Wakuu nauliza na pia nataka kujua kama kuna simu inayo-operate au kufanya kazi kama kompyuta inavyofanya kazi,
Hapa nazungumzia jinsi upangaji wa mafaili unavyofanyika katika kompyuta na je simu pia inaweza kufanya kama vile kompyuta inafanya
Na pia jinsi kompyuta inavyofanya kazi kama multi task device.
Je, zipo simu za namna hiyo?