Simba sports club: ubahiri siyo deal lipeni vizuri wachezaji wenu

Mdaiwa-Sugu

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
284
910
The picture speaks more louder than words
EZ5O_51WsAIV8xO-1.jpg
EZ5O_50WoAAeRYw.jpg
 
Mi nilitegemea kuona kashika bakuli anaomba msaada
ni aibu mchezaji wa kimataifa kushindwa kuwajengea wazazi wake nyumba nzuri ya kuishi. Simba msimwonee Mo aibu mwambieni ukweli aache unyonyaji alipe vizuri wachezaji wenu
 
Sijaona sababu ya wewe kuona kama jamaa hana pesa

Watu walimsema meneja wa facebook Marck zagaberg kua anarudia rudia kuvaa t-shirt moja hiyo hiyo kila siku wakati ye ni bilionea.

Walitaka wamuone anaishi maisha ambayo yapo kwenye mawazo yao endapo siku watapata pesa nyingi. Naona nawe unafanya kosa hilo hilo
 
HahhahahhhAlafu Mo anajisifu kutumia zaidi ya bilion 4 kulipa mishahara ya wachezaji kwa mwaka.
ni aibu mchezaji wa kimataifa kushindwa kuwajengea wazazi wake nyumba nzuri ya kuishi. Simba msimwonee Mo aibu mwambieni ukweli aache unyonyaji alipe vizuri wachezaji wenu
Mpaka mama mtu ameogopa kuangalia camera kumfichia aibu mwanae. Dogo nae akashindwa kujiongeza
The picture speaks more louder than wordsView attachment 1471087View attachment 1471088
Akili hizi za kishamba sana.. Nyinyi ndio mnaoenda kupga picha kwenye nyumba za majirani zenu halafu mnapost home sweet.

1. Umejuaje kama huko ndio kijijini kwao kwenye asili yao?
2. Unajuaje kama hizo picha alizipga kabla ya kuja Simba?
3. Ww unajua kuwa ana majukumu mangapi na vipaombele vyake ktk maendeleo yake...
Ishi ktk uhalisia Wa maisha yako unaweza kuwa unaropoka huku kumbe hata ww wazazi wako wanaishi kwenye matembe.
 
Povu lote hili la nini?

Nenda kwenye twitter page yake maswali yako yote yamejibiwa huko
 
Ningekuwa Mimi kichwa cha habari ningeandika "PICHA TOKA SUDANI KUSINI"..😅

Mweka mada hujui maneno ya figisu wewe na propaganda pole sana ila picha haujaitendea haki..😂
 
Back
Top Bottom