Okwi ndani ya Simba

mpira wetu utakwama sababu ya kunyenyekea hivi vizee okwi ni 40 yrs old now

Sent using Jamii Forums mobile app
kagere ni mzee lakini kila mwaka ndo mfungaji bora.
vijana ni muhimu kwenye soka ila kwa vijana wa kitanzania ni bora ubebe wazee kama akina okwi na kagere.
wanapambana,wanajituma.hawa wabongo ni mademu pombe kwisha

Naungana na wewe kuna umuhimu wa timu kutmia wachezaji vijana ila siyo mbaya kuwa na wazee wawii au watatu ili vijana waweze kujifunza toka kwao ,unakumbuka miaka michache iliyopita Okwi,Kagere,na Niyo wapinzani wa wekundu waliwaita hawa 'wahenga' lakini nadhani unakumbuka kazi waliofanya.ubingwa back to back.
 
mkuu wachezaji wa nchi hizi za jirani wanajituma sana yani.
awa wa kwetu ni utopolo.mfano mzuri khalfan ngasa alikuwa mchezaji mzuri sana tena umri ulikuwa unamruhusu lkn ulimbukeni na ushamba umempoteza.

okwi ana miaka zaidi ya mitano hapa bongo lakini ashuki kiwango.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli mbumbumbu wanacheza kamali safari hii! Boko ( 34), Okwi ( 36), MK14 ( 37) hawa ni washambuliaji! Wawa (37), Nyoni ( 37) hawa ni mabeki........! Acha tuone

Sent using Jamii Forums mobile app

Washambuliaje wazee ni muhumu.. ila kwenye champions league inabidi vijana wawepo... jackson muleka 20 yrs.. samatta kacheza champions league early 20s... ukitaka ubebe champions legue lazima uwe na vijana wenye spidiii na brain ya kufanya maamuzi ya haraka sahihi... angalia mamelodi, mazembe, enyimba etc washambuliaji wao wana age gani
 
Uko sahihi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Simba wazee, wale vijana mnaowataka waliwahi kufeli Simba akina William Lucian, Singano, Twaha, Miraji, Shamte, Kelvin (ile simba B iliyotamba super 8)

"Not everything is for everybody"
 
Washambuliaje wazee ni muhumu.. ila kwenye champions league inabidi vijana wawepo... jackson muleka 20 yrs.. samatta kacheza champions league early 20s... ukitaka ubebe champions legue lazima uwe na vijana wenye spidiii na brain ya kufanya maamuzi ya haraka sahihi... angalia mamelodi, mazembe, enyimba etc washambuliaji wao wana age gani
Hahahaha, wazo zuri vijana wenye hali ya kupambana wapi ?

Unaweza kuta okwi akarudi na kuwaburuza wachezaji wenu wazawa vijana hao

NB : Pamoja na Tanzania kuandaa Afcon Under 17 , na kubeba Cecafa za vijana zote , lkn hkn Mchezaji Kijana hata mmoja ktk timu hz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom