Tarehe 20, Jan, 2020 line za simu hazitafungwa badala yake atatumbuliwa mtu.

Wameshaweka njia Mbadala ya Vyeti vya kuzaliwa? kwa sisi Wengine kuapata cheti cha kuzaliwa ni inshu
Toa hela upate cheti-----ni ndani ya dakika sifuri habari kwisha hata kama ni mkimbizi Wa kigoma----
 
Na akitumbuliwa mtu makamba ndie anakabidhiwa mikoba
Habari wakuu!
Hii ni forecast yangu tu, ninavyozijua siasa za Tanzania tarehe ambayo tunatangaziwa na mitandao ya simu kuwa watazima line ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole tukio litabadilishwa kutoka kufungia line mpaka kutumbuliwa mtu.
 
Back
Top Bottom