Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.
Match Day
📅 October 8, 2023.
⚽ NBC Premier League
Singida Fountain Gate vs Simba Sc
🏟️ CCM Liti, Singida.
⏰ 4:00Pm.
Haya, kumekucha vyema.
Baada ya michezo ya jana ya ligi kuu Tanzania Bara kupigwa,
Tukishuhudia Yanga kutoa kipigo kwa Geita Gold cha 3-0
Huku Ihefu akizamishwa na KMC kwa 1 -...
CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023.
"Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya...
Ndugu wanajamvi nategemea kwenda Shinyanga nikitokea Dar es salaam kwa Piki piki boxer cc125 mwenye uzoefu itakuwa vyema ukanisaidia.
Nataka kujua mafuta naweza kutumia kiasi gani. Je, nijiandae kwa changamoto gani barabarani pikipiki hii ninayotaka kuitumia ni mpya. na nina tegea kwenda na...
Salaam,
Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini.
Kwa upande wa klabu bado hatujasema chochote, taarifa yetu ya awali tulitoa kuhusiana na yeye kuondoka kambini kwa sababu...
Hii nchi ina siri Sana, aliyekuwa kocha wa Singida Foundation Gate amelalamika kuingiliwa majukumu yake na Waziri wa Fedha, ikapeleka yeye kufanya vibaya katika kazi yake.
Mimi sipo hapa kwenye soka swali langu ni kwamba, kila timu ina mfumo wake wa uongozi, Sasa Waziri wa Fedha ndiye kiongozi...
Muda mfupi baada ya kuondoka Singida Fountain Gate FC, Kocha Ernest Middendorp ameweka wazi sababu ambayo imemuondoa kwenye klabu hiyo.
Akizungumza katika mahojiano na Mtangazaji Robert Marawa ambayo yamerushwa na 947 Joburg, kocha huyo amesema:
Baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...
"Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain Gate FC.
Haya nae sasa Kawaonyesheni kuwa siyo Mswahili kama mlivyo / tulivyo halafu Anajiamini...
Singida Fountain Gate FC was amazing Leo. Despite the fact that wapo economically below the top 3. I I'm very happy for them. Congratulations to them. Good luck in Egypt.
Kombe La Shirikisho la CAF mkondo Wa Kwanza.
Singida Big Stars inayojulikana pia kwa jina la Singida Fountain Gate inarusha Karata yake mbele ya Future FC ya Egypt ikiwa Kiwanja chake cha Nyumbani.
Itavuna nini ni Jambo La Kusubiri. Kila la heri SBS.
Mpira unaendelea..
TAARIFA KWA UMMA
Kocha wetu Hans van der Pluijm hatutaendelea nae. Timu yetu itakuwa chini ya kocha Msaidizi Mathias Lule mpaka pale itakapoamuliwa vinginevyo.
---
PRESS RELEASE
RE; COACH HANS VAN DER PLUJM RESIGNATION
On behalf of the Board of Directors, management, sponsors, stakeholders...
HABARI Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda, ameiomba serikali kupiga marufuku miziki inayojulikana kwa jina la vigodoro kwa kuwa imekuwa ikisababisha mmomonyoko wa maadili nchini.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara wilayani Manyoni mkoani Singida katika ziara yake ya kukagua miradi ya...
Sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever, tumetoka huku.
Email :integrity@fifa.org
Match fixing shouldn't be tolerated kabisa, toa...
Habari wakuu!
Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu.
Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo...
Hivyo mjipange kwa mipango mingine, msidhani tutarudi na kikosi hiki hiki mechi ijayo. Kuna kikosi kingine kipo nje.
Hawa hapa hawakuanza jana kabisa;-
Metacha/Mshery
Kibwana
Nickson Kibabage
Job
Gift fredy
Jonas Mkude
Mauya
Sureboy
Pacome
Aziz ki
Nkane
Hafiz konkoni
Mzize
Watakaojirudia...
===
Greatest of all time
Leo ni Sikukuu ya Soka.
Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga.
Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba Clatous Chota Chama, ataukosa mchezo wa ufunguzi wa michuano mifupi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate, kutokana na kufungiwa michezo mitatu iliyo chini ya shirikisho la soka nchini TFF.
Chama alifungiwa kutokana na kuwa na adhabu hiyo...
Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).
Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote.
Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu...
Napenda kumpongeza mmiliki wa timu yangu ya Singida fountain gate kwa kutuwezesha kupata basi jipya la kisasa ambalo litatusaidia katika safari mbalimbali katika msimu ujao.
Ikumbukwe basi lile la zamani lilikuwa linafanya wachezaji wanachoka sana wanaposafiri kwenye mechi mikoani.
Sasa msimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.