Simba tunashupaza shingo tu ila Chama ndio Simba na Simba ndio Chama kwa sasa

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,886
10,616
Kwa mufuatilia match mbili za simba ya tabora na hii ya leo ccm kirumba ni dhahiri kabisa.

Chama ndio Simba yenyewe maana kubadilika kwa hama ndio kumefanya timu zima imebadilika sasa.

Simba inacheza tofauti kabisa kwa sasa wanacheza vizuri na matokeo yanaonekana maajabu ni kuwa Yanga wanaanza kuporomoka tena huu mpira wa tanzania ni ajabu kabisa.
 
Simba itapata matokeo Kwa urahisi siku ambayo Benchika ataacha kumuanzisha Saidoo Ntibanzokinza.

Tukija mechi ya Leo
Kukosekana Kwa Sadio Kanoute na kutokumuanzisha Kapombe kumeigharimu sana timu, by the way Simba inaonesha improvement kadri siku zinavyozidi kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom