Simba imsajili yule Lookman wa Nigeria na Gilberto wa Angola

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,285
Simba tumtoe pale Atalanta huyu Lookman aje na pia yule Gilberto apewe mkataba.

Hivyo tutabeba Caf CL mwakani.
 
Simba tumtoe pale Atalanta huyu Lookman aje na pia yule Gilberto apewe mkataba.

Hivyo tutabeba Caf CL mwakani.
Wazo zuri. Afcon imeibua wachezaji wengi wazuri sana mfano nchi kama Cape verde na Mauritania kuna watu wanaotufaa huko. Tatizo ni umasikini wa club zetu, upigaji na kuingiza siasa kwenye mpira. Tunashindwaje kuwa na mchezaji kiungo kama Mokoena au beki namba mbili Mudau!
 
Watanzania wengi ni wajinga

Umtoe mtu aliyezaliwa uingereza aje acheze ligi za africa tena Tanzania walau ungekuwa ligi ya south africa ndio kidogo inahadhi ya kimataifa pmj na Egypt

Huyo kaanza kucheza mpira kitambo kibongo bongo ni bilionea kabisa

Mshahara wake kwa wiki ni zaidi ya milion 150 kwa wiki
 
Mo dewj ameshapost fb kuwa tayari wameshamalizana na Hakim Zyech na pia nimemsikia mzee mangungu leo TBC kuwa Yule mchezaji wa Cape verde anaitwa Bebe saa yeyote atatambulishwa
 
Watanzania wengi ni wajinga

Umtoe mtu aliyezaliwa uingereza aje acheze ligi za africa tena Tanzania walau ungekuwa ligi ya south africa ndio kidogo inahadhi ya kimataifa pmj na Egypt

Huyo kaanza kucheza mpira kitambo kibongo bongo ni bilionea kabisa

Mshahara wake kwa wiki ni zaidi ya milion 150 kwa wiki
Mdogo mdogo tutafika, yule muuza duka nae si alikuja
 
Simba ipi ndugu unazungumzia?Kama ni hii inayookoteza wachezaji kila diirisha la usajili basi sahau kusajili wachezaji wenye viwango vya kimataifa.
 
Simba ipi ndugu unazungumzia?Kama ni hii inayookoteza wachezaji kila diirisha la usajili basi sahau kusajili wachezaji wenye viwango vya kimataifa.
Yanga nao papatu papatu. Professional player yupi anataka kuja kucheza nchi haina viwanja vya maana. Utlist hata uwanja uwe poa hata kama hamna majukwaa.

Tuboreshe mazingira ya kucheza soka. Wachezaji watakubali kuja.
 
Back
Top Bottom