Simba na (Ahmed Ally) waache propaganda waandae timu

vvvv

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
336
548
Hii timu yangu natamani waache propaganda ingewezekana waachane na media wajifiche sehemu wajinoe haswa, Hizi propaganda za Ahmed Ally ipo siku atakuja kupigwa mawe, jamaa akiongelea kuhusu Simba utadhani ni Real Madrid au Man City, watu tunaaminishwa uwezo ambao wachezaji hawana na tunapata expectations kubwa wakati wa usajili.

Sifa walizopewa kina Fred Michael uwezo wao hata robo ya tunachoambiwa haiki, sometimes nahisi wanasajili magara makusudi ili wapige hela ila wanamwandaa Ahmed Ally akapige domo.

Simba wafanye mambo yao kimya kimya wanatuchosha na kelele nyingi,timu ikifanya mambo yake kimya kimya hata ikidondosha point haiumizi sana maana watu washajiandaa kisaikolojia kuliko kelele nyingi za Ahmed Ally uwanjani wanacheza upumbavu.
 
Naunga mkono hoja 🤣🤣😂😂😁 timu imejaa wazee sana
20240306_203326.jpg
 
oh koplo mbangula hatari
 
Yaani bado mnamwamini kiongozi ambaye hatunzi kauli zake
 
Alafu haya mambo ya wasemaji wasemaji naona ni ushamba na siasa kwenye soka letu.Kuwa msemaji haimanishi kuwa muongo au kuongea sana.Wanatakiwa kuwa na mambo machache ila ki professional na siyo bla bla nyingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom