Simba ni team au kikundi cha wastaafu?

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,238
22,661
Wakuu naangalia marudio hapa ya mechi ya simba na prison.

Naona hapa simba wamechomoa goli dakika hizi za lala salama
Tukiendelea hivi chama atachomoa labda iwe mbili kwa mbili!

Ila sasa huu utaratibu wa kupanga wazee kwenye team unatuumiza sana wakuu ..

Hapa unakutana na mzee mwenzangu baba esta mbavu ya kulia...miaka 35.

Kushoto mzee mwenzangu mwenyewe mwenda yeye kidogo ana 28.

Kati pale unamkuta mzee mwenzetu mstaafu bwana ngoma miaka 61..

Mbele kabisa unamkuta mzee wetu chama miaka 60.

Pembeni unamkuta mpigania vita ya Uhuru Burundi bwana saidi ntombonkiza miaka 85..

Mbele kabisa anasimama mzee wetu bwana omary mwaijobe miaka 65

Sasa wakuu hamuoni tunaomuia ni sisi mashabiki eeh? Hawa si wastaafu kabisa wanakula pension? Why mnawapanga?

Mnaona yalitokea Leo kwa maafande kuwapigisha kwata wazee hawa mnataka msiba?

Wakifa nani atatushauri vijana jamani? Nilimuona kabisa kapombe anaomba maji pumzi imekata miguu imekakamaa .

Simba fanyeni usajiri..
 
🤣🤣🤣🤣
 
hamieni airtel huku kuna under 20 tu pacome 18 ukienda kwa aziz kii 20 ukirudi kwa beki wetu huyu wa kwenda kucheza njee toto wa pemba mwezi kesho anatimiza 19 uyo mzize ndio kabisa 16 hapo sijamtaja mtoto wa tanga yule kidogo ameenda age 21
 
Wakuu naangalia marudio hapa ya mechi ya simba na prison.

Naona hapa simba wamechomoa goli dakika hizi za lala salama
Tukiendelea hivi chama atachomoa labda iwe mbili kwa mbili!

Ila sasa huu utaratibu wa kupanga wazee kwenye team unatuumiza sana wakuu ..

Hapa unakutana na mzee mwenzangu baba esta mbavu ya kulia...miaka 35.

Kushoto mzee mwenzangu mwenyewe mwenda yeye kidogo ana 28.

Kati pale unamkuta mzee mwenzetu mstaafu bwana ngoma miaka 61..

Mbele kabisa unamkuta mzee wetu chama miaka 60.

Pembeni unamkuta mpigania vita ya Uhuru Burundi bwana saidi ntombonkiza miaka 85..

Mbele kabisa anasimama mzee wetu bwana omary mwaijobe miaka 65

Sasa wakuu hamuoni tunaomuia ni sisi mashabiki eeh? Hawa si wastaafu kabisa wanakula pension? Why mnawapanga?

Mnaona yalitokea Leo kwa maafande kuwapigisha kwata wazee hawa mnataka msiba?

Wakifa nani atatushauri vijana jamani? Nilimuona kabisa kapombe anaomba maji pumzi imekata miguu imekakamaa .

Simba fanyeni usajiri..
ni timu
 
ACHENI KUPULIZIA MADAWA WATU (JWANENG)MPAKA WANACHANGANYIKIWA NA MIILI INAKUWA MIZITO.SASA NYIE KWA SABABU HAMKUWA NA HAYO(HAYAKUWA AFFECT) MLIYOWAPA WENZENU MLIKUWA FRESH NA WEPESI BASI MNAKIMBIA TU NA KUPIGIANA PASI KUMBE MSHA WADUNGA ! WATZ WASHAWAJUA NYIE NA MTAENDELEA KUPEWA DOZI NYI TULIENI TU
 
we
Wakuu naangalia marudio hapa ya mechi ya simba na prison.

Naona hapa simba wamechomoa goli dakika hizi za lala salama
Tukiendelea hivi chama atachomoa labda iwe mbili kwa mbili!

Ila sasa huu utaratibu wa kupanga wazee kwenye team unatuumiza sana wakuu ..

Hapa unakutana na mzee mwenzangu baba esta mbavu ya kulia...miaka 35.

Kushoto mzee mwenzangu mwenyewe mwenda yeye kidogo ana 28.

Kati pale unamkuta mzee mwenzetu mstaafu bwana ngoma miaka 61..

Mbele kabisa unamkuta mzee wetu chama miaka 60.

Pembeni unamkuta mpigania vita ya Uhuru Burundi bwana saidi ntombonkiza miaka 85..

Mbele kabisa anasimama mzee wetu bwana omary mwaijobe miaka 65

Sasa wakuu hamuoni tunaomuia ni sisi mashabiki eeh? Hawa si wastaafu kabisa wanakula pension? Why mnawapanga?

Mnaona yalitokea Leo kwa maafande kuwapigisha kwata wazee hawa mnataka msiba?

Wakifa nani atatushauri vijana jamani? Nilimuona kabisa kapombe anaomba maji pumzi imekata miguu imekakamaa .

Simba fanyeni usajiri..
we mpuuzi umenichekesha umeita timu yetu kikundi cha wastaafu
 
Sio kuwahadaa
Huo ndiyo uzee wenyewe tunaozungumzia mkuu wangu eeh jiongeze
Nakupuuza kwa sababu wewe sio JK au Mzee Sunday Manara.Mchezaji kacheza nusu fainali ta AFCON akimweka benchi Batubinsika wa Nantes halafu wewe usiyejua chochote unamponda!
 
FB_IMG_17098060217798570.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_17098060217798570.jpg
    FB_IMG_17098060217798570.jpg
    160.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom