simu

  1. JamiiForums Tanzania Anayejua biashara ya kununua simu used toka Kenya?

    Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
  2. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa TCRA kudhibiti Simu feki ni ushahidi kuwa TRA na TBS zimesinzia Kabisa

    Wana JF, Vyombo muhimu vya serikali vyote kwa pamoja vimeshindwa kudhibiti Simu feki hivyo kuongezeka kwa uharifu pamoja nakuikosesha serikali mapato. Kazi ya kudhibiti bidhaa feki ni ya TBS kazi ya kukagua uingiaji bidhaa halali kutoka viwanda vinavyotambulika na kutoza kodi ni TRA. Tra...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Rweikiza apotelewa na simu mbili kwenye geti la bunge

    Spika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe. Chanzo: Channel ten My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!! Maendeleo...
  4. JamiiForums Tanzania Error wakati wa ku flash simu

    Wakuu, nilikuwa na flash simu yangu then bahati mbaya pc ilitaka kuanguka so nilipoidaka simu ika chomoka na process iksimama sasa kila nikijaribu ku flash tena inakataa, simu hiwaki lakini ile taa nyekundu ya charge inawaka ila haioneshi kama chaji inaingia Naomb msaada wa kulitatua tatizo...
  5. JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yafidie MB zetu

    Tokea siku moja kabla ya uchaguzi mpaka zaidi ya wiki moja baadaye mawasiliano ya kimtandao yalisitishwa nchini. Kwa muda wote huo vifurushi vya internet tulivyonunua havikuweza kutumika na vifurushi vingine vili'expire' ndani ya hicho kipindi cha zuio Tunayataka makampuni ya simu yasijikaushe...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ufundi wa hali ya juu wa Electronics

    Ndugu, ni ufundi upi kwenye mambo ya vifaa vya electronics ambao unahitaji ujuzi wa hali ya juu na soko lake ni zuri, kuanzia computers, simu, smart tvs, printers & office machinery na kadhalika.
  7. JamiiForums Tanzania WhatsApp yarahisisha mfumo wa kuhifadhi nafasi katika simu yako

    Mtandao wa kijamii na mawasiliano WhatsApp umefanya maboresho katika mfumo wa uhifadhi na nafasi 'Storage' kwa kurahisisha namna ya upatikanaji wa data/mafaili (Picha, Gifs, Video na Stika) zinazochukua nafasi kubwa katika simu yako. Zana hii itashuhudiwa kwa watumiaji wa WhatsApp duniani kote...
  8. JamiiForums Tanzania Ombi kwa mitandao ya simu kuhusu suala la intaneti iliyokatwa

    Wakuu habari. Natoa ombi maalum kwa makampuni ya simu yote nchini ambayo yalikata au yalisitisha upatikanaji wa internet kwa baadhi ya social media Kama Whatsapp , Instagram, Twitter , Facebook and so on. Siku ili mliyotindiganya mambo watu tulikuwa tumejiunga na mabundle ya internet, wengine...
  9. JamiiForums Tanzania Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)? Kuna siku moja mwaka juzi rafiki zangu waliwahi...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania mbioni kuwakabidhi mgodi Waaustralia wachimbe madini yanayounda vifaa vya computer na simu. Huku watanzania wakiwa hawana ujuzi wowote

    Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources. The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company...
  11. M

    JamiiForums Tanzania TCRA na Kampuni za Simu zirudishe vifurushi vya data za Wateja baada ya Mitandao kuzimwa

    Makampuni ya mawasiliano nchini yamezima data takriban wiki moja sasa. Wakati yakizima, hayakuwatangazia wateja juu ya uzimaji huo, na hivyo wateja wengi wakajikuta vifurushi walivyokuwa wameweka kwenda bure! Lakini pia, kwa wale ambao hawakujua kuwa kuna kuzimwa kwa makusudi kwa mtandao...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawasiliano ya simu na gazeti lolote la Tanzania

    Wakuu, poleni na Lockdown ya mtandao hope watarudisha baada ya wanachokitaka kutimia. Ninataka kuweka tangazo katika moja ya gazeti hapa nchini, hii ikiwa ni hatua ya pili katika jambo ninalolifuatilia, ni hatua ya lazima kwamba tangazo lazima liwepo kwenye gazeti then utaratibu mwingine...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Fanya hivi kwenye simu yako kujua kituo chako cha kupigia kura

    JE WAJUA? SIMU YAKO INAWEZA KUKUJULISHA KITUO CHAKO CHA KUPIGIA KURA? Kwa simu yako bofya namba *152*00# kisha chagua namba 9(Uchaguzi Mkuu), kisha chagua namba 1(Uhakikiwa Taarifa za Mpiga Kura) Ingiza namba ya kadi ya mpiga kura bila kuweka herufi ‘T’ wala alama ‘-‘ Utapokea ujumbe...
  14. B

    JamiiForums Tanzania TBC kumhoji Mtumishi wa Tume bila kuruhusu Wananchi kupiga simu kumuuliza maswali ni ushamba

    Muda huu huyu Mtumishi yuko live, TBC hawataki kuruhusu simu kupigwa studio ili ajibu maswali waliyonayo Wananchi, ina maana gani kupiga porojo tu, nadhani kuna haja ya kuleta mabadiliko makubwa sana
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom inasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bure

    Safaricom ina miaka ishirini sasa. Ili kusherehekea, Safaricom itaruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bila malipo. Safaricom ina takriban 33 million customers hapa Kenya. Kila customer atapata hii fursa...
  16. JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano ya simu ilivyo nguzo muhimu kuleta mabadiliko ya kiuchumi Tanzania

    Dunia inaendelea kushuhudia maabadiliko makubwa ya kiteknolojia sehemu mbali mbali kwa kasi ya ajabu. Sehemu kubwa ya matunda ya teknolojia mfano matumizi ya simu mkononi ambayo yapo sasa, yasingeweza hata kufikirika mwanzoni mwa karne ya 21. Ukweli usiopingika ni kwamba, kadiri maendeleo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hili la Vodacom na Airtel ku-block SMS zenye jina Tundu Lissu limekaaje?

    Baada ya kuona twitter nikajaribu binafisi kituma sms ni kweli ukitma sms yenye Tundu Lisu haiendi, Sikutarajia kama hizi kampuni zitafikie levo hii aiseee, hii ni too far sana, wameingia rasimi kwenye siasa.
  18. JamiiForums Tanzania Msako/ukaguzi wa ghafla kufanyika kwenye simu yako. Cha kwanza kufuta ni nini

    Mara pap imetokea msako au ukaguzi tu wa kushtukiza katika simu yako..na ukapata sekunde chache kabla hujapokonywa simu yako kwa ajili ya huo ukaguzi... Ili kulinda status yako/siri zako utafuta vitu gani kwa fasta fasta? Meseji? Xvideo? Picha? Namba za simu? Social networks? Betting apps? Au...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu

    Habari zenu wadau. Mimi nahitaji kufanya biashara ya simu pamoja na ear phones, cover za simu, chaja za simu. Naomba ushaur wa hii biashara wapi naweza kupata hizi bidhaa kwa bei ya jumla, pia na changamoto za hii biashara, nipo kusini huku mwa tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…