Jeshi la polisi nchini Japan linamshikilia mzee mwenye umri wa miaka 71 kwa kuipigia simu kampuni moja mara 24,000 kupitia namba ya bure, akiilalamikia kuwa imekiuka mkataba kati yao.
Mwanaume huyo aliyetajwa kwa jina la Akitoshi Okamoto alifikishwa kwenye selo za polisi Novemba 26, 2019 na...
Yaani badala ya kununua milingoti ya chuma na wire kwa ajili ya kufunga zile taa za mwanga barabarani, napendekeza taa ziwe zinafungwa kwenye mistimu ya umeme iliyopo kando kando ya barabara na ziungwe kwenye umeme moja kwa moja, hii itakoa fedha nyingi mno.
Pia badala ya kusimika mistimu ya...
Yaani badala ya wakala kubandika namba za kutolea pesa za mitandao tofauti tofauti, aweke namba moja tu ya wakala na wateja wenye line za mitandao yote waweze kutoa pesa kwa kutumia namba hiyo hiyo moja, halafu wenye mitandao watagawana wenyewe pesa huko kwa kutumia automatic system...
Karibu robo ya vijana wamejenga tabia ya utegemezi wa simu zao na tabia hiyo imekuwa kama uraibu, utafiti umebainisha.
Utafiti uliofanywa katika chuo cha King kilichopo London, unasema kuwa watu wanakuwa na hofu na kukasirishwa kama wakinyimwa mwanya wa kuwa na simu.
Vijana wamekuwa...
Nchi ya Uganda imefikia hatua nzuri sana inayostahili pongezi kwa kuweza kutengeneza simu na kuziingiza sokoni.
Uzalishaji unaonekana kuwa simu 2000 za kawaida, smartphone 1500 na kompyuta mpakato 800.
Watanzania tujifunze hapo napo
Mitandao yote ya simu kuanzia Vodacom, Airtel, Holotel, Tigo, Zantel na TCCL. Wanatakiwa kushitakiwa kwa kuruhusu mawasiliano yetu kuingiliwa na serikali, muda mwingine wanawapa taarifa za wateja serikali ambao hawana madhara yeyote sio majambazi sio magaidi inakuwaje mitandao inaruhusu...
Moja ya Kazi yangu nyingine ni ya ‘ Ukomedi ‘ lakini ambao unawasilisha jambo fulani mtambuka ( lililotokea punde ) nikiwa na nia ya Kuwaburudisha Wasomaji wangu lakini pia Kuwaonyesha Wahusika kwamba walikosea ili Siku zingine wasirejee hilo Kosa na mwisho ni kutoa Elimu kwa Watawala / Viongozi...
Watu bado wanatapeliwa jamani tuache masihara! Hali inatisha, mshikaji wangu jana imemtoka 120,000 hivi hivi eti kapigiwa simu kaambiwa kuna ofa yake mtandao fulani wa simu, ila aweke hicho kiasi cha pesa atumiwe ofa yake isiopungua 1 million.
Muda muafaka wa hizi namba kwa nini tusi-share...
KIKAO CHANGU NA MAKAMPUNI YA SIMU KUHUSU KESI YA KUIBIWA VIFURUSHI.
Bashir Yakub, WAKILI
0714047241.
Ndugu wapendwa mnakumbuka wiki iliyopita niliwapa taarifa kuwa baada ya kutangaza na kuanza utaratibu wa kuyashitaki makampuni manne ya simu Tigo,Vodacom,Airtel na Halotel nilipata ujumbe...
Ni wazi kuwa smartphone zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku kiasi kwamba pale simu yako inapokuwa imezima angalau kwa dakika chache unakuwa na wasiwasi wa kushindwa kufanya mambo yako ya kila siku.
Lakini ni kweli kwamba “kila kitu huchoka” nahisi hii ni sababu ya wewe kuendelea kusoma...
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yametuletea bidhaa na huduma bora kabisa kuwahi kutokea hapa duniani.
Chukua mfano wa simu janja (smartphone) na mtandao wa intaneti, vitu hivi viwili, vimeleta mapinduzi makubwa sana duniani, vimetengeneza mabilionea wengi mno na hata kurahisisha kila kitu...
Tecno Spark 4 Air ni simu yenye sifa zifuatazo:-
1. Display: IPS LCD, 6.1 inches
2. OS: Android 9.0 (Pie)
Kwa kuboresha toleo la hivi karibuni la mfumo endeshi na kiolesura cha mtumiaji, mabadiliko murwa na yenye kuburudisha zaidi yanakusubiri uyavinjari.
Wakati huu, huhitaji tena vipodozi...
Ilitangazwa siku za karibuni kuwa Tanzania imepanda toka nafasi ya 144 hadi ya 141 katika taarifa ya Benki ya Dunia kuhusu ubora wa mazingira ya kufanya biashara. Hii inaifanya Tanzania kuwa nafasi ya nne katika eneo la Afrika ya Mashariki ukitazama nchi 190 duniani ambazo ripoti hiyo...
Takriban nusu ya laini milioni 44 za simu zinaweza kufungwa iwapo kasi ya utoaji vitambulisho vya Taifa haitaongezeka katika siku 49 kuanzia leo.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itazizima laini hizo ifikapo Desemba 31 iwapo wamiliki watakuwa hawajajisajili kieletroniki kwa...
UPDATE MASHTAKA DHIDI YA MAKAMPUNI MANNE YA SIMU.
Bashir Yakub, WAKILI
0714047241.
Niliwaahidi kwamba nitakuwa nikiwaeleza kila tukio kuhusu mchakato wa kuyashitaki makampuni ya simu kwa unyonyaji.
Mnakumbuka kuhusu yale mambo yetu matano, vifurushi kutokuwa na muda wa kuexpire,ruhusa ya...
FARAJA MASINDE-DAR ES SALAAM
WAKILI wa kujitegemea, Bashir Yakub, ambaye amechapisha barua ya wazi mtandaoni aliyoiita, ‘mashtaka kwa kampuni nne za simu’, akipinga kuisha kwa muda wa vifurushi vya muda wa maongezi na bando vinavyowekwa kwenye simu ameliambia gazeti hili kuwa mapambano bado ni...
Serikali ya China imetangaza kuanzia Ijumaa ya kesho tarehe 2 Nov, mitandao yote ya simu China itaanza kutoa huduma ya 5G na kufikia mwisho wa mwaka huu inategemewa sehemu kubwa ya miji ya China itakuwa na huduma ya mtandao wa 5G. Hii ndio itakuwa huduma kubwa zaidi ya mtandao wa 5G duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.