongezeko la bei ya bidhaa hiyo kwenye soko la dunia. Mwambe amesema bei kwenye soko la dunia imepanda kutokana na fakta mbalimbali kubwa ikiwa ni ugonjwa wa Corona. Mwambe amesema kwa sasa kuna meli mbili za...
  18. JamiiForums Tanzania Kufungwa kwa akaunti ya Trump: Twitter yapoteza USD Bilioni 5 katika soko la thamani

    Soko la Hisa la Twitter limeshuka kwa asilimia 12 baada ya Kampuni ya Mtandao huo wa Kijamii kuifungia akaunti Rais wa Marekani, Donald Trump Ijumaa iliyopita Kuifunga akaunti ya Trump iliyokuwa na wafuasi takriban milioni 88 kumefanya bei ya Hisa kushuka na kupoteza Dola Bilioni 5 (Tsh...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Ni Sekta zipi katika Soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

    Habari za leo wakuu, Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni Sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market. Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

    Habari za leo wakuu, Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market. Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…