Naiona Simba ikiangusha point nyingine dhidi ya Coastal hapo kesho

Kwa moto ambao azam walipelekewa na coastal union, simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho.

Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
wacha tusibiri tuone 🐒
 
Kwa moto ambao azam walipelekewa na coastal union, simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho.

Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
Mbweha wa jangwani wanaenda kumtafuna kolo hiyo kesho😁
 
Kwa moto ambao azam walipelekewa na coastal union, simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho.

Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
Mzee lile ujui ni tawi? Pale kolo Anachukua alama zake vizuri tu bila jasho Tena usije ukashangaa Yale ya Tabora united ya kupigwa 4 yakijirudia, hizo timu ni matawi ya mbumbumbu uwa yanatumika kupoozesha hasira za wanachama wanapokuwa wamechachamaa!!!
 
Back
Top Bottom