Simba SC tumechoka sasa dharau za Clatous Chama tafadhali aachwe upesi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,135
Tokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa Kitalii ambao huwa anawapenda hakuna mfano.

Chama tumekuvumilia vya kutosha tafadhali achana na Simba SC na nenda huko Yanga SC wanakokupa hiki Kiburi chote sawa?
 
Simba ndogo sana kwa Chama, kama unabisha tutaona
 
Tokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa Kitalii ambao huwa anawapenda hakuna mfano.

Chama tumekuvumilia vya kutosha tafadhali achana na Simba SC na nenda huko Yanga SC wanakokupa hiki Kiburi chote sawa?
Tumuache CCC apumie jamani khaaa
 
Umeshawapa ule uwanja wako waje wafanye mazoezi hapo? Elewa neno uwanja
 
Tokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa Kitalii ambao huwa anawapenda hakuna mfano.

Chama tumekuvumilia vya kutosha tafadhali achana na Simba SC na nenda huko Yanga SC wanakokupa hiki Kiburi chote sawa?
nahisi hawana mchezaji mwenye uwezo kama wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlishaonesha udhaifu mkubwa mbele ya triple c,as if hamuwezi survive bila yeye, japo ni karata nzuri imechangwa na viongozi ,amalize mkataba ulibaki aondoke
 
Swali langu kwanini eng amfire kabwili?kwanini?mbn mambo ya ajabu haya katika soka
 
Mlishaonesha udhaifu mkubwa mbele ya triple c,as if hamuwezi survive bila yeye, japo ni karata nzuri imechangwa na viongozi ,amalize mkataba ulibaki aondoke
Fikiria pia Diara angekuwa ana tabia kama za Chama halafu viongozi wamsimamishe siku chache kabla ya mechi dhidi ya Al Ahly,wakati huo ukikumbuka kipigo cha 3-0 dhidi ya Belouzdad langoni akiwepo Metacha,haya mambo sio rahisi kama mnavyodhani
 
Back
Top Bottom