Kwa nini kila timu inaikamia Simba?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,305
33,924
Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.

Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.

Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.

Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.

Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
 
Kwa nini Simba anakamia mechi yeyote ya kimataifa?

Sababu ni either anataka matokeo ya lazima, au mpinzani wake ni mkubwa zaidi yake, so hataki unyonge, kitapigika ndio afungwe, itoke droo au simba ashinde.

Kukamia ndio mpira. Mpira ni vita jombilii, hivi hujiulizi kwanini watu 22 wenye akili zao, wote wana congregate uwanjani wanagombea mpira mmoja tu??? Si uchizi huu wenye hadhi ya nyota 5? Ukikutana n kibonde mbonde vzuri ili akuogope, mkitoshana nguvu fresh tu.

Kama simba hutaki iwe inakamiwa, ibadilishe iitwe walimbwende twerkers, yani iwe taasisi ya wasichana watingishao makalio yao tu.

Nje ya hivi, labda iwe team ya swimming au kundi la wanamziki.

Huko hakuna kukamiana physically. Ila kama ni team ya kabumbu, ni lazima ikamiwe.
 
Kweli Kuna baadhi ya mashabiki wa mpira wanasafari ndefu, yaani timu Moja kufurahi baada ya kupata point tatu za jasho Tena timu kubwa ambayo ili uifunge mpaka makosa ya kibinadamu yasiwepo na Bado uki ifunga Kuna watu wanahisi ume kamia!!
Kweli tunasafari ndefu kama mashabiki.
 
Screenshot_20240305_110814_X.jpg
 
Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.

Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.

Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.

Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.

Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
sio kila timu hata yanga pia inakamiwa sana
 
Kawaida hata nyumbani unapopata nafasi ya kukitandika ki last born chenu kichabange hasaa na ukimaliza hakikisha unakizodoa kikasirike ili wazazi au walezi wake wakirudi kikasemelee kama kawaida yake. Chenyewe kitaona kimefanikiwa ila wazazi wataishia kukisikiliza na kuwapa maonyo wakubwa zake lakini kesho kitakua na adabu tena
 
Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.

Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.

Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.

Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.

Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
Nawe kamia.

Mnalalamika Kila siku mna viongozi wabovu kumbe hata nyie mashabiki ni wabovu?
 
Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.

Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.

Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.

Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.

Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
Nadhani sasa mtaachana kuzisema timu zingine zina cheza na timu dhaifu ama mbovu ,tungo tata za mashabiki wa simba ndiyo inaigharimu timu ya simba
 
Simba imetengeneza status yake kwamba ni level za magiant ya Africa,yaani kila mwaka watapimana ubavu mara 2 (home and away) na magiant kama al ahly, wydad n.k

Kisaikolojia ni kuwa timu ya ndani inaamini Simba ni kipimo sahihi cha wao wamekuwa(grow) kisoka .Ukimfunga Simba unajua hata ukienda CAF utamudu. Yote kwa yote, hali hiyo inawaimarisha Simba kuwa na ushindani kikosini ,mfano mzuri Simba kaenda eobo fainali lakini bado mashabiki wanaona ubora hautoshi , hio ni kiyume na timu zingine
 
Na wao Simba kwa nini wasizikamie hizo timu zinazowakamia?

Tatizo la Simba linaanzia kwa viongozi kwenye usajili na wakati mwingine benchi la ufundi. Hivi aliyemuondoa Baleke akamleta Freddy ni kiongozi anyeujua mpira vizuri kweli au ameanzia kushabikia mpira ukubwani? Au walionyeshwa tu video za youtube wakaangalia na umbo basi wakaingia mkenge. Hakika aliyemleta Freddy pale Simba mbinguni haendi kabisa huyo ni motoni moja kwa moja..

Na benchi la ufundi nalo pamoja na kusheheni watu wenye CV kubwa kubwa nalo sijui wamelogwa. Unacheza na Prison timu yenye mpira gwaride halafu mchezaji kama Miquisone mwenye "work rate" kubwa uwanjani siku zote unamuacha nje kabisa tena hata sio kwenye benchi halafu unampanga Freddy ambaye akikosa goli yeye huwa anacheka tu na wala hata hajutii wala haoni shida kwake. Afadhali kidogo hata Jobe akikosa goli anasikitika japo naye papara nyingi na mapepe yake yanamkosesha magoli ya wazi. Kwa kifupi hata mabeki kati wa timu pinzani wanajisikia raha kuwakaba Jobe na Freddy kwani hawana "pressing" yoyote. Na hii ni mbaya kwa Simba kwani ikitokea siku wamekutana na mpinzani ambaye anaanzisha mashambulizi kupitia kwa mabeki wake wa kati basi viungo na mabeki wa Simba watapata shida sana.

Kwa aina ya washambuliaji wanaopngwa pale mbele inampa Chama wakati mgumu sana na Simba inakuwa vigumu sana kupata magoli. Kama benchi la ufundi halitabadili upangaji wa timu pale mbele basi wajiandae na matokeo mabovu kwa muda mrefu ujao. Freddy na Jobe wameshapewa muda wa kutosha wameshaonekana kuwa hawana maajabu kuwazidi Baleke na Phiri walioondolewa kuwapisha wao.

Ushauri wa bure kwa benchi la ufundi ni kuwa mpaka sasa uongozi umeshawaachia msala kwa kushindwa kuleta mshambuliaji wa kati wa maana. Nini kifanyike; mhamishieni Kibu acheze kati avurugane na mabeki wa timu pinzani kwa manguvu yake, Chama aje nyuma yake kama namba kumi halafu winga moja mpeni Miquisone winga nyingine mpeni Chasambi mtakuja kunishukuru hapa. Aliye karibu na Matola amjulishe hili.
 
Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.

Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.

Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.

Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.

Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
Mashabiki wa Simba wako in denial. Wanaamini wana timu nzuri lakini ukweli timu yao misimu mitatu mfululizo ni mbovu. Usajili wao umekuwa wa hovyo tu. Wanarudia makosa yaleyale kila wakati.
Wachezaji kama Chama na Miquisone hawakutakiwa kurudi tena Simba. Yamekuwa yale yale ya Emmanuel Okwi. Chama imefikia mahali kaiweka timu mfukoni hata kama kiwango chake kimeshuka. Mashabiki wa Simba lazima wakubaliane na hali halisi na watapata maumivu kwa muda mrefu kwa sababu ya makosa yaliyofanywa huko nyuma. Itawachukua miaka mitatu mpaka minne kuijenga timu upya. Rome was not built in a day!
 
Embu tupe tafsiri ya kukamia kwanza iwapo kwenye mchezo kuna kushindana na kupata matokeo mojawapo kati ya haya matatu,kushinda,kudroo na kufungwa.
 
Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.

Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.

Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.

Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.

Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
Sababu ni timu mbovu ina uchochoro ambao ukipita unajipatia magoli ya kutosha
 
Back
Top Bottom