singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Scars

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

    Mechi nyingine ya kuamua nani abaki nani asalie Singida amepewa nafasi kubwa sana kushinda mechi hii kutokana na kikosi chake kuwa kamili tofauti na Yanga ambao wao wamejaza wachezaji wengi kutoka kikosi cha vijana. Personal view Singida licha ya kwamba ana kikosi kikubwa au kile cha kwanza...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida kufungwa 4 na Yanga yalikuwa maelekezo ya Waziri wa Nchi?

    Pamoja na uimara wa Singida Big Star tukishuhudia ikifungwa 4 na Yaanga. Pamoja na ushindi wa Yanga wa kuungaunga wa 1 mpaka 2 lakini wakaweza kuifunga Singida BS 4. Kwa jinsi waziri huyu anavyotumia cheo chake kumtaka Fei Toto asiondoke Yanga. Na jinsi waziri huyu alivyotoa maelekezo Fei Toto...
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati yalaumiwa kumkwamisha mwekezaji umeme wa upepo Singida

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Elia Digha ameilaumu Wizara ya nishati kwa kumkwamisha mwekezaji anayetaka kuzalisha umeme kwa njia ya upepo mkoani Singida. "Nimezungumza nao wawekezaji wanasema wanakwamishwa na wizara husika, watu wasikwamishe miradi ambayo iko wazi Rais...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Singida ashtakiwa kwa ubadhirifu, adaiwa kulipwa posho Tsh. Mil 7.5 baada ya kutenguliwa

    Zefrin Kimolo Lubuva ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Singida, ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Ofisi na Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 7.25 Fedha hizo alilipwa kama posho za kujikimu kwa miezi 6 kuanzia Desemba 2021 hadi Juni 2022 wakati uteuzi wake ulitenguliwa na Rais...
  5. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Big Stars,Dodoma jiji, na Toto African ni reserve teams za Yanga, wakati Azam na Coastal ni reserve teams za Simba SC

    Kule ulaya kuna kitu kinaitwa reserve teams. Mfano Real Madrid wanatimu inaitwa Real Madrid Castilla ,timu aliyochezea winger wa Brazil Vinicius Tobias ambaye jana amekiwasha kwelikweli.alicheza reseve team kabla ya kujiunga senior team Timu za Simba na Yanga kwa makusudi au kutojua huwa zina...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida itapitia maeneo gani?

    Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida. Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja? Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof. ametupiga changa la macho. Au...
  7. Kanyunyu

    JamiiForums Tanzania Wabunge waangushwa kwenye uchaguzi wa CCM Mkoa Singida

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wabwagwa kwenye uchaguzi wa CCM Mkoa wa Singida, wabunge hao ni Mbunge wa Jimbo la Singida mjini Musa Sima na Mbunge wa Jimbo la Singida kaskazini bwana Ramadhan Ighondo waliokuwa wakigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa (NEC) kutoka...
  8. Mkwawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga vs Singida ni FIXED MATCH

    Katika maisha yangu ya kuangalia mpira sikuwahi kujua matokeo ya mechi yanapangwa vipi Hadi nilipoangalia mechi ya Taifa Stars na Uganda pia na ile ya Jana ya Yanga na Singida THE MATCH WAS TOTALLY FIXED Dario Federico haja-dribble past hata Mara moja Deus Kaseke kapoteza pasi zote Bruno...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunawachapa Singida kirahisi sana

    Singida tumeshawafunga kabla hata ya menchi. Hawa jamaa wana alama zetu 6 kila msimu. Kwahiyo wala hawatuumizi kichwa. Ni timu ya Mwigulu Nchemba ambaye ni mtu wetu, kwahiyo mechi rahisi hii. Wana Yanga leo hesabuni alama 3 hapa, hakuna lolote la kutuzuia.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaodhani leo Singida Big Stars FC ataifunga Yanga SC kwa Mkapa poleni sana

    Tumeshaharibu kwa kufungwa kizembe na Azam FC na kutoka sare ya kipuuzi na Singida Big Stars FC, hivyo ubingwa tusahau msimu huu na kama si Yanga SC basi Azam FC anabeba. Imeisha hiyo.
  11. Ghazwat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kuvurumishwa leo November 9, 2022 kwenye Uwanja wa Estadio de Liti mkoani Singida ambapo Walima Alizeti Singida Big Stars ambao ni wenyeji, wanamkabili vikali Mnyama Mkali Mwituni Simba SC Mechi inatarajiwa kuwa ni ngumu sana na ya kusisimua kwa...
  12. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Big Stars mpeni timu Kocha Zahera

    Mmesajili wachezaji wazuri sana pengine kwa gharama kubwa, lakini ni ukweli mtupu kuwa Kocha Van ameshazeeka na uwezo wake hauwezi kuvuka pale. Ushauri wa bure kabisa, hebu mpeni Mwinyi Zahera timu yenu ili mpate tabasamu la thamani ya pesa. Mtachelewa sana kama mtadhani marefa wanawaonea.
  13. ommytk

    JamiiForums Tanzania Geita vs Singida: Ni mji upi mzuri kifursa, kimaendeleo na ukuaji kuliko mwingine?

    Karibuni kwenye mada hii mdau Nipo hapa nawaza kwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa geita na singida Je, ni mji gani mzuri kati ya hii miwili ni mkubwa kifursa kuliko mwingine kimaendeleo na ukuaji?na mzunguko wa hela kwa wananchi.
  14. 44mg44

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Singida Big Star Vs Simba inachezwa lini?

    Mi nilijua inachezwa leo, sasa sijui imeahirishwa, na je itachezwa lini?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Wameikosea nini pombe hawa watu wa SINGIDA

    Ninajuiliza na kuwauliza wakuu Watu wa singinda hasa warangi yani hawaendani na pombe kabisa yani hata akanywa basi pombe itampeleka katika kuanzisha ugomvi Wengi nimewaona hawaziwezi pombe hata kidogo, pia ukiwauliza wanakwambia haramu,ila huyo huyo anaekwambia pombe haramu anakula mirungi...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania Prisons na Singida Big Stars zafungiwa kusajili Ligi Kuu

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezifungia kusajili klabu za Ligi Kuu ya NBC za Tanzania Prisons na Singida Big Stars kwa kosa la kusajili wachezaji wenye mikataba na klabu zingine. Uamuzi wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji umefanywa...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Niko Singida hapa, nimeshangaa hadi leo hii huu mkoa sio jiji

    Niko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja, mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa. Mzunguko mkubwa wa hela labda kuliko Arusha na Mwanza, hata Dar anataka kupitwa. Idadi kubwa ya watu. Ni Kama kila barabara huku ina lami. Kila nyumba huku ni ya kisasa. Umeme na maji mpaka...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Singida: TAKUKURU kuchunguza Ubadhirifu wa TSH. Milioni 800 za UVIKO katika kukarabati Chuo cha Ufundi Stadi Sabasaba

    Waziri Ndalichako ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufanya uchunguzi katika chuo hicho kuangalia matumizi ya zaidi ya Sh. milioni 800 zilizotolewa kwa ajili ya ukarabati wa chuo. Ubadhirifu alioubaini ni katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi ambavyo vimenunuliwa kwa...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuizomee Singida Big Stars kila inapocheza kufikisha ujumbe kwa Mwigulu kuhusu tozo

    Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie. Tumechoka.
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za Ubadhirifu wa fedha za Sakosi ya walimu Singida

    Mahakama ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, imefunguliwa kesi Ecc.52/2022 . Washtakiwa ni Cladius Linusl na Leah Roman Mnyipanduka ambao kwa pamoja wanashtakiwa kwa makosa ya matumizi mabaya ya ofisi, ubadhirifu na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kiasi cha Tsh. 10,000,000/= mali ya...
Back
Top Bottom