singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Asakwa kwa kutupa kichanga chooni

    JESHI la Polisi mkoani Singida, linamsaka mwanamke mmoja ambaye bado hajatambulika kwa majina na anwani ya makazi yake kwa kumtupa mtoto mchanga kwenye tundu la choo. Mtoto huyo baada ya kuopolewa kwenye tundu la choo alipelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida ambapo bado...
  2. B

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu shambani

    MKAZI wa Kijiji Cha Merya Tarafa ya Ilongero wilayani Singida, Innocent Dube (49), ameuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni baada ya kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu shambani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Onyango aikacha Simba. Akimbilia Singida

    Beki Kisiki wa Kimataifa wa Kenya, Joash Onyango amesaini kandarasi kuitumikia timu ya Singida Fountain Gate. Katika picha iliyopakiwa katika Mitandao ya kijamii, mlinzi huyo aliyekuwa anaitumikia Simba Sports Club ameonekana na Mkurugenzi wa Singida katika sehemu maalum ya kusaini Kandarasi...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

    Huyu mtumishi wa Mungu na mke wake baada ya kufika Singida walienda kituo cha kulea watoto na kumchukua mmoja ambaye kwa sasa wanaishi nae na mke wake kama mtoto wao Hakika kwa imani na matendo yake nina imani mtoto atalelewa katika kumjua Mungu.
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fountain Gate yainunua Singida Big Stars. Klabu hiyo sasa kuitwa Singida Fountain Gate Footbal Club

    Uongozi wa Singida Big Stars umefanya maamuzi ya kuiuza timu hiyo kwa wamiliki wa Fountain Gate ambapo sasa timu hiyo imebadilishwa jina na kuwa “Singida Fountain Gate Footbal Club.” Aliyekuwa Mkurugenzi wa Singida Big Stars ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Bodi ya Singida Fountain Gate, John...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Hilinti wa KKKT aomba Rais Samia awaongezee Waziri mwingine Mkoa wa Singida

    Askofu Dr Hilinti wa KKKT Dayosisi ya Kati amemwomba Rais Samia ateue Waziri mwingine kutokea Singida ashirikiane na Dr Mwigullu PhD kuwaletea Wananchi Maendeleo. Askofu Dr Hilinti amesema hakuna Ubaya Singida kuongezwa Waziri Kwani kuna mikoa imetoa mawaziri zaidi ya Watatu. Askofu Dr Hilinti...
  7. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Singida imebaini kuwepo kwa mianya ya rushwa katika baadhi ya halmashauri ikihusishwa na ukusanyaji wa michango

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida, Mzalendo Widege, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi wa taasisi hiyo ya kipindi cha Januari hadi Machi 2023, katika mkutano uliofanyika leo May 18, 2023. Na Dotto...
  8. JamiiForums Tanzania Kongamano la Wanawake Chuo cha Utumishi wa Umma, Singida

    MHE. MARTHA GWAU MGENI RASMI KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA CAMPUS YA SINGIDA. Mhe. Martha Nehemia Gwau Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida amekuwa mgeni Rasmi kwenye kongamano la wanawake pamoja na kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Singida BS 0 - 2 Yanga S.C | NBC Premier League | Liti Stadium| 04.05.2023

    Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Singida Big Stars katika mchezo wa wa ligi ya NBC.. Ikumbukwe katika mchezo wa awali Yanga waliibuka na ushindi wa magoli 4-1 Je nani ataibuka mshindi? 00" Mpira umeanza 03" Mzize anapiga shuti...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ligi yetu bado sio shindani kwasababu utaona Singida kesho watakavyoiachia Yanga

    Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu. Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga wakacheze tu hizo mechi zote huko Singida

    Ukiangalia ratiba ya CAF bora Yanga wakamalize mechi zote Singida. Kwanza Singida ni mtoto wao atwaachia tu. Ikitokea wamefuzu kucheza fainali kuna mechi za home and away tar 28 mei na tar 02 juni kwa hiyo kuacha kucheza hiyo mechi ya FA itaharibu ratiba ya FA lakini pia wao itawapa ugumu wa...
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hata kama amesaini Singida, ni muhimu Beno kufata weledi

    "Hii ni mechi ya kimataifa, hata kama Beno amesaini na Singida anatakiwa kuwa na weledi, Beno bado ni mchezaji wa Simba na anatakiwa kuwa Committed na Timu ya Simba na hususan hizi mechi muhimu ambazo Manula hayupo,” "Huwezi jua, unaweza onyesha performance yako kwenye mechi ya kesho kwa sababu...
  13. JamiiForums Tanzania TAKUKURU chunguzeni utajiri wa timu ya SINGIDA BIG STARS.

    Ni wazi SINGIDA BIG STARS ilianza kuonesha ukwasi baada msingida mshika kibubu chetu kuteuliwa, huyu mheshimiwa alianza na matengenezo ya viwanja vyetu vya mpira vilivyoporwa na CCM kukarabitiwa kwa kutumia pesa za serikali! Leo nimesikia klabu hiyo imemlipa mchezaji shs 100,000,000/=! Ili...
  14. JamiiForums Tanzania Mhe. Aysharose Mattembe Achangia Milioni 20 Kununua Majiko ya Gesi 500 kwa Wanawake wa Mkoa wa Singida.

    MHE. AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 20 KUNUNUA MAJIKO YA GESI 500 KWA WANAWAKE WA MKOA WA SINGIDA SEMINA YA MAFUNZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UWEKEZAJI, RC MISSION MJINI SINGIDA KAULI MBIU: "MAZINGIRA YANGU MTAJI WANGU, YATUNZE YAKUTUNZE" Mattembe Golden Women Foundation (MGWF)...
  15. JamiiForums Tanzania Aysharose Mattembe Achangia Shilingi Milioni 10 Kununua Majiko ya Gesi kwa Wanawake wa Singida

    AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 10 KUNUNUA MAJIKO YA GESI KWA WANAWAKE Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe amefanikisha Semina kubwa ya mafunzo ya Utunzaji wa Mazingira na Uwekezaji kwa wanawake wa UWT Mkoa wa Singida huku Akiwapatia Majiko ya Gesi yenye thamani...
  16. JamiiForums Tanzania Shanta Gold yaanza uzalishaji wa dhahabu kwenye mgodi wa Singida

    Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Shanta imesema imepata dhahabu yake ya kwanza kwenye mgodi wake wa Singida yenye uzito wa wakia 35 baada ya kufanya uchenjuaji. Wakia 35 za dhahabu zilizalishwa huku nyingine 500 zikiwa kwenye mchakato. Mkurugenzi wake, Eric Zurrin amesema hii ni hatua kubwa kwa...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marefa wa bongo hovyo sana

    Refa amekataa goli halali kabisa la singida big stars dhidi ya coastal union. TFF fungieni hawa marefa wanaharibu sana ligi.
  18. JamiiForums Tanzania Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

    Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+. Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya? Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital? Nini maoni yako msomaji. ===== UPDATES : Bendera imeondolewa
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi atua Singida kuzungumza na Vijana makundi matatu

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi kuanzia leo Alhamisi na kesho Ijumaa Machi 02-03/03/2023 atakuwa mkoani Singida na kufanya matukio matatu:- ✅ Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Bodaboda na Bajaji. ✅Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Chuo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Karibu Singida Katibu Mkuu CCM

    Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Mkoani Singida kuanzia Tarehe 27 Februari, 2023 hadi 4 Machi, 2023. #CCM Imara
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…