Kabudi alivyowanyanyua Wanyaturu Singida na kuwasahau Wanyiramba

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
265
240
Siku zote nilikuwa nikikutana na Prof. Kabudi ninamhusisha moja kwa moja na Wanayaturu kwa yale macho yake. Wanayaturu wengi niliosoma nao pale Mwenge Sekondari na hata Mazengo Sekondari walikuwa na macho ambayo ni kama makengeza fulani hivi. Sasa kila nilipomwona Kabudi nilimfananisha na Mzee mmoja wa Kinyaturu niliyefanya naye kazi muda mrefu Wizara ya Fedha mpaka alipostaafu miaka kama minne hivi imepita.

Juzi akiwa Singida Prof. Kabudi kaelezea vizuri historia yake kumbe ukweli Baba yake ni Kabila la Lissu - yaani Tundu Lissu - aliyecharazwa risasi kipindi cha Magu. Huyu Kabudi kumbe alichotekwa nacho ni ile jamii inayofuata ukoo wa mama - yaani matrilineal - kwa maana ya mama yake kutoka Kilosa kwa kabila ambalo mama ana nguvu sana na anakuwa Kiongozi wa Familia. Kwa kujipachika USingida inaonesha kabisa Prof. Kabudi ni kama anataka kupata recognition kwa upande wa baba zake. Hii si kawaida kabisa.

Kutokana na kujipanga huko basi Wanyaturu wakampa nafasi ya kujipambanua. Prof. Kabudi huyo akaongelea mashujaa wa Kinyaturu tu akawaacha watani wake yaani WaNyiramba kama vile hawana chochote katika historia.

AKina Dr. Mwigulu kwa woga nao wakaufyata pyuuuu kwa kuwa hawana cha kujivunia walichofanya Iramba. Hofu imemtanda Dr. Mwigulu, ingawa inaaminika kabisa angekuwa ni mtu strong na asiyejipendekeza alipopata nafasi alipaswa aisemee na historia ya Iramba kidogo kwa kuwakumbuka hata akina Mtemi Shulua, Kilyoma, Kitandu, n.k.

Mwamba Mwigulu alivyopewa nafasi tena akiwa eneo la Shelui yeye akaanza kuropoka jinsi mama anavyopendwa sana Iramba, jinsi mama anavyosaidia Iramba na eti offer ambayo Iramba imepata toka kwa mama. Yaani ujinga mtupu. Sijui mama kwa nini naye amejisahau tena na ameacha kuzuia kusifiwa sifiwa. Ukweli madaraka ya sasa hivi wateule wanayakwapua kwa kusifia.

Kwa tunavyoenda Iramba yetu haina mbunge tena, sijui atatokea nani awe kama Nkurlu, Nalingigwa au angalau Shango na Kiula au hata Mchungaji Thomas Mussa ambao angalau walijua kusema ukweli na kusimamia mila na tamaduni za Kinyiramba.
 
kabudi huyo huyo alishasema yeye baba yake ana asili ya kenya. mara kilosa, mara manyoni, sasahivi ni mnyaturu tena? huyu mzee wa ajabu sana.
 
Ndio mawaziri wetu hao mkuu, nchi inahitaji kuwa na viongozi mbadala haraka sana ndio tutaweza kutoka hapa tulipo.
 
kabudi huyo huyo alishasema yeye baba yake ana asili ya kenya. mara kilosa, mara manyoni, sasahivi ni mnyaturu tena? huyu mzee wa ajabu sana.
Mi Dodoma na Singida,Kilosa hata hawamfahamu alipitishwa na Mwendazake
 
Siku zote nilikuwa nikikutana na Prof. Kabudi ninamhusisha moja kwa moja na Wanayaturu kwa yale macho yake. Wanayaturu wengi niliosoma nao pale Mwenge Sekondari na hata Mazengo Sekondari walikuwa na macho ambayo ni kama makengeza fulani hivi. Sasa kila nilipomwona Kabudi nilimfananisha na Mzee mmoja wa Kinyaturu niliyefanya naye kazi muda mrefu Wizara ya Fedha mpaka alipostaafu miaka kama minne hivi imepita.

Juzi akiwa Singida Prof. Kabudi kaelezea vizuri historia yake kumbe ukweli Baba yake ni Kabila la Lissu - yaani Tundu Lissu - aliyecharazwa risasi kipindi cha Magu. Huyu Kabudi kumbe alichotekwa nacho ni ile jamii inayofuata ukoo wa mama - yaani matrilineal - kwa maana ya mama yake kutoka Kilosa kwa kabila ambalo mama ana nguvu sana na anakuwa Kiongozi wa Familia. Kwa kujipachika USingida inaonesha kabisa Prof. Kabudi ni kama anataka kupata recognition kwa upande wa baba zake. Hii si kawaida kabisa.

Kutokana na kujipanga huko basi Wanyaturu wakampa nafasi ya kujipambanua. Prof. Kabudi huyo akaongelea mashujaa wa Kinyaturu tu akawaacha watani wake yaani WaNyiramba kama vile hawana chochote katika historia.

AKina Dr. Mwigulu kwa woga nao wakaufyata pyuuuu kwa kuwa hawana cha kujivunia walichofanya Iramba. Hofu imemtanda Dr. Mwigulu, ingawa inaaminika kabisa angekuwa ni mtu strong na asiyejipendekeza alipopata nafasi alipaswa aisemee na historia ya Iramba kidogo kwa kuwakumbuka hata akina Mtemi Shulua, Kilyoma, Kitandu, n.k.

Mwamba Mwigulu alivyopewa nafasi tena akiwa eneo la Shelui yeye akaanza kuropoka jinsi mama anavyopendwa sana Iramba, jinsi mama anavyosaidia Iramba na eti offer ambayo Iramba imepata toka kwa mama. Yaani ujinga mtupu. Sijui mama kwa nini naye amejisahau tena na ameacha kuzuia kusifiwa sifiwa. Ukweli madaraka ya sasa hivi wateule wanayakwapua kwa kusifia.

Kwa tunavyoenda Iramba yetu haina mbunge tena, sijui atatokea nani awe kama Nkurlu, Nalingigwa au angalau Shango na Kiula au hata Mchungaji Thomas Mussa ambao angalau walijua kusema ukweli na kusimamia mila na tamaduni za Kinyiramba.
Wewe mkonkilangi nini
 
Back
Top Bottom