Kocha Nabii aipongeza Yanga kwa kumfunga Simba Goli Tano

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
"Nafurahi sana kusikia Yanga SC inafanya vizuri, hiyo ni familia yangu, sijaondoka kwa ubaya Yanga, ni familia ambayo niliachana nayo kwa muda huku nikiwa na huzuni kubwa moyoni"

"Nafurahi kuona mambo yanaendelea vizuri hapo Yanga, hata walipowafunga Simba mabao (5) nilikuwa na furaha kubwa, najua mashabiki wa Yanga na hata viongozi walivyofurahia"

"Naona timu bado iko imara zaidi, nilikuwa hapo wakati naondoka nilisema kuondoka kwangu haiwezi kuwa shida kwa kuwa hata mimi nililetwa hapo na wale walionileta bado wapo na haohao ndio waliokuwa wanasajili wachezaji nikishirikiana nao"

"Nimefurahishwa na maingizo mapya ya wachezaji watatu hatari, Pacome, Yao na Maxi, timu pinzani zitapata sana shida kwa kuwa quality ya Yanga imeongezeka. Nafurahi pia kuona timu inafanya vizuri kimataifa (CAF)"

©️ Nasreddine Nabi
Kocha wa klabu ya FAR Rabat
.
.
Kocha huyo ambaye ni kinara wa ligi kuu ya Morocco 'Botola pro' amefanya interview hiyo na Mwanaspoti.

1. 👕 22 🅿️ 52 — FAR Rabat
2. 👕 22 🅿️ 48 — Raja Athletic
3. 👕 22 🅿️ 38 — FUS Rabat
4. 👕 20 🅿️ 32 — Wydad Athletic
 
Kuifunga Simba ni habari inauza sana...ukitaka page yako ichafuke kwa comments hata kama una folowaz 10 ww post negative ishu za Simba...
Kaona fursa...
 
Wydad Hana lake,asipoangalia mwaka kesho ata shirikisho hatocheza
 
Kuifunga Simba ni habari inauza sana...ukitaka page yako ichafuke kwa comments hata kama una folowaz 10 ww post negative ishu za Simba...
Kaona fursa...
Ngoja nimalizie kuangalia haya marudio ya hii match ya 5 November nije kukujibu, maana Mimi ikitajwa hiyo match tuu kwa lolote lazima nikimbilie laptop yangu kwenda kuhakikisha je ni kweli hayo yanayoongelewa.
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA NA KICHWANI AUTIMATICALY KICHWANI ZINAANZA KUYEYUKA.

Nimeangalia vijana wangi wanapotea kimaisha kwa sababu ya kupoteza Muda na Upumbavu wa simba na Yanga.
 
Kuifunga Simba ni habari inauza sana...ukitaka page yako ichafuke kwa comments hata kama una folowaz 10 ww post negative ishu za Simba...
Kaona fursa...
Ukitaka umaarufu wa ghafla hapa bongo iponde Tu Yanga...
Simba mwandishi gani anahangaika nayo ishajifia...
Waandishi makanjanja wote wanatafutaga like Kwa kuiponda Yanga
 
Back
Top Bottom