Siku ya Wanawake: Huyu Dada alichonifanyia niliacha kabisa kuwaamini wanawake. Wengi wanapenda kutumika hivi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,357
11,503
huyu dada nilimuunganisha na watu wa Kampuni flani kikazi. alikuwa dada mzuri ila sikuwa na mpango naye kabisa. mara nyingi alikuwa anaonesha nia ya kutaka uhusiano. mimi niliona ni kujiongezea shida tu. hana kazi anaishi kwa walezi wake amemaliza chuo , sina mpango naye kimahusiano, sitaki kutumia nafasi aliyo nayo kimapenzi n.k

nlimuunganisha na watu wa kampuni flani toka kwa rafiki yangu mmoja,akaenda kwenye inteview. aliporusi jioni akanambia kuwa inaonekana HR anamtaka kimapenzi. ameomba namba yake na kamwambia ili ampitishe inabidi wakutane kujadiliana mambo flani sehemu tulivu. baadaye jamaa akaanza tuma texts za kuonesha anamtaka kimapenz. yule dada aliponambia nikamwambia tujenge mtego tumkamatishe jamaa Takukuru au Polisi. yule dada akakubali. ilikuwa jumatano na wamepanga waonane Jumamosi. baada ya hapo mi nikakata mawasiliano. akaja nipigia nikawa busy, akanipigia alhamis nikawasiliana naye juu juu tu sikuwa napenda sana ku mu entertain kimahusano na mawasiliano ya ukaribu. akiniita love,sweet na my dear. nakwepa.

jumamosi nikasubiri simu yake. sikusikia. mpaka jumatatu nikamtafuta akawa hapokei tena simu yupo busy sana. mwishowe nikaja fahamu ameshaajiriwa. nikaona manyoya tu.nikajua tayari ashaliwa. wakati mimi nilikuwa nampambania kukomesha tabia ya rushwa ya ngono yeye ndo akaona mimi bwege. yaani nilijisikia vibaya nikikumbuka jinsi nilivyokuwa naponda hiyo tabia na kutaka ikomesha. nlikuwa nimejipanga sana kutaka kumkamatisha jamaa ili tabia hiyo ikome. demu akaniangusha sana. akaonana naye jumamosi wakamalizana na akapewa kazi.

matokeo yake anakuja nitumia msg niachane naye nisimsumbue ameona sina mwelekeo wowote na maisha yake. hataki niendeee kumfuatilia mambo yake ya kazi. basi nikamwambia anisamehe tu namtakia maisha mema. wanawake sometimes hawaeleweki. siku kama hizi muwe pia mnaka na kuelimishana badala ya kukaa kufundishana namna ya kuasi ndoa zenu na kujenga ujeuri.
 
Hili suala la rushwa ya ngono limekaa angle mbaya sana, Mungu awapage tu na moyo wa ujasiri maana huwa ni mtihani mkubwa sana kwao, mfano nna rafiki yangu msichana ameacha kazi ya uuguzi hospital ya private sababu kiongozi wake anamtaka kimapenzi nayeye hayupo tayari ila wenzake wameliwa sana tu tofauti yeye kwao wanajiweza kifedha so kaona arud home lakini anadai kama kwao hali ingekua ngumu basi nayeye angeingia kwenye uo mtego
 
Dah Ni mtihan.
 
Very sad,kama huyo jamaa ni mwathirika kaumiza wangapi
 
We haujiulizi kwann mataifa makubwa pamoja na kupiga kelele za haki sawa lakini hujikusikia position nyeti wamemuweka mwanamke, na hata wakimuweka huko nyuma kabinet nzima itajaa vidume......

Hawaviumbe kubadilika inategemea na upepo unapiga kwenda upande upi wa dunia....
 
Kwani huyo alikuwa na ndoa? Kaamua kutumia mali ake kupata kazi, hajalazimishwa na mtu yoyote. Kama vile unamuonea wivu. Kamsaliti nani?
 
Kwenye masuhara ya ngono hata usije jaribu kumushauri demu asiye wako,
Maan demu anavootongozwa hasa na mtu wa status huwa anajiona ka win kila kitu na huwa Wana enjoy ,haijalisha huy jamaa n Malaya kias gani,
Hakuna rushwa ya ngono kule ni kutongozan kw kawaida tu ambapo option ni moj tu kukubari,

Napia kukuambia we ni Kam kukutambishia kwamb we umtaki lakn maboss wanamtaka ,alivoona reaction yko Alikuon Kama boya flan tu
 
Hiyo ni loophole ya baadhi ya wanawake wasio jiamini,na akishapata ajira inabaki siri yake,hebu jiulize kama anaweza kumkubalia mtu kwa 30,000 just for a night atashindwa nini kumkubalia HR ambaye anampa kazi,hapa ni swala la kutokujiamini...
 
labda uwe huna shida ya kazi....una shida ya kazi alafu ushindwa kutombwa kuipata ..wakati watu wamekosa kazi wakajiajiri kutombwa walipwe...wee ulitaka kumpotosha alafu nani angempa kazi baada ya kumkamatisha hr...
 
we toka umeanza tumia mali yako mbona wanaume wanatumia tu wanakuacha huko unaendelea kusota? haya ni chako kitumie upendavyo.
Huwezi jua labda nakitumia .
Umesema alichonifanyia huyu dada , nini hapo kimekuuma, angetumia pesa ili apate kazi am sure huu uzi usingekuwepo hapa.
 
Back
Top Bottom