simu

  1. Ngwanakilala

    JamiiForums Tanzania Kuhakiki taarifa za mpiga kura kwa kutumia simu yako ukiwa nyumbani bila kwenda mahali popote

    Fuata Hatua Zifuatazo Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura Kwa Kutumia Simu Yako Ukiwa Nyumbani Bila Kwenda Mahali Popote. Ni vyema kila mtu ahakiki na mwezi wa kumi aende kupiga kura ili kuamua mustakabali wa nchi yetu na future yetu sisi na watoto wetu Chagua namba 9 Chagua namba moja Weka...
  2. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania TCRA: Namba za simu zisitumike kutoa taarifa kuhusu majanga hapa nchini. Atakayekiuka agizo hili kukiona

    Wakuu Salaam; 👇👇 Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Jinsi ya kutumia Simu yenye Password ili kumsaidia Mgonjwa ambaye simu yake ina Password

    Wakuu, Poleni kwa kuwapoteza Wapendwa wenu kwa namna moja ama. Kuna nyakati inabidi kuna mambo tukumbushane au tufundishane, si dhambi. Kwa kipindi hiki cha Corona kuna wenzetu wanaweza kuzidiwa ghafla na tukahindwa kumsaidia kwakuwa hatuawafahamu ndugu zao na kwakua simu zao zina Passwords...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Acheni kuweka password kwenye simu ili.likitokea lolote iwe corona au chochote mawasiliano yawepo

    Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
  5. COVID 20

    JamiiForums Tanzania Nimeokota simu ndani yake kuna picha ya mke wa mtu katuma akiwa mtupu

    Mambo zenu ndugu zangu Jioni ya leo kuna mtu mmoja mwanamme kadondosha simu aina ya Samsung na kwa bahati mbaya zaidi haina password. Sasa katika kutaka kuichunguza tumeingia Whatsap katumiwa picha za utupu na mke wa mtu ambaye ni mwalimu katika Shule ya Msingi na ambaye mme wake yupo kikazi...
  6. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Nataka kubadili betri ya simu ambalo ni non removable

    Simu yangu tecno camon cx. Betri yake non-removable 3200 mAh. Nataka niweke 5000mAh, wapi nitapata hii service?
  7. Hackboy

    JamiiForums Tanzania Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

    Habari wa JamiiFirums, Leo nimejisikia ku-share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya. Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu. Tafdhali tembelea kiunganishi hiki: https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
  8. Sangoma

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vifaa vya ufundi simu upande wa hardware

    Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua...
  9. MZEE MSASAMBEGU

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutuma simu kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani

    Wakuu habari zenu, Kuna simu nataka nimtumie mtu kutoka Dar kwenda mkoani...naomba kwa mwenye uzoefu wa mtu ambaye amewahi kutuma simu kwa mtu aliyopo mkoani anipe uzoefu kwenye mambo yafuatayo: 1. Njia ipi ya haraka na ya usalama ya kutuma huo mzigo 2. Gharama zake huwa zikoje
  10. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Hii simu ni Iphone ama Huawei?

  11. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wafunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali inayowasababishia wananchi kupata mafuriko

    Wabunge wastaafu na wale watarajiwa wa CCM wamejianzishia mtaa wao huko Ununio na kuuita Bunge Btreet, miongoni mwao ni Mzee Kimiti, Mh. Foya wa Hai, Mh. Adam wa Muleba na Mh. Kippi anayetarajia kugombea Kawe. Cha kusikitisha wabunge hawa wamefunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Simu za watu zinafuatiliwa kama namna ya kupambana na #covid19

    Ili kupambana #CoronaVirus wakenya wanahofu kupoteza haki yao ya faragha kwa kuwa simu zao zinafuatiliwa ili kupunguza maambukizi ya #Covid_19 Kufuatilia simu huanza mara baada ya mtu kuonekana ana hatari kubwa ya kuwa na maambukizi. Na hufuatiliwa hadi pale itakapothibitika pasi na shaka kuwa...
  13. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu ku-stuck na kujipress yenyewe.

    Habarini, Rejea title inavyosema. Nina simu yangu ya Android (Tecno Spark III) yenye tatizo kama nilivyoeleza kwenye title. Ina kama siku ya nne tangu ilivyoanza kuleta shida ambapo ilianza kwa kustuck... Kadri siku zinavyokwenda tatizo linazidi kuogezeka kiasi cha kuanza kujipress yenyewe...
  14. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Namba za simu za Ofisi nyingi za Serikali hazipatikani

    Sijui ni nani anahusika ku huisha namba za Ofisi za Serikali kama za Mawaziri/Wizara, Wakuu wa mikoa, Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali kuu za Wilaya na taasisi nyingi za Serikali kwenye mtandao kwani namba nyingi zilizopo zilishafungiwa au zimebadilika. Naamini kutokuwa na namba za simu...
  15. haszu

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo mitandao ya simu huduma kwa wateja

    Najua imezoeleka kua namba ya huduma kwa wateja ni 100, ila napendkeza kila mtandao uwe na namba tofauti mbali na miamoja ambayo mtu anaweza kupiga akitumia namba ya mtandao wowote. Sababu ni kua kuna wakati unajikuta unadharura, mfano laini ya simu imefingwa, uko mbalina ofisi na karibu yako...
  16. Latrice

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha zilizopigwa na simu za XIAOMI

  17. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Uzi wa wenye simu za iPhone

    Habari wajanja wa mujini, Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi. Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
  18. Vege

    JamiiForums Tanzania Vile mitandao ya simu ilivyofanya Corona kama biashara ya kuwanyonya wateja

    Habari zenu wadau, Kutokana na matamko ya serikali ya watu kujifungia ndani ama kalantin kama inavyojulika, mitandao mingi ikiwemo TTCL, VODACOM, TIGO wamekua waki pandisha bei za vifurushi vyao kiholela na kupunguza thamani ya vifurushi hivyo. Wakati ili hali wanajua watu wengi wapo nyumban...
  19. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Je naweza kutumia charger (adapter) USB Type-C ya laptop kuchajia simu?

    Nina laptop unayotumia adapter ya USB type C na simu ya charger ya USB type C. Sasa naomba kuuliza je naweza kutumia hii adapter laptop kuchhaji simu? Kuna siku nilijaribu ila ofisini pale mtu mmoja akanitisha kua nitaua simu au itaungua ingawa alienipa tahadhari sio mtaalamu wa mambo ya umeme...
  20. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake nchini Tanzania

    Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala wa usawa wa kijinsia. Nchini Tanzania usawa wa kijinsia umeongezeka katika miaka ya karibuni...
Back
Top Bottom