singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. c h o l o

    JamiiForums Tanzania ACP Mkoa wa Singida, unastahili pongezi

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri, Huyu mama nisipomsifu ntakuwa nimemnyima maua yake kwa kipindi hichi cha mwisho wa mwaka. Saluti nyingi kwako ACP wa mkoa wa Singida kwa kuziishi taratibu na sheria za jeshi la polisi la Tanzania. Siku ya jumamosi nikiwa katika moja ya mihangaiko yangu ya kutwa...
  2. Abou Shaymaa

    JamiiForums Tanzania Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14

    Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo, Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun ===== Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Aysharose Mattembe Aahidi Kutafuta Fursa kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Kuwawezesha Wajasiriamali Mkoa wa Singida

    SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe Aysharose Mattembe, limetoa mafunzo kwa wajasiriamali katika wilaya zote za mkoa huu ya namna ya kuendesha biashara zao kwa ufanisi na weledi ili waweze kujikwamua kiuchumi...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe Awanufaisha Wananchi wa Mkoa wa Singida kwa Mafunzo ya Wajasiriamali

    MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AWANUFAISHA WANANCHI WA MKOA WA SINGIDA KWA MAFUNZO YA WAJASIRIAMALI. SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe Aysharose Mattembe, limetoa mafunzo kwa wajasiriamali katika wilaya zote za mkoa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe Aitaka Halmashauri ya Wilaya ya Singida Kuwa na Miradi ya Maendeleo Kuongeza Ukusanyaji Mapato

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Asisitiza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Singida inapaswa kuwa na Mradi ambao utasaidia katika Ukusanyaji wa mapato ili kuinua Uchumi wa Halmashauri hiyo. Pia, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi hawa Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) ni tatizo, Waziri Aweso sikia kilio chetu Watumishi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji inayoongozwa na Waziri Jumaa Aweso. SUWASA inaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Sebastian V. Warioba...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Barabara za mitaani jijini Arusha ni afadhali za mkoa wa Singida

    Jiji la Arusha linahitaji bajeti kubwa sana ili kujenga barabara hasa za mitaani Hii ni kutokana na aina ya ardhi ili ujenge barabara ni lazima uhamishe ule udongo wa eneo husika na kuleta udongo ule mgumu, ikifika kiangazi vumbi ikifika masika ndo balaa zaidi. Sina uzoefu na gharama za...
  8. kiwatengu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

    Match Day Yanga SC vs Singida FG NBC Premier League Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522] Time: 1815hours Updates... Saa 12:04 Jioni Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa. Mashabiki wanazidi kuongezeka hapa. Mawingu mepesi mepesi yametanda Vikosi Vinavyoanza Saa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asante Kipa wa Singida Fountain Gate FC Beno Kakolanya 'Kujivunja' ili usicheze Mechi ya leo dhidi ya Yanga SC

    Wenye Kuujua mpira wa Tanzania na Fitna zake zote tumekuelewa hasa ukizingatia kuwa Kiasili Wewe ni mwana Yanga SC lia lia. Nasikia leo kuna Goli kuanzia 3 hadi 5 na hata 6 kama Mipango ikienda vyema. Kipaumbele pia ni Magoli kuwa mengi kumzidi mwenye Kiporo.
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Wanawake Singida wamshukuru Samia Kwa "Cha Asubuhi"

    Kama Nchi tulipofika Sasa tuwe tunachagua watu wa kuongea aiseeee, hizi Sifa zikizidi ni ujinga na matusi! Eti Wanawake wa Singida wanamshukuru Samia kwakua Sasa wamepata maji ndoa zimeimarika wanapata na "kile Cha asubuhi"! Ujinga mtupu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kabudi alivyowanyanyua Wanyaturu Singida na kuwasahau Wanyiramba

    Siku zote nilikuwa nikikutana na Prof. Kabudi ninamhusisha moja kwa moja na Wanayaturu kwa yale macho yake. Wanayaturu wengi niliosoma nao pale Mwenge Sekondari na hata Mazengo Sekondari walikuwa na macho ambayo ni kama makengeza fulani hivi. Sasa kila nilipomwona Kabudi nilimfananisha na Mzee...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Singida, utayaona ya Tabora

    UKISTAAJABU YA SINGIDA; UTAYAONA YA TABORA Anaandika Gibson G Bayona Tunaendelea Tulipoishia.. Ni muendelezo wa ziara ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan,na sasa ikiwa Mkoa wa Tabora. Ni wazi tuliona sehemu ya kwanza ya Ziara hii Mkoani Singida...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Singida (M) Martha Mlata: Miaka 60 ya Mkoa wa Singida

    MWENYEKITI CCM (M) MARTHA MLATA KATIKA ZIARA YA RAIS SAMIA MKOA WA SINGIDA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Ndugu Martha Mlata ameambatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ziara ya kukagua miradi na kuzindua miradi...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Singida: Rais samia azungumza na wananchi kuhusu uchumi, elimu na afya - uwanja wa Police square

    Video: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katka mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Police Square Wilayani Manyoni mkoani Singida.leo tarehe 15 Oktoba, 2023 https://youtu.be/JIEFboO2SNY
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe: Karibuni Wana-Singida Katika Mapokezi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoa wa Singida

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe anapenda kuwakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Singida na Wilaya zake katika Mapokezi ya ziara ya kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Singida itakayoanza tarehe 15-17 Oktoba, 2023...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Gwau: Mkoa wa Singida Umetimiza Miaka 60 tangu Kuzaliwa Kwake Tarehe 16 Oktoba, 1963.

    MBUNGE MARTHA GWAU ANAWAKARIBISHA WANA SINGIDA WOTE KATIKA MAPOKEZI YA RAIS SAMIA MKOA WA SINGIDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Singida katika Mapokezi ya ziara ya kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Singida ipo tayari kumpokea Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba ameeleza namna ambavyo wananchi wa mkoa huo walivyojipanga kwa mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Singida itakayoanza Oktoba 15, 2023. Serukamba amesema...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi, wanasiasa na wafanyabiashara wazaliwa wa SINGIDA, Manyara na Kagera ni chanzo kikubwa cha umaskini kwenye mikoa yao

    Kila ukipita Singida unaona hali ni ileile miaka nenda rudi same applies to Manyara. Na hapa tunapita mjini hata maji ya kunywa shida, ukienda huko wilayani kisha vijijini hali ni mbaya zaidi. Mkoa wa Kagera ni moja ya mikoa maskini nchini kwa sasa. Pamoja na hali ya hewa nzuri na kuzalisha...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Gumzo: Makatibu CCM Singida Wasafirishwa na Mfanyabiashara kwenda Arusha kuandaa Mazingira ya Kuchukua Jimbo 2025

    Huko Mkoani Singida Makatibu wa CCM kata wilaya ya Mkalama inasemekana walisafirishwa na mfanya biashara ajulikanae kwa jina la Baraka Kwenda jijini Arusha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa 2025, ikiwa ni moja ya ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi ndani ya CCM pia ni ajabu kwa Uongozi wa CCM...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SI KWELI Singida Fountain Gate FC yaituhumu TFF na Bodi ya Ligi mchezo dhidi ya Simba SC

    Baada ya Singida Fountain Gate FC kupoteza mchezo wao wa Ligi ya NBC Premier League wakiwa nyumbani dhidi ya Simba, kupitia mitandao ya kijamii walitoa malalamiko yao wakiituhumu TFF na Ligi ya Bodi kuwapangia refa kwenye michezo wanayokutana na Simba ambaye amekuwa akiibeba timu ya Simba SC...
Back
Top Bottom