Kikosi bora cha Simba SC 1990-2010

Yoooo! Rock you're back kwa fasi ya dwasi.

Moja sawa mbili tupia Kasongo Athumani Mgaya
Tatu Godwin Aswile (Scania) nne muweke Deo George Magere Masatu.
 
Yoooo! Rock you're back kwa fasi ya dwasi.

Moja sawa mbili tupia Kasongo Athumani Mgaya
Tatu Godwin Aswile(Scania) nne muweke Deo George Magere Masatu.

mkuu kaligraph nipo

kasongo alikua anaupiga sana hasa akimwona lunyamila kwenye chaki lakini said sued alikua bora zaidi
 
Mimi nazani kiuhalisia ilitakiwa uanZe na kaseja na sio huyo mwameja kwa sababu kaseja alikuwa na performance mzuri uwanjani na mafanikio ya kufika mbali kwenye vikombe vingi
Pili kaseja alvyofika simba mwameja alitafta kazi nyingine

Alafu victor Coster alicheza kidogo sana unaweza mtaja kama kipaji kikibwa ila sio gwiji ,Gwiji wa hiyo position at given time ni PAWASA

Hivi said Swed si central defender alaf mdogo ake Salam ndio fullback?
Vipi kuhusu E,Gabriel

Changu ni hiki
Kaseja
Pawasa
Alphonce Modest
Said Swed
Gorge Masatu
Matola
Ulimboka
Bobani
Gabriel
Mogela
Nico nyagawa

Sub,Mwameja,Maftah ,Kiemba,Henry Joseph, Abdalah Juma
Formation 3--1-2--2--2
 
Hamna shukrani yaani wote hakuna anayemweka jamaa wa Hirizi ama Okwi.Mikia acheni hizo
 
Mimi nazani kiuhalisia ilitakiwa uanZe na kaseja na sio huyo mwameja kwa sababu kaseja alikuwa na performance mzuri uwanjani na mafanikio ya kufika mbali kwenye vikombe vingi
Pili kaseja alvyofika simba mwameja alitafta kazi nyingine

Alafu victor Coster alicheza kidogo sana unaweza mtaja kama kipaji kikibwa ila sio gwiji ,Gwiji wa hiyo position at given time ni PAWASA

Hivi said Swed si central defender alaf mdogo ake Salam ndio fullback?
Vipi kuhusu E,Gabriel

Changu ni hiki
Kaseja
Pawasa
Alphonce Modest
Said Swed
Gorge Masatu
Matola
Ulimboka
Bobani
Gabriel
Mogela
Nico nyagawa

Sub,Mwameja,Maftah ,Kiemba,Henry Joseph, Abdalah Juma
Formation 3--1-2--2--2

Costa kacheza cheza Simba kwa nyakati kama mbili au tatu tofauti
kuna muda alienda South akarudi Simba
kuna muda alienda Mozambique badae akarudi simba (ile simba iliyompiga utopolo 5-0 japo hiyo game hakucheza)

kuhusu said sued hajawai kucheza katikati... yule alikua mbavu ya kulia sometime kama kuna majeruhi upande wa kushoto alikua pia ana uwezo wa kucheza.
 
Uwezo waa Mwameja ni mkubwa sana kulinganisha na kaseja. Mwameja alikosa bahati tu ya kucheza ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app

mwameja alienda England kwenye majaribio ya club ya Reading na akafuzu, sema kuna mambo flan ya ukiritimba ndani ya FAT (TFF now) yalimkosesha dili.... refer beef yake ndolanga walikua hawapeani salamu wala mikono pindi Ndolanga alipokua mgeni rasmi uwanjani.
 
Emmanuel Gabriel umemkosea heshima

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli Emmanuel Gabriel "batistuta" alilkua mchezaji mzuri lakini unapokua umepewa option mbili mkononi za namba 9 na 10 na huku una watu kama machupa, madaraka selemani, Musa mgosi, Malota Soma, Edward Chumila, Damian Kimti, Boban,Juma Amir maftah, inakua ngumu sana kumweka Gabriel.
 
Mimi nazani kiuhalisia ilitakiwa uanZe na kaseja na sio huyo mwameja kwa sababu kaseja alikuwa na performance mzuri uwanjani na mafanikio ya kufika mbali kwenye vikombe vingi
Pili kaseja alvyofika simba mwameja alitafta kazi nyingine

Alafu victor Coster alicheza kidogo sana unaweza mtaja kama kipaji kikibwa ila sio gwiji ,Gwiji wa hiyo position at given time ni PAWASA

Hivi said Swed si central defender alaf mdogo ake Salam ndio fullback?
Vipi kuhusu E,Gabriel

Changu ni hiki
Kaseja
Pawasa
Alphonce Modest
Said Swed
Gorge Masatu
Matola
Ulimboka
Bobani
Gabriel
Mogela
Nico nyagawa

Sub,Mwameja,Maftah ,Kiemba,Henry Joseph, Abdalah Juma
Formation 3--1-2--2--2
Umeanza ushabiki jana. Humjui mwameja.
 
Back
Top Bottom