Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.
Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?
Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?
Nini maoni yako msomaji.
=====
UPDATES :
Bendera imeondolewa
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi kuanzia leo Alhamisi na kesho Ijumaa Machi 02-03/03/2023 atakuwa mkoani Singida na kufanya matukio matatu:-
✅ Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Bodaboda na Bajaji.
✅Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Chuo...
JUHUDI ZA MBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU ZAFANIKISHA UJENZI WA CHUO CHA VETA CHA KISASA CHA BILIONI 2.4 IKUNGI.
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Jumanne Mtaturu mnamo tarehe 22 Februari 2023 amefanya ziara yake ya Kukagua Mradi wa ujenzi wa Chuo cha...
Taarifa
GST inapenda kuutangazia umma kwamba kumekuwa na matukio ya matetemeko ya ardhi katika maeneo ya wilaya ya Manyoni kwenye mpaka kati ya Mkoa wa Singida na Dodoma yakiwa na ukubwa wa 4.3 na 4.9 katika kipimo cha Richter kama yalivyoainishwa kwenye jedwali hapa chini:
Tarehe ya tukio...
Habari.
Nina eneo Singida-Mwaja kilometa 5 kutoka mjini kati. Natafuta mtu mwenye mtaji pesa wa kushirikiana nae tujenge lodge kwa kuanzia vyumba vitano tu. Nipo tayari kutoa umiliki wa biashara kwa makubaliano ya asilimia kulingana na gharama atakazoweka.
Ukubwa wa eneo 2129 sqm eneo...
Mliki frustrate wenyewe mapema sana. Mara hamtaki kuingia vyumbani mara sijui nini. Sisi wengine tuliwaeleza nyie mkatulie mcheze mpira Simba wanafungika.
Tukawaambia mkawakabe watu flani. Mmeenda kufanya mambo ya kujichosha akili mapema. Mnagoma kuingia vyumbani. Halafu mlivyowajinga mnacheza...
Majira ya Saa 1:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki,Mnyama mkubwa mwituni, Simba SC watashuka dimbani katika dimba la Benjamin Mkapa kuwakaribisha wana alizeti Singida Big Stars.
Mechi inategemewa kuwa ngumu, maana katika mchezo wa kwanza pale Liti, Singida, timu hizo zilitoshana nguvu...
MBUNGE SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU AISHUKURU SERIKALI YA RAIS SAMIA KWA MRADI WA SWASH
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka kiasi cha Shilingi Milioni 245,535,791.86 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo...
Mkijifanya mna Akili Kubwa msisahau kuwa tuko Wengine wenye nazo hadi hatujui tumpunguzie nani.
Kwahiyo tulisubiri hadi Mwamba arejee rasmi leo ndipo tuutangaze huu Mkeka kisha tumpelekee Jirani Mtu ambaye walikuwa Marafiki na anayemjua ndani nje?
Siku zingine mtushirikishe na Sisi akina...
RC SINGIDA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI MILIONI MOJA NA NUSU WILAYA YA IKUNGI
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba amezindua kampeni ya upandaji miti Milioni moja na nusu (1,500,000) katika Wilaya ya Ikungi.
Katika uzinduzi wa kupanda miti Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe...
Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.
Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada...
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Manyoni imetakiwa kuchunguza mauaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa kutokea mfululizo pamoja na vitendo vya ushirikiana vinavyohusisha kufukua maiti na kuchukua nguo za ndani na baadhi ya vitu vya thamani.
Maagizo hayo yametolewa Januari 20, 2022 na Mkuu wa...
Naamini Kamarada (Comrade) wangu Hussein Msemaji wa Singida Big Stars FC yuko (tunae 24/7) hapa Mjengoni JamiiForums hivyo atalifafanua hili na kuliweka sawa kwani Binafsi kama GENTAMYCINE ninavyojua Watendaji wote wa Klabu hii ni Wasomi na Watu makini hawezi kuwa na Mapungufu haya...
Mimi kama chizcom sitarudi hii mikoa naweza kutelekeza familia usipo kuwa makini.
Yaani ukapota huko huko kusiko julikana mpaka ndugu wakakutafuta kwenye kipindi cha ITV "yuko wapi".
Hawa wanawake wako wanajua kupenda jamani. Halafu tatizo lao ukiwaleta mjini basi umeletea team fisi, wanakula...
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu, Januari 13 2023,amefanya ziara kijiji cha Msula Kata ya Misughaa na kukagua miradi minne ya maendeleo inayotekelezwa kwenye kijiji hicho.
Katika ziara hiyo aliyoambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ikungi Ikimbia Khangaa na viongozi...
UFUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA SEKOUTURE - JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI
UGUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI, MBUNGE IGHONDO ATAJWA KINARA WA UTATUZI WA CHANGAMOTO YA ELIMU JIMBONI.
Mnamo mwezi Januari 09 2022 Wananchi wa Kijiji cha Sekouture wakiongozwa na Viongozi wao Walifanya hafla ya...
SINGIDA KASKAZINI YANEMEEKA NA MIRADI YA MAJI, SERIKALI YATATUA KERO.
Jimbo la Singida Kaskazini linazidi kupata Miradi mbalimbali ya Maendeleo kila iitwapo leo Kwani Wanasingida Kaskazini kwa Ujumla wake wanazidi kushuhudia Kasi kubwa ya Maendeleo tangu Mhe. Ramadhan Ighondo ambaye ndiye...
Mechi nyingine ya kuamua nani abaki nani asalie
Singida amepewa nafasi kubwa sana kushinda mechi hii kutokana na kikosi chake kuwa kamili tofauti na Yanga ambao wao wamejaza wachezaji wengi kutoka kikosi cha vijana.
Personal view
Singida licha ya kwamba ana kikosi kikubwa au kile cha kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.