simu

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mtandao inapoweka mnara kwenye eneo lako huwa wanalipa kuanzia Tsh ngapi?

    Habari Wana JF, Samahani naomba msaada nataka kujua gharama wanazolipa Hawa wamitandao wanapoweka mnara kwenye eneo la mtu kuanzia Malipo ya mwanzo na Malipo ya Kila mwezi eneo lipo kijijini mkoa wa Kagera. Tunaogopa wasije kutupiga hatujui chochote. Ahsanteni
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu wafidiwe pesa katika mitandao ya simu ikitokea wenye Akaunti zenye salio wameaga dunia

    Habari ndugu Watanzania, Nimesukumwa kuandika uzi huu, kutoka kwenye uzi mwingine uliofunguliwa juu ya madai ya mtu kumtumia mzigo mteja wake, na mteja imetokea ameaga dunia kabla ya kupokea mzigo. Niliwahi kufungua uzi kipindi cha nyuma unaoendana na huu ukiuliza ndugu wanafidiwa vipi maslahi...
  3. JamiiForums Tanzania TCRA waichunguze kampuni ya simu za mkononi ya Halotel

    Mtandao wa Halotel umekuwa na tabia ya kukata salio la muda wa maongezi mara tu unapoongeza salio. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu sasa, na nikipiga simu huduma kwa wateja naambiwa kuna huduma nimejiunga inayokata salio hilo, wakati hakuna huduma yoyote ambayo mimi nimejiunga. Mbaya zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Nimemiss namba za simu za wahudumu kwenye bili

    Hii kitu nilikuwa na nyota nayo. Kila nikinywa sehemu soda na nyama naandikiwa namba za simu na mhudumu kwenye bili. Nkawaza ningekuwa nakunywa bia ingekuwaje kama soda wananiandikia namba zao. Leo hii kila nikienda hata bili ya karatasi sipati tena unaambiwa alf kumi bili yote tumalizane...
  5. JamiiForums Tanzania Naweza nikatrack mawasiliano ya simu ambayo nimeongea nayo juzi? Kijana kakimbia na pikipiki yangu toka juzi, hivi sasa hapatikani.

    Habari viongozi? Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda. Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti. Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini mkiibiwa simu mnaipigia, mnataka kumwambia nini mwizi?

    Mtu labda ulikuwa zako kwenye usafiri wa umma, ukaibiwa simu yako. Au hata nyumbani kwako watu wamevunja dirisha wamebeba simu. Unakuta mtu yuko busy kujipigia, huwa mnataka kumwambia nini mwizi?
  7. JamiiForums Tanzania Nateseka sana na hii simu

    Mimi ni mpenzi wa magemu hasa Yale ya Ppsspp sasa hii simu ni Infinix hot 30 play Niki download game kupaste data kwenye Zarchiver inagoma inaandika kama hivo pichani nimejaribu kuangalia YouTube nimetoka holaaa, Mwenye kujua kurekebisha ilo tatizo 🙏
  8. JamiiForums Tanzania App nzuri ya kuscan kutoka picha kuwa pdf

    Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
  9. JamiiForums Tanzania WanaJF, Msaada Tutani 🤔.

    Habari wanajamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Simu yangu imeleta mushkeri kidogo, najua kuna wataalam kwenye masuala ya simu. Tatizo hili nimeliona Asubuhi nilivyo amka, jana nilitumia simu mpaka mida ya Sita usiku, nilivyo itumia ikabaki asilimia 10%, hivyo ikabidi niweke...
  10. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Afungwa Kifungo cha Maisha Baada ya Kulipiwa Umeme (Luku) kwa Simu ya Magaidi

    Unakumbuka tukio la kigaidi lililotokea Kampala, Uganda wakati wa mechi ya fainali ya World Cup 2010, kati ya Spain na Holland? Tukio lile lilimfanya mtangazaji wa Radio Salaam FM ya Mombasa, Habib Suleiman Njoroge kuingizwa kwenye kesi ya ugaidi wa tukio lile, na sasa anatumikia kifungo cha...
  11. JamiiForums Tanzania Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Wadau wiki mbili zilizopita, dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua China plaza. Walipompeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka. Juzi rafiki yangu, google pixel 7...
  12. JamiiForums Tanzania Ipo haja faini za barabarani zinazohusu speed kwenda automatic kwenye simu ya mmiliki

    Ili kuondoa mianya ya rushwa, mabishano nakadhalika. Polisi Usalama Barabarani wabaki kukagua mambo mengine, zitegwe speed detectors, ukizidisha mwendo message inakuja tu kwenye simu yako unapambana na hali yako, askari wapungue road wabaki vehicle inspectors tu na wakaguzi wa makosa mengine...
  13. JamiiForums Tanzania Simu inakata ku instal apk

    Jambo wa ndugu zangu Nakuja kwenu ku omba msaada Kama kuna mtu anajuwa solution ya SIM yangu Nina SIM yangu TECNO POVA aita ki ku instal application mpaka ni Download kupitiya Playstore tu
  14. JamiiForums Tanzania Ukikutana na abiria anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?

    Baadhi ya abiria wamekuwa na tabia hii ya kuchungulia kinachoendelea kwenye simu za majirani zao wanapokuwa kwenye usafiri wa umma bila kujali hawapaswi kufanya hivyo. Ukikutana na abiria kama huyu akiwa anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?
  15. C

    JamiiForums Tanzania Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?

    Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?
  16. JamiiForums Tanzania Simu aina ya Samsung nimeidharau sana. Wenye infinix bakini nazo nafuu

    Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana. App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi. Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
  17. JamiiForums Tanzania Matapeli wa simu wamekuja na mbinu mpya

    Unatumiwa msg unaambiwa kama unahitaji mkopo jibu MAX kwenye hii msg halafu utapata mkopo was sh 3000. Ukijibu MAX unapata msg ambayo inasema umefanikiwa kupata mkopo. Halafu ukijaribu kuingia katika internet unashindwa. Line yangu ni ya TIGO. HII ni mara ya pili napata matatizo na TIGO...
  18. JamiiForums Tanzania Taliban wapiga marufuku wanawake kupiga simu redioni

    Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion ✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono ✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini ✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu si kwamba hairuhusu maumbile tu ya mwanamke kuonekana, Bali hata Sauti ya Kuvutia inamfanya Mwanaume...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kutumia Simu wakati wa Kulala kunaharibu Moyo, Ubongo na Macho yako

    #AFYA: Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na Taasisi za All India Institute Of Medical Science (AIIMS) na Cleveland Clinic, Watu wanaotumia Simu za Mkononi 'Smartphone' wakati wa Kulala, wako hatarini zaidi kuharibu Afya za Moyo, Ubongo na Macho. Utafiti huo umeonesha matumizi ya Simu muda ambao...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Simu ya mkopo imepotea. Naipataje?

    Habarini za Asubuhi wana JF Niende direct kwenye jambo Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dkk kama 30 hv kisha ikazimwa (wakatoa line, ikwa offline ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…