Ukistaajabu ya Singida, utayaona ya Tabora

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
UKISTAAJABU YA SINGIDA; UTAYAONA YA TABORA

Anaandika Gibson G Bayona

Tunaendelea Tulipoishia..

Ni muendelezo wa ziara ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan,na sasa ikiwa Mkoa wa Tabora.

Ni wazi tuliona sehemu ya kwanza ya Ziara hii Mkoani Singida, mwitikio wa Watanzania umekua mkubwa sana, hamasa imetamalaki na kila pembe ya mkoa wa Singida iliguswa na ajenda ya maendeleo kwa kina na utatuzi wa yote kuwekwa bayana.

Kwa picha ilioonekana pale viwanja vya Bombadia wengi tuliamini kwamba hakuna rekodi itavunjwa kwa mwitikio mkubwa wa wananchi wenye mapenzi na mahaba mazito na Rais wao; ilikua na ujumbe mzito sana aa wana Singida kumuunga mkono Rais wao.

Chanzo cha kichwa cha habari cha andiko hili kinachosomeka kwamba Ukistaajabu ya SINGIDA; Utayaona ya TABORA! Kinatokana na sababu zitakazobainishwa;

Ni hivi, Jana tar.17 October Baada tu ya Mhe Rais asiechoka na anaefikia maeneo yote aliopanga kufikia akiwa na ari na nguvu kuhitimisha ratiba ya Kuzindua Mradi wa Maji Shelui na Kuwasha Umeme eneo hilo wilayani Iramba, aliangana na wana Singida waliojitokeza kwa wingi sana;

Akiingia Mkoa wa Tabora ambapo alishafika na kufanya ziara nusu ya mkoa huu na kubakiza maeneo ambayo aliahidi angerejea na amerejea; hapa, cha kustaajabisha ni kwamba wananchi wa Mkoa huu walijipanga maeneo yote ya barabarani kumsubiri Rais wao, kwa hamu na shauku kubwa sana na apowasili Igunga akaweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa chuo cha VETA na kisha kuzungumza na Wananchi wa Wilaya ya Igunga katika viwanja vya Barafu ambao walikua wengi kupita kiasi na mara ya mwisho uwanja huo kujaa namna hiyo ni mwaka 1990.

Swala la kipekee ni wapiga kura tena waliokua Jimbo la Manonga eneo la Nziba, ni kama watu wote jimbo zima waliamua kuwa pale barabarani kumlaki Rais wao;

Katika jambo zito zaidi ni alipofika Nzega mjini, ajenda kubwa hapa ikiwa ni upatikanaji Maji Nzega mjini kuwa asilimia mia na msingi wa mafanikio ya sekta ya kilimo kwa uwepo wa Shamba kubwa la Mbegu la Kilimo
Hapa Nzega cha kustaajabisha ni kwamba; idadi ya wananchi waliokua barabarani ni wengi zaid ya Uwanjani pale Samora,ni historia iliandikwa bila kufichika.

Jambo kubwa, la kipekee na muhimu kuliko yote ni ufanisi wa Mhe Rais kutenga mida wa kutosha kusikiliza changamoto za wananchi kupitia wawakilishi wao na kama hiyo haitoshi anakua pia amekwisha kufanya Homework yake anazo changamoto za maeneo haya na ikiwa hazitasemwa yeye anaziibua na kuwa na majawabu yenye vinasaba vya utekelezaji na matumaini.

Ni Bayana Amejikita katika takwimu za maendeleo ya kila eneo na anaweka mjadala mezani kwa kila changamoto kupatiwa ufafanuzi, hakuna anachobakiza; ziara ya namna hii ni msingi wa mafanikio ya serikali kwasababu inamaliza na kutoa dira ya maswala yanayowagusa watu moja kwa moja na dira ya maendeleo ya Wilaya hizo na mkoa kwa Ujumla.

Rais Samia katika hotuba zake anaonesha kwamba kwanza ipo timu yake inayofanya research ya kutosha kwa eneo hisika kwasababu anachambua issues za maendeleo ya watu kwa undani kabisa na anagusa angle zote kwa kina hususana maendeleo yanayogusa watu (People Centered Development).

Mwisho, namba hazidanganyi, macho yetu yanaona, maskio yanasikia na akili zetu zinatupa picha ya kuwa ipo wazi kabisa Mhe Rais ametengeneza njia ya mafanikio ya serikali anayoiongoza mapema, ametustaajabisha na kasi na mapokeo ya wananchi kwake, amejenga imani na amani ya mioyo ya anaowaongoza, ameleta matumaini makubwa kwa watu wa chama chake na watanzania wote kwa ujumla na picha halisi ya ziara hizi ni picha ya kukubalika kwa uongozi wake na udhirisho wa upendo wa Watanzania kwake na mwisho ndio tafsiri halisi ya kuungwa mkono kwake.

Leo tar.18 October Rais Samia asiechoka atatembelea Mradi wa Umwagiliaji hapa Nzega Nzega sokoni Parking Malori kwa ombi la Mbunge Bashe na akiwa njiani kuelekea Tabora mjini atasimama kusalimia wananchi kituo cha Puge kwa Kigwangala na baadae Kituo cha Magiri Uyui Jimbo la Tabora Kaskazi. Kwa Almas Maige na usiku atakutana na Wazee wa mkoa wa Tabora kusemezana nao na kujadili kwa pamoja mustakhabali wa maendeleo ya mkoa wa Tabora.

IMG-20231018-WA0050.jpg
IMG-20231018-WA0049.jpg
 
View attachment 2785210View attachment 2785211
Kunguni wa UDOM.
 
Acha ujinga na uchawa mbona mnasomba watu kwenye mabasi?
Acheni kusomba , watu waende Wenyewe...!
Pumbavu zenu mnatia kinyaaaaa
 
Hana jipya. Yeye sio wa kwanza. Rais akipita sehemu lazima watu wajae hata Kama Hawa muda naye.
 
Mngemwambia ukweli kwamba umeme Jana umeshinda kwa kua alikueopo, na bandari amefikia wapi kuiuza huo ndio uzalendo sio kumwagia sifa za kipumbavu
mngesema na zile elfu 45,000/= walizokuwa wanapatiwa madereva bajaji na laki noah kupeleka na kurudisha abiria shelui
 
UKISTAAJABU YA SINGIDA; UTAYAONA YA TABORA

Anaandika Gibson G Bayona

Tunaendelea Tulipoishia..

Ni muendelezo wa ziara ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan,na sasa ikiwa Mkoa wa Tabora.

Ni wazi tuliona sehemu ya kwanza ya Ziara hii Mkoani Singida, mwitikio wa Watanzania umekua mkubwa sana, hamasa imetamalaki na kila pembe ya mkoa wa Singida iliguswa na ajenda ya maendeleo kwa kina na utatuzi wa yote kuwekwa bayana.

Kwa picha ilioonekana pale viwanja vya Bombadia wengi tuliamini kwamba hakuna rekodi itavunjwa kwa mwitikio mkubwa wa wananchi wenye mapenzi na mahaba mazito na Rais wao; ilikua na ujumbe mzito sana aa wana Singida kumuunga mkono Rais wao.

Chanzo cha kichwa cha habari cha andiko hili kinachosomeka kwamba Ukistaajabu ya SINGIDA; Utayaona ya TABORA! Kinatokana na sababu zitakazobainishwa;

Ni hivi, Jana tar.17 October Baada tu ya Mhe Rais asiechoka na anaefikia maeneo yote aliopanga kufikia akiwa na ari na nguvu kuhitimisha ratiba ya Kuzindua Mradi wa Maji Shelui na Kuwasha Umeme eneo hilo wilayani Iramba, aliangana na wana Singida waliojitokeza kwa wingi sana;

Akiingia Mkoa wa Tabora ambapo alishafika na kufanya ziara nusu ya mkoa huu na kubakiza maeneo ambayo aliahidi angerejea na amerejea; hapa, cha kustaajabisha ni kwamba wananchi wa Mkoa huu walijipanga maeneo yote ya barabarani kumsubiri Rais wao, kwa hamu na shauku kubwa sana na apowasili Igunga akaweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa chuo cha VETA na kisha kuzungumza na Wananchi wa Wilaya ya Igunga katika viwanja vya Barafu ambao walikua wengi kupita kiasi na mara ya mwisho uwanja huo kujaa namna hiyo ni mwaka 1990.

Swala la kipekee ni wapiga kura tena waliokua Jimbo la Manonga eneo la Nziba, ni kama watu wote jimbo zima waliamua kuwa pale barabarani kumlaki Rais wao;

Katika jambo zito zaidi ni alipofika Nzega mjini, ajenda kubwa hapa ikiwa ni upatikanaji Maji Nzega mjini kuwa asilimia mia na msingi wa mafanikio ya sekta ya kilimo kwa uwepo wa Shamba kubwa la Mbegu la Kilimo
Hapa Nzega cha kustaajabisha ni kwamba; idadi ya wananchi waliokua barabarani ni wengi zaid ya Uwanjani pale Samora,ni historia iliandikwa bila kufichika.

Jambo kubwa, la kipekee na muhimu kuliko yote ni ufanisi wa Mhe Rais kutenga mida wa kutosha kusikiliza changamoto za wananchi kupitia wawakilishi wao na kama hiyo haitoshi anakua pia amekwisha kufanya Homework yake anazo changamoto za maeneo haya na ikiwa hazitasemwa yeye anaziibua na kuwa na majawabu yenye vinasaba vya utekelezaji na matumaini.

Ni Bayana Amejikita katika takwimu za maendeleo ya kila eneo na anaweka mjadala mezani kwa kila changamoto kupatiwa ufafanuzi, hakuna anachobakiza; ziara ya namna hii ni msingi wa mafanikio ya serikali kwasababu inamaliza na kutoa dira ya maswala yanayowagusa watu moja kwa moja na dira ya maendeleo ya Wilaya hizo na mkoa kwa Ujumla.

Rais Samia katika hotuba zake anaonesha kwamba kwanza ipo timu yake inayofanya research ya kutosha kwa eneo hisika kwasababu anachambua issues za maendeleo ya watu kwa undani kabisa na anagusa angle zote kwa kina hususana maendeleo yanayogusa watu (People Centered Development).

Mwisho, namba hazidanganyi, macho yetu yanaona, maskio yanasikia na akili zetu zinatupa picha ya kuwa ipo wazi kabisa Mhe Rais ametengeneza njia ya mafanikio ya serikali anayoiongoza mapema, ametustaajabisha na kasi na mapokeo ya wananchi kwake, amejenga imani na amani ya mioyo ya anaowaongoza, ameleta matumaini makubwa kwa watu wa chama chake na watanzania wote kwa ujumla na picha halisi ya ziara hizi ni picha ya kukubalika kwa uongozi wake na udhirisho wa upendo wa Watanzania kwake na mwisho ndio tafsiri halisi ya kuungwa mkono kwake.

Leo tar.18 October Rais Samia asiechoka atatembelea Mradi wa Umwagiliaji hapa Nzega Nzega sokoni Parking Malori kwa ombi la Mbunge Bashe na akiwa njiani kuelekea Tabora mjini atasimama kusalimia wananchi kituo cha Puge kwa Kigwangala na baadae Kituo cha Magiri Uyui Jimbo la Tabora Kaskazi. Kwa Almas Maige na usiku atakutana na Wazee wa mkoa wa Tabora kusemezana nao na kujadili kwa pamoja mustakhabali wa maendeleo ya mkoa wa Tabora.

View attachment 2785210View attachment 2785211
2
 
12
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom