siku ya wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Simba hamjawahi toka salama siku ya wanawake kaangalien history..Ahmed ally anawapotosha

    Niwakumbushe tu Wana Simba zimebki siku 7 NENDEN kafwatolein hamjawahi toka salama siku ya wanawake DUNIAN Na hii nowajuza ili siku mkiona hii tar geuzeni njia mtaliaaa Hii siku MSISHANGAE 4-6. Zonawanyeshea Nawatakia kila la kheri
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Makonda aingia Mtaani usiku Kuuza Uji shamrashamra kuelekea siku ya Wanawake

    Mkoa wa Arusha tayari umeanza shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha siku ya Wanawake duniani kinachotarajiwa kufanyika Machi 08, 2025 kwenye uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa na maonesho na shughuli...
  3. ELI COHEN

    Valentine sio siku ya wanawake ni siku ya wapendanao. Kama wewe dada hauwezi kumtafutia mpenzi wako zawadi ni aibu kutegemea kuletewa

    Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Don't make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali. Yani kuna mtu leo anajiandaa atumiwe meseji asubuhi hii alafu jioni aletewe ka-gift fulani, bwana ake akisahau hivi vyote...
  4. Waufukweni

    Itoshe kusema CHADEMA inapendwa, tazama vaibu la Wanawake wa Nkasi wakijiandaa kwa Siku ya Wanawake Duniani

    Wakuu Itoshe kusema kuwa CHADEMA inapendwa, jambo linalodhihirishwa na hamasa kubwa ya wanawake hawa wa Nkasi, Kasikazini, katika Kata ya Kirando wakijiandaa kwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Jumamosi, Machi 8, 2025. Soma, Pia: Siku ya Wanawake Duniani watumishi...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Machi 8 tunaadhimisha Siku ya Wanawake au Siku ya Samia? Picha zake kutapakaa kwenye vitenge vya maadhimisho ni ili iwe nini?

    Wakuu, Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa? Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki? Pia soma: Kutakuwa na sare ya wanawake...
  6. Cannabis

    PreGE2025 Kutakuwa na sare ya wanawake wote kitaifa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Machi 8 2025

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa kutakuwa na Sare ya Kitaifa tarehe 8 Machi 2025, kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani na pia; Kabla ya tarehe 8 Machi, maadhimisho yataanza mikoani kwa kila mkoa...
  7. Stephano Mgendanyi

    Maneno Mazito aliyoyasema Mhandisi Zena Ahmed Said, Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Katika Siku ya Wanawake Duniani

    "Kauli Mbiu ya Wekeza kwa Mwanamke Kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii. Huwezi kutoa usichokuwanacho. Wanawake ndiyo watoaji wakubwa wa mambo mengi kuanzia watoto wanavyozaliwa" - Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Mhandisi Zena Ahmed Said "Kama tutakuwa...
  8. J

    JamiiForums ilisherehekea siku ya Wanawake Dunia kwa Mkutano na Wanawake ambao ni Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni

    Video hii inaonesha kwa ufupi Siku hii ilivyokuwa Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani JamiiForums iliandaa mkutatano na Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni ambao ni Wanawake. Katika mkutano huu Wadau hawa walijadili changamoto mbalimbali wanazopitia Waandaaji hao wa Maudhui Mtandaoni...
  9. Ojuolegbha

    Salamu za Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani

    Salamu za Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani.
  10. figganigga

    Tofauti ya siku ya Wanawake na Siku ya Mama duniani

    Kwa ufupi sana. Siku ya Kimataifa ya Wanawake inatambua mafanikio ya wanawake, bila kujali utaifa, kabila, dini, utamaduni, lugha, hali ya kiuchumi au mwelekeo wa kisiasa. Siku hii pia huongeza chachu katika harakati za mapambano katika usawa wa kijinsia kwa wanawake na wanaume katika jamii...
  11. Pascal Mayalla

    Siku ya Wanawake: Baada ya Watanzania Kumchagua Rais Mwanamke, 2025, Je Tumchagulie na Wabunge na Wadiwani kufikia 50/50 kisha Tufute Viti Maalum?

    Leo ni siku ya Wanawake duniani Kwanza hongera kwa wanawake wote duniani kwa kuadhimisha hii siku yao. Leo kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni swali " Baada ya Watanzania kumchagua rasmi Rais mwanamke, Uchaguzi Mkuu wa...
  12. P

    Happy Women's Day: Una ujumbe gani kwa wanawake leo Siku ya Wanawake Duniani?

    Wakuu mpo salama? Siku ya Kimataifa ya Wanawake tarehe 8 Machi, ni muhimu katika kutambua jitihada, harakati na mchango wa Wanawake Duniani kote Tunasherekea mafanikio ya Wanawake katika nyanja mbalimbali za Maisha kama vile mafanikio binafsi, kihistoria, kiuchumi, kisayansi, kisiasa na...
  13. J

    UWT yatoa rai kwa wanawake kujitokeza kwa wingi katika ushiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

    "Historia ya sifa ya wanawake na siku ya wanawake Duniani inajulikana ambayo ni kesho tarehe 8 Machi na hii ni njia ya kuendelea kuhamasishana katika kufanya kazi na kupeana nguvu ya kuinuana kiuchumi." "Tunaomba rai kwa wanawake wote mjitokeze kwa wingi kwenye maadhimisho haya katika Mikoa...
  14. Victor Mlaki

    Maadhimisho ya siku ya Wanawake wilaya ya Mbogwe za tarehe 7/3/2024 bado takwimu za unyanyasaji wa kijinsia zipo juu

    Wilaya ya Mbogwe Leo inaadhimisha siku ya Wanawake Duniani chini ya kaulimbiu " WEKEZA KWA WANAWAKE KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA NA USTAWI WA JAMII" huku takwimu za unyanyasaji zikionesha wanawake waliofanyiwa unyanyasaji na kutoa taarifa zikiwa 1309 na wasichana zikiwa 50. Taarifa...
  15. Blasio Kachuchu

    Barrick yaadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa mashine ya patient monitor Hospitali ya Rufaa Mwananyamala

    Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi (kulia) akikabidhi msaada wa mashine ya Patient Monitor, kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala,Dkt. Zavery Benella.Wengine pichani ni Wafanyakazi wa Barrick alioongozana nao. --- Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku...
  16. Roving Journalist

    Wanawake kuongoza Treni ya kwenda Hifadhi ya Nyerere kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani (Machi 2)

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wameandaa safari ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere mnamo Machi 2, 2024 katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Februari 19, 2024...
  17. J

    Ukerewe, kilele cha siku ya wanawake duniani

    KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 8/3/2023 NANSIO - UKEREWE MH Hassani Bomboko Mkuu wa wilaya ya Ukerewe ameshiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani katika Kuhitimisha Wiki ya Mwanamke Wilayani Ukerewe Akizungumza na wanawake wa wilaya ya Ukerewe Mh Bomboko amewataka Wananchi...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mary Masanja Alivyoshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

    NW UTALII MHE. MARY MASANJA ALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja ameshiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza Machi 8, 2023. Akizungumza katika Maadhimisho...
  19. Stephano Mgendanyi

    Martha Gwau awafunda Wakinamama na Mabinti wa Shule Siku ya Wanawake Duniani

    MBUNGE MHE. MARTHA GWAU AWAFUNDA WAKINAMAMA NA MABINTI WA SHULE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Mhe. Martha Gwau, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida alikuwa ni miongoni mwa viongozi waliofika shule ya Sekondari Ilongero kuzungumza na kusikiliza midahalo miwili ya mabinti wa shule pamoja mdahalo wa...
  20. Russia is not your enemy

    Siku ya Wanawake imenisaidia kuopoa vyuma

    Acheni kabisa.. Mwanamke apendeze ndiyo utaona urembo ni mzuri kias gani..siku ya Wanawake nimepata pisi za maana tatu. Kwa kuwa ilikuwa siku yao ya kujiachia nilitumia fursa hiyo. Mnamo saa sita mmoja nilimuona nikamuomba tukapate lunch. Tukazama zetu...mlo saaadi 25,000 ikanitoka tukazama...
Back
Top Bottom