Simba Queens wapewa alama na TFF, sasa wanaongoza ligi

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,837
IMG_20240205_101945.jpg
 
TFF na Bodi ya Ligi ni zaidi ya takataka kwenye mpira wetu wa bongo.

Timu ina uwanja wake wa nyumbani, halafu inakazimishwa kwenda kucheza uwanja wa Azam! Kama siyo ujinga ni nini!!
 
Ayo mambo ya point za mezani FIFA ilisha yakataa si mambo ya kujivunia ni mambo ya aibu katika mpira wa miguu.
Kwa miaka mingi Sasa duniani kesi za timu kupewa point za Bure katika soka zimetoweka, Chakushangaza uku kwetu Kuna mambo yanafanyika ata wenzetu wanatushangaa!!
Soka letu Lina Double standard ya kiwango Cha ajabu Sana.
Juzi kati Kuna timu ili jaribu kuomba mechi zake zichezwe nje ya eneo husika la kimashindano na nje ya kanuni na Bado FA Ika Kaa kikao kujadili upuuzi uo.
Nijambo ambalo halikustahili ata kukaa na kujadili kwakua kanuni ziko wazi kabisa
 
Huyu msomali anatuharibia sana mpira kwa unazi wake wa kikolo, huyu mzee mda wote anawabeba sana makolo, anaharibi mpaka ladha ya ligi! Dingi la hovyo sana yan
 
Kweli Usimba na Uyanga una leta upofu.
Kwamba Utopolo hawaoni makosa ya JKT Queens. wao walikuwa na taarifa za kuwa uwanja wao haufai. na kumbuka ni mechi ya Simba tu ndio waliyo gomea
 
Ndugu mbumbumbu viwanja vinakaguliwa na Tff (bodi ya Ligi)kabla ya Ligi kuanza na kama hakifai wenye uwanja Wana taarifiwa mapema kwanini kiwanja hakifai, wataelekezwa Cha kurekebisha na wakifanya marekebisho kamati inakuja kukagua na kuwapa jibu, mwenyeji atawaeleza Tff atatumia uwanja Gani baada ya uo kufungiwa.
Huwezi kuhamisha mechi kienyeji kama mtu anaye kimbiza kuku wake amfanye kitoweo.
Walicho Fanya Tff hakina faida kwa Simba queen Wala Tff kwa manufaa ya soka la Wana wake sanasana kujivunji heshima na kuwafurahisha watu wachache.
 
mwenyeji wa mechi j.k.t na ajateua azam kuwa uwanja wake wa nyumbani wala ajaomba mechi ichezwe hapo nani aliipeleka hapo muheshimu diwani
 
sasa mbona mechi zingine zote baada ya hiyo na mechi moja kabla ya hiyo ya simba walikubali kuto tumia uwanja huo .

kwa nini siku ya mechi ya simba waligoma.
kikao cha pre match walikuwepo na walikubali kuutumia uwanja wa Azam
 
Ndugu mbumbumbu viwanja vinakaguliwa na Tff (bodi ya Ligi)kabla ya Ligi kuanza na kama hakifai wenye uwanja Wana taarifiwa mapema kwanini kiwanja hakifai, wataelekezwa Cha kurekebisha na wakifanya marekebisho kamati inakuja kukagua na kuwapa jibu, mwenyeji atawaeleza Tff atatumia uwanja Gani baada ya uo kufungiwa.
Huwezi kuhamisha mechi kienyeji kama mtu anaye kimbiza kuku wake amfanye kitoweo.
Walicho Fanya Tff hakina faida kwa Simba queen Wala Tff kwa manufaa ya soka la Wana wake sanasana kujivunji heshima na kuwafurahisha watu wachache.
Hayo ni maelezo yako ndugu Utopolo (Manara alisha sema wa upande huo wapo wangapi wenye akili)

Umesikia chochote wao JKT wakijitetea?
washa jua wao walizingua.
 
sasa mbona mechi zingine zote baada ya hiyo na mechi moja kabla ya hiyo ya simba walikubali kuto tumia uwanja huo .

kwa nini siku ya mechi ya simba waligoma.
kikao cha pre match walikuwepo na walikubali kuutumia uwanja wa Azam
labda pre match walilazimishwa tu wakaona liwalo na liwe
 
Ndugu mbumbumbu viwanja vinakaguliwa na Tff (bodi ya Ligi)kabla ya Ligi kuanza na kama hakifai wenye uwanja Wana taarifiwa mapema kwanini kiwanja hakifai, wataelekezwa Cha kurekebisha na wakifanya marekebisho kamati inakuja kukagua na kuwapa jibu, mwenyeji atawaeleza Tff atatumia uwanja Gani baada ya uo kufungiwa.
Huwezi kuhamisha mechi kienyeji kama mtu anaye kimbiza kuku wake amfanye kitoweo.
Walicho Fanya Tff hakina faida kwa Simba queen Wala Tff kwa manufaa ya soka la Wana wake sanasana kujivunji heshima na kuwafurahisha watu wachache.
Acha kujifanya unajua kila kitu babu..hakuna watu watakubali wapokwe alama kama hawana kosa..
 
Kama Simba kapewa points 3 inakuaje JKT wakatwe points 5 hii sheria ya wapi? mbona Alliance wamekatwa points 3 wakapewa Geita points 3 hii nchi ina ujinga mwingi
 
Ayo mambo ya point za mezani FIFA ilisha yakataa si mambo ya kujivunia ni mambo ya aibu katika mpira wa miguu.
Kwa miaka mingi Sasa duniani kesi za timu kupewa point za Bure katika soka zimetoweka, Chakushangaza uku kwetu Kuna mambo yanafanyika ata wenzetu wanatushangaa!!
Soka letu Lina Double standard ya kiwango Cha ajabu Sana.
Juzi kati Kuna timu ili jaribu kuomba mechi zake zichezwe nje ya eneo husika la kimashindano na nje ya kanuni na Bado FA Ika Kaa kikao kujadili upuuzi uo.
Nijambo ambalo halikustahili ata kukaa na kujadili kwakua kanuni ziko wazi kabisa
Mwaka jana tu Juventus walipokwa point 10 kwa udanganyifu wa usajili, sasa sijui unazungumzia FIFA gani
 
Back
Top Bottom