Una namba za simu (contacts) ngapi kwenye Simu yako?

Una namba za simu (contacts) ngapi kwenye Simu yako?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
33,659
Reaction score
97,349
Wakuu habari,

Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima.

Sasa leo nilikuwa nafutafuta baadhi ya namba za simu ambazo hatujawasiliana miaka nenda rudi, zipo tu kwenye simu kiushahidi. Nina namba za simu 365 hadi sasa (kabla sijaanza kufuta).

Wengi ni wafanyakazi wenzangu, classmates wa vyuo, sekondari na wengine mtaani nilipokulia.

Nyie wenzangu muna namba approximately ngapi?

Lengo nibakiwe na chini ya 100 tu ambao nakuwa nao karibu tunawasiliana, siyo hawa wengine kazi ku-view status zao tu.
 
Mrongo wewe

Hii ni mojawapo ya account zangu za Google.
Adjustments.jpg



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Duh haya. Itakua hujawahi futa namba yoyote tangu uanze kumiliki simu au unafanya kazi ambayo unadeal sana na watu (customers)

Nimeanza kumiliki simu 2004, mara kadhaa nimeshafuta na hata sideal na customers in search.


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mimi katika inshu ya contacts niko sensitive sana Nina namba 16 kwenye simu ndogo ambao ndio watu muhimu ila pia nina smartphone ambayo nime save namba kwa emails hapo zipo almost 2000
Sasa watu 2000 wote hawa umekutana nao wapi mkuu??
 
Back
Top Bottom