siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Regent

    Dua: Mungu ifanye siku yangu ya leo iwe ya nzuri na furaha

    Ewe Mungu uliye Mkuu, Mungu wa mbingu na ardhi ifanye siku yangu ya leo iwe siku ya furaha, Mungu uliye mwingi wa rehema tunayekuabudu rehema zisizo na kifani na zisizo Kwisha.....Nineemeshe na kunibariki. Amin
  2. Shadow7

    Waziri Kalemani: Umeme ukikatika eneo lako toa taarifa, mameneja wa wilaya wakizembea siku 15 nawashusha vyeo

    Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akikagua Miundombinu ya Umeme eneo la Ntyuka Jijini Dodoma 1 Aprili 2021, amewataka Wananchi kutoa taarifa sahihi na mapema pale Umeme unapokatika katika maeneo yao ili TANESCO iweze kuwafikia haraka na kurejesha Umeme mapema. Waziri Kalemani ameeleza...
  3. matunduizi

    Je siku hizi watu hawafufuki kama zamani, au hatuna imani?

    Eliya alifufua Elisha alifufua Yesu alifufua Paulo alifufua Petro alifufua. Watumishi wote wamepewa amri sio ombi "Kufufua". Kipindi cha nyuma Askofu Gwajima alijitahidi kuonyesha nia bila matunda dhahiri. Sasa watumishi, walokole, wasabato,wakatoliki,mashehe, watambikaji inakuaje mnakaa...
  4. Mboka man

    Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

    Nakumbuka miaka 6 nyuma kuna binti niliwahi kumpenda sana sasa katika mahusiano tulifikia kile kipindi kile mahusiano yapo too toxic kila nikijitahidi kuliokoa penzi kuliokoa tusiachane lakini wapi. Mwisho wa siku nilikubali matokeo niliumia sana lakini mwisho wa siku ilibidi nikubali kumwacha...
  5. D

    Ujue uhalali wa siku za maombolezo kitaifa

    Misingi ya kuomboleza siku 21 kitaifa imebebwa kwenye alama na si mioyoni? Ukirejea sheria zote zilizotungwa na bunge chimbuko lake lilitazama tamaduni na mila! Kila kabila lililounda taifa lina namna yake ya kuomboleza, kwa mfano; Yapo makabila hunyoa nywele kama alama ya maombolezo. Wapo...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna sababu ya kuzuia kumsherekea Mwokozi wa Ulimwengu

    HAKUNA SABABU INAYOZUIA WATU WASIMSHEREKEE MWOKOZI WAO Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Imani zipo tofauti, kila mtu anaamini katika kila anachoona ni sahihi. Linapokuja suala la dini serikali lazima iwe makini hasa, sio serikali, mtu yeyote yule awe makini sana. Mimi ni Msabato kwa asili...
  7. J

    Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma. Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa? Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
  8. B

    Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

    Kuzuia sherehe za Pasaka kwa namna yoyote ile ni kuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi. Ipo tofauti ya imani na amri...
  9. Replica

    Spika Ndugai: Wafanyabiashara wa nchi hii kila siku wanalalamika, mnahitaji kengele gani igongwe?

    Leo spika Job Ndugai amewaapisha wabunge walioteuliwa jana na Rais Samia Suluhu na kuahirisha Bunge kwa ajili ya hafla ya kuwaapisha mawaziri jioni ya leo. Pamoja na mambo mengine, Spika Ndugai amewaambia mawaziri na mawaziri watarajiwa kwamba Bungeni ndio nyumbani na uwaziri ni matembezi...
  10. Victor Mlaki

    Siku ya Wajinga tuwe makini sana

    Siku kama hii nakumbuka miaka 15 iliyopita kuna Dada yangu mmoja alipigiwa simu na kuambiwa aende kwenye interview ya kazi fulani hivi aliyokuwa akiifuatilia. Siku kama hii na mwezi huu alipopigiwa simu aliondoka na kwenda Posta ya zamani wakati huo katika jiji la Mindule. Alipofika ofisini...
  11. Shadow7

    Chimbuko la Siku ya Wajinga na madhara yake

    Aprili 01: Ni siku ya vituko iliyopewa jina la ‘Siku ya Wajinga’ watu wamejenga mazoea ya kupeana taarifa za mzaha, zisizo na ukweli kwa lengo la kufurahishana, lakini mzaha unapozidi husababisha wengine kuumia. Dar es Salaam. Najua leo umepanga mengi ya kufanya ili kuwadanganya ndugu, jamaa na...
  12. captain 21

    Mtu kupenda kuitwa jina lake halisi, hii imekaaje??

    Binafsi nina mazoea tu ya urafiki wa kawaida na msichana mmoja mtaani kwetu ambae tayari ana mtoto mmoja, lakini mwanaume ambae yuko nae kwenye mahusiano kwa sasa yupo mkoa mwingine kikazi. Lakini kinachonishangaza huyu mdada hua hapendi nimuite kwa kutumia jina la mtoto wake mfano "mama...
  13. The Dictator

    Mipango ovu ya mabeberu: "Afrika lazima ibaki maskini siku zote"

    VIDEO hapa chini ilianza kusambaa mnamo mwaka 2019 juu ya mipango ya kuhakikisha nchi za kiafrika kubaki maskini na tegemezi kwa nchi za magharibi iwe jua, iwe mvua. Na hii ndio inayoitwa hasa VITA YA KIUCHUMI kama hayati wetu JPM alisisitiza kuwa nayo makini kwani ni ngumu mno zaidi ya vita...
  14. S

    Siku 21 za maombolezo ni nyingi mno

    Habari wadau, Kwa mtazamo wangu, siku 21 za maombolezo ya kitaifa wanapofariki viongozi(maraisi) ni nyingi mno hivyo napendekeza zipunguzwe kufikia siku 14 au hata chini ya hapo. Wanadamu, kwa asili, tumeumbwa kusahau na hii si kwa bahati mbaya, bali ni ili kumuwezesha mwanadamu aendelee na...
  15. E

    Tatizo la simu fake Kariakoo kwanini vijana tusijiingize kwenye hii biashara tusaidie watanzania wenzetu wanaolizwa kila siku?

    Habari za leo wakuu, Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum, Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
  16. Uponyaji na uzima

    Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Salamu wakuu Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu. Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
  17. Jackal

    Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

    Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say, Kwanza KATIBA HAIJAVUNJWA KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU kuapa, na wala hakuna Mkanganyiko wowote wa Kikatiba, kwa yeye kutoteua PM na Baraza jipya. Mmekaa wote kweli...
  18. Haitham Kim

    Tunalia Watanzania

    Tutakuenzi kwa mengi mazuri uliyotufanyia, Tutadumisha umoja Upendo uliyo tuhusia, Itakuja siku moja tena tutaonana tena, Uliyoagizwa umefanya ulale mahala pema, Hivi ndio kweli hatukuoni tena, Itakuaje ile mitano tena, Wasanii tulikupenda sana, Wanakulilia wakina mama.
  19. Roving Journalist

    Afande Sele( Seleman Msindi), asomewa dua ya kufa kabla ya Ramadhan ya 2021 kufika, atuhumiwa kumkufuru Mungu

    Salaam Wakuu, Kuna Video inasambaa ikimuonesha Sheikh akiomba kwa Mwenyezi Mungu muumba Mbingu na Nchi amchukue Msanii wa Bongo Fleva Afande Sele kabla ya ramadhan kufika. Je, kulikuwa na ulazima huo? Afande Sele anatuhumiwa kumkufuru na kumkashifu na kumkejeli na kumkifuru Mungu. Afande Sele...
  20. matunduizi

    Mtaa wetu utakukumbuka kwa muujiza ulioufanya hapa siku za mwishomwisho za uzima wako

    lita 1000 ya maji ya Chumvi tulikuwa tunanunua Tsh 15000. Tuliletewa na Gari na lenyewe hadi uwe unachukua kuanzia lita 3000. Hadi unaondoka tunaipata mubashara kwa tap Lita 1000 T-sh Kama 1500. Punguzo la asilimia Hatukuwahi kufikiri iko siku Muujiza utatokea maji yatiririke bafuni...
Back
Top Bottom