Mh. Rais wetu John Pombe Magufuli, nijuavyo Mimi kama nitakosea unisamehe bure, tatizo tulilonalo la usajiri line za simu si muhimu sana kama kulinda usalama wa vitambulisho vyetu, kauli za zima moto za Waziri wa Mambo ya ndani zina athari.
Wapo wengi hasa maeneo ya Magharibi wengine wapo hired...
Tunajua laini za simu szisizosajiriwa ikifika 31Desemba Kisha 20Januari 2020, zitafungwa.
Tunajua serikali ilipitisha na kuridhia laini za simu kuwa akaunti za pesa pia
Tunajua simu ikifungwa akaunti ya pesa haiwezi kutumika, maana unaanza kuwa na laini ndio upate akaunti ya pesa na sio...
Nimewahi kulalamika kuna watu wanatakiwa wajiondoe wenyewe maofisini kama wameshindwakwenda na kasi ya Mh. Rais.
Hapa Kawe ofisi za NIDA kumekuwa na udhalimu, rushwa kila aina; watu wanawahi, wengine wanakuja wanapelekwa mbele na walinzi wanaondoka munabaki.
Hilo siyo shida; utaratibu wa...
Watalii wallopo ndani ya nchi ambao walichukua line za simu nao hali mbaya.
Mfumo wa Immigration hausomeki kule NIDA na makampuni ya simu nao wanasema hawaoni kitu. Sisi ambao tuko kwenye sekta ya utalii tunashindwa kuelewa tatizo liko wapi.
Watalii walipo ndani ya nchi wakienda kusajili line...
Toleo jipya la simu CAMON 12 Pro ya hivi karibuni imewekewa kitufe cha Msaidizi wa Google (Google assistant) ambacho kinaruhusu watumiaji kufanya mambo mengi zaidi kwenye mfumo wa Google.
Kampuni kinara ya Kimataifa ya simu za rununu ya TECNO yenye simujanja yake ya Camon 12 Pro ya hivi...
Katika siku za hivi karibuni huduma ya kutuma fedha, kupokea na kulipa kupitia simu za mkononi imekuwa jambo kubwa nchini na kwa kiasi kikubwa kichocheo cha maendeleo yetu. Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa faida zinazohusiana na huduma za kifedha kwa njia ya simu za mkononi zinachangia sana kwenye...
Mwaka mpya ni wakati wa kutafakari yaliyopita, tulipokosea, tulipofanikiwa na namna gani tufanye vizuri zaidi. Tumeingia pia muongo mpya (2020 hadi 2030) kwa hiyo pia ni miaka kumi kutafakari nini tumefanya miaka 10 iliyopita na nini tufanye miaka 10 ijayo. Bila shaka muongo uliopita (2010 hadi...
Jipatie tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha,
inakwenda kwa bei ya 100,000 mazungumzo yapo.
Napatikana Mbeya nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.
Habari wakuu!
Hii ni forecast yangu tu, ninavyozijua siasa za Tanzania tarehe ambayo tunatangaziwa na mitandao ya simu kuwa watazima line ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole tukio litabadilishwa kutoka kufungia line mpaka kutumbuliwa mtu.
WanaJF habarini!
Mara nyingi niwapo Vijijini (sehemu ambazo network ni dhaifu) napendelea kutumia simu ndogo (ya batani/java phone) maana smartphone huwa slow kupita kiasi tofauti na simu ndogo.
Pale nikiwa kwenye data huwa inatokea alama "E" lakini kuna baadhi ya maeneo nikiwa kwenye data...
Hii imetokea usiku wa kuamkia leo, mkesha wa mwaka mpya wa 2020 baada ya Rais kumpigia simu akiwa jukwaani na kumpongeza Diamond.
Diamond amemhakikishia ushindi wa kishindo 2020 kwenye uchaguzi mkuu October.
Hii inaitwa double target kwa wale waliopitia courses za strategies kama mimi from...
Wakuu habari,
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima.
Sasa leo nilikuwa nafutafuta baadhi ya namba za simu ambazo hatujawasiliana miaka nenda rudi, zipo tu kwenye...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imezipiga faini kampuni saba za simu baada ya kushindwa kutekeleza masharti ya leseni na kukidhi viwango vya ubora wa huduma kwa mujibu wa Kanuni za Ubora wa Huduma za mwaka 2018.
Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi na Utekelezaji wa Sheria wa...
Kama kuna uwezekano line na mitandao ya simu kutenganishwa ingekuwa ni vizuri sana.
Yaani anayetoa line na namba awe taasisi moja, halafu kuwe na teknolojia ya kuruhusu mtumiaji kutumia na kuhama kwenye kampuni atakayopenda wakati anapotaka kwa kutumia simu yake.
Yaani line yako uweze...
Kwanza naomba niwape pole kwa mapambano ya kila siku kuhakikisha maisha yanaenda.
Mimi ni mwanafunzi wa Degree chuo kimojawapo hapa Dar katika course ya IT.
Katika maisha kila mtu anakuwa na lengo lake kuwa baada ya muda fulani nataka kuwa katika level hii ya maisha.
Personally naomba msaada...
Tangu kuanzishwa kwa huduma ya kufanya maombi ya viza mtandaoni kwa wageni wanaotarajiwa kutembelea Tanzania, huduma hiyo imezorota katika siku za karibuni.
Muombaji viza anaetaka kutembelea Tanzania kwa kusudio lolote inanmbidi ajaze fomu ya maombi mtandaoni ambapo idara ya uhamiaji makao...
Ebwana eee kwa yule anayeweza kukopa kwenye simu muda ndio huu kopa kopa kopa kwa bidii mlipaji yupo kwa maana fedha zipo pale TCRA za kulipa hayo madeni ,hakuna kampuni itakayokubali hasara kirahisi, Mpawa tu wana kama bilions of money hazijarejeshwa, ebwana wekeni mikakati kupata vitambulisho...
Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kuanzia kuanzia Januari 1-20 kwa watu wote watakaoshindwa kusajili laini zao za simu ifikapo Desemba 31.
Pia, leo Desemba 27 Rais amefanya usajili wa laini yake kwa kutumia alama za vidole
Mwananchi
====
Nimeshangaa sana baada ya Rais kubadili Maelekezo yake. Mwanzoni alikiri kuwa ni vigumu usajili kukamilika kwa kutumia Vitambulisho vya Taifa lkn jana ameelekeza kuwa kufikia Tarehe 20 Januari 2020 usajili huo uwe tayari. Nikaangalia nilipo mimi huku Idukilo - ukitaka kukutana na NIDA mpaka...
Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa.
Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa.
Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.