siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Nini kitatokea siku ya mwisho kama binadamu wengine watakua nje ya dunia?

    Habari zenu nyote, Bila shaka wote mmesikia, mmeona juhudi za binadamu katika harakati za kutafuta sayari nyingine tofauti na dunia ambayo ina hali kama dunia yetu, chombo cha Marekani kishafika mars, swali langu kwa wajuzi wa masuala ya dini, siku ya mwisho itakuaje kama binadamu wengine...
  2. Niliyoyaona siku ya leo Jumanne

    Kwanza poleni na harakati za hapa na pale kwenye kutafuta riziki. Kwa kawaida huwa nawahi sana kuamka asubuhi sana na mapema kwa ajili ya kwenda kuweka mwili sawa kwa kufanya mazoezi ya hapa na pale. Huwa nakimbia half marathon eneo ninaloishi sio mbali na uwanja wa taifa. Nakimbia na kurudi...
  3. U

    Taarifa: Prince Philip Amerihusiwa Kutoka Hospitali Aliyolazwa kwa Muda wa Siku 28

    Prince Philip, 99, was admitted to King Edward VII's hospital in Marylebone on 16 February after feeling unwell. He later underwent a successful procedure for a pre-existing heart condition at another London hospital - St Bartholomew's. The 28-night stay was the duke's longest-ever in...
  4. J

    Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kesho kuanza ziara ya siku sita mkoani Tanga

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kesho ataanza ziara ya siku sita mkoani Tanga Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigekla amesema akiwa mkoani Tanga mama Samia atazindua miradi mbalimbali na programu za uwekezaji kwa wawekezaji wote. Maendeleo hayana vyama! === Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan...
  5. J

    RC Chalamila: Waziri Mkuu, Majaliwa kuanza ziara ya siku mbili Mkoani Mbeya, namshukuru Rais Magufuli kwa ujenzi wa Hospitali ya Rungwe

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya. Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya, atafungua hospitali iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni wilayani Rungwe na atafungua kituo...
  6. Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

    WAPI ALIPO RAIS WETU? Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani. Kauli ya Chadema inakuja wakati ambapo kuna siutafahamu juu ya alipo rais Magufuli. Mara ya mwisho...
  7. Shirika la Afya Duniani (WHO) lapendekeza kutumia chumvi gram 5 kwa siku

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema matumizi makubwa ya Chumvi husababisha Kiharusi na magonjwa mengine. Wamesema vifo milioni 2.5 vingeweza kuzuilika ikiwa watu wanatumia gram 5 za chumvi kwa siku ambayo ni sawa na kijiko kimoja cha chai. Watu wengi duniani hutumia gram 9 hadi 12 za chumvu...
  8. Idadi ya vifo kutokana na virusi vya Corona ndani ya siku moja yafikia viwango vipya nchini Brazil

    Brazil imerekodi idadi kubwa zaidi ya vifo ndani ya siku moja vinavyotokana na virusi vya corona tangu kuanza kwa mlipuko. Jumla ya watu 2,286 walifariki dunia ndani ya saa 24 pekee siku ya Jumatano na kufanya idadi ya vifo kufikia 268,370, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins...
  9. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Wakulima wa mazao wanapaswa kulipwa ndani ya siku 4, tutaanzisha soko la chai Dar es Salaam

    Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo. Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo. Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali...
  10. 'Serikali ya Wanyonge' ndiyo adui namba moja wa maendeleo. Eti simu/video kupitia wavuti marufuku kupitia 'Bando'!

    Hata salamu sitoi.:( Leo nina hasira kupitiliza Ninaweza kumzaba kibao yeyete ambae naweza kukutana naye barabarani nikihisi tu kuwa kwa namna moja ama nyingine amehusika na 'Utopolo' huu, bila ya kujali yeye ni nani ama ana nini. Ni hivi; kwenye uchambuzi wa magazeti asubuhi hii ya leo...
  11. Wanafunzi wa Kunduchi Girls wafanya mgomo kwa zaidi ya siku 2. TAKUKURU yaanza kumchunguza Mmiliki

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA Anwaniya Simu:”UCHUNGUZI” Mtaa wa Jamhuri, Simu Nambari: 262323315 S. L. P 1291, Nukushi: 26232332 41101 DODOMA, BaruaPepe: dgeneral@pcc.go.tz TANZANIA. Tovuti: www.pccb.go.tz Unapojibu tafadhalitaja: TAARIFA KWA UMMA...
  12. Siku ya Wanawake Duniani jinsi ilivyokuwa ya kushangaza

    Jana ilikuwa ni siku ya wanawake duniani. Nafikiri tumeona mengi sana pia mnakaribishwa kuandika mliyo yashuhudia hiko kwenu. Upande wangu nilichoshuhudia na kunishangaza,, post nyingi mitandaoni HAPPY WOMAN DAY ililengwa kwa kumuwish mama Mzazi, bibi, shangazi, Dada, workmate wa kike, na...
  13. Utafiti Usio rasmi: Watanzania wenye kipato cha Tsh. 20,000 kwa siku hawazidi milioni tano

    Wakuu Kwema! Kwa watembezi wa mikoa ya Tanzania na wachunguzi huru mtakubaliana na mimi katika utafiti huu usio rasmi. Utafiti huu nimeufanya kwa miaka minne tangu 2016 mpaka 2020 nikiwa natembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania. Mikoa niliyoifanyia utafiti ni mikoa ifuatayo; Dar es salaam...
  14. J

    DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

    Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu. Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji...
  15. Siku nitakapokufa

    SIKU NITAKAPOKUFA ..01 AUTHOR: NEXT LEVEL. Katika kila maisha ya binadamu kuna sehemu tunapitia na kukutana na majaribu ya kila aina mbalimbali, lakini kuna kuzaliwa kuishi na kufa, lakini Mimi siku nitakayokufa ...!siku nitakayokufa!.. Asubuhi na mapema jogoo anawika kuashiria kuwa watu...
  16. Kwanini wanawake wawe na siku yao (Women's Day) na si wanaume?

    Mdau amani kwako. Napenda tujifunze na kupeana elimu kwa undani juu ya hili jambo la 'siku ya mwanamke duniani'. Mwanzoni wakati dunia ikiwa na amani na upendo Adamu na Hawa walijiona kuwa wenye kufanana na wakiwa na majukumu tofauti kulingana na maelekezo waliyopewa na Allah. Baadaye kidogo...
  17. Leo Siku ya Wanawake: Tuambiane ukweli tu kuna Wanawake bila kipigo kidogo hawaelewi kabisa

    Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi mojawapo ambayo naomba sana dada zangu mzingatie, msilazimishe kupigwa. Please please nawaomba ile tabia ya "nipige kama wewe mwanaume kweli" si kauli nzuri. Ila pia muwe mnaelewa kiurahisi, asilimia kubwa ya wanawake ni wagumu sana kuelewa, wazito mpaka...
  18. Siku ya Wanawake: Huyu Dada alichonifanyia niliacha kabisa kuwaamini wanawake. Wengi wanapenda kutumika hivi

    huyu dada nilimuunganisha na watu wa Kampuni flani kikazi. alikuwa dada mzuri ila sikuwa na mpango naye kabisa. mara nyingi alikuwa anaonesha nia ya kutaka uhusiano. mimi niliona ni kujiongezea shida tu. hana kazi anaishi kwa walezi wake amemaliza chuo , sina mpango naye kimahusiano, sitaki...
  19. Siku muhimu

    Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf
  20. Siku ya wanawake duniani-tuishi nao kwa akili

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…