siku ya wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Right Marker

    Kilichowakuta wanaume wengi leo siku ya wanawake Duniani

    Naamini leo wanaume wengi tumejitahidi kuwawish wanawake katika siku yao ya leo (Siku ya Wanawake Duniani - machi 8, 2025). Wengi tumekutana na mapokeo yafuatayo: Mapokeo - Mwanaume asiyekuwa na hela: 🙍MWANAUME:👁️‍🗨️ "Happy woman's Day jirani yangu, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu, afya...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  3. Mindyou

    PreGE2025 Viongozi wa kiume kushona sare ya kitaifa ya siku ya wanawake ni sababu ya uchawa?

    Wakuu, Kama mnavyojua leo ni siku ya wanawake duniani na huko mitandaoni nimeona baadhi ya viongozi wa CCM wamevaa mavitenge yenye picha za Rais Samia. Vitenge kama mnavyojua ni fabrics za wanawake. Nyie wana CCM wanaume ambao mmmeshonesha mashati ya vitenge mnataka mtutumie ujumbe gani? Ni...
  4. Just Pray

    Dkt. Slaa yupo Mlimani City akishiriki maadhimisho ya BAWACHA siku ya wanawake duniani

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa naye yumo leo Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoadhimishwa na Baraza la Wanawake wa chama hicho katika ukumbi wa Mlimani City Dar Es Salaam
  5. Just Pray

    Video: Shangwe la BAWACHA wakimpokea Lissu maadhimisho siku ya wanawake Mlimani City

    Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu alivyoingia na kupokelewa kwa shangwe Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ndiye Mgeni Rasmi wa tukio hili.
  6. B

    PreGE2025 Mbunge kasaka ashiriki siku ya wanawake kwa aina yake, atoa mitungi ya gesi 100 na milioni 3 kwa akinamama

    Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya Masache Kasaka ameshiriki katika maadhimisho ya siku ya Mwanamke duniani ambapo kiwilaya ya Chunya yamefanyika ukumbi wa Halmashauri Sapanjo. Sambamba na hilo ametoa mitungi midogo ya gesi 100 kwa ajili ya Mama Lishe na kiasi cha Tsh...
  7. Just Pray

    Video: Siku ya wanawake kimataifa, Wanawake madereva wa magari na mitambo wakionesha umahiri wao mbele ya Rais Samia

    Tazama Wanawake madereva wa magari na mitambo walivyoipamba Siku ya Kimataifa ya Wanawake Jijini Arusha mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Siku ya Wanawake duniani:- Ni aibu mwanaume kuomba lift kwenye gari ya mwanamke, kumuomba mwanamke vocha, rent ya nyumba etc

    Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako? Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
  9. Nobunaga

    Siku ya Wanawake Duniani: Wewe kama mwanamke umefanya kipi mpaka sasa cha kuuthibitisha huu msemo mnaoupenda? "What a man can do, a woman can do"

    Huyu mwenzenu ameshasema "Count me out", amesema yeye kubeba zege, kulima bado sana, hayo tuachiwe wanaume. Kumbuka kauli mbiu ya mwaka huu ni “Kwa Wanawake na Wasichana Wote. Usawa. Haki na Uwezeshaji.”
  10. Mohamed Said

    Siku ya Wanawake Duniani: Haiba ya Wanawake wa Mwanzo Kuingia TANU

    Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya wanawake wapigania uhuru wa Tanganyika. Wanasema picha inazungumza maneno 1000 na pia jicho la camera...
  11. Mkalukungone Mwamba

    RC Simiyu apamba Mkesha wa Siku ya Wanawake kwa kuchana mistari mbele ya Makonda

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amepamba kwa kuchanaaa mistari, Ni usiku wa mkesha kuelekea sikubya wanawake Duniani Kitaifa inafanyikia Arusha ambapo mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda ameandaa nyama kwa wakazi buree.
  12. B

    Siku ya wanawake yawa agenda iliyoporwa na mfumo mpya wa kitabaka ndani ya tabaka

    SIKU YA WANAWAKE YAWA AGENDA ILIYOPORWA NA MFUMO MPYA WA KITABAKA NDANI YA TABAKA Ni muhimu kurejesha mwelekeo wa siku hii ili uweze kutumikia lengo lake la awali la kutetea haki za wanawake Historia ya Siku ya Wanawake Siku ya Wanawake Duniani ilianza kuadhimishwa rasmi mnamo Machi 8, 1975...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Makonda: Wapenzi (couple) watakaopendeza kesho Machi 8 Arusha kupata zawadi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema wapenzi (couple) itakayopendeza kesho katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake itapewa zawadi maalumu. Makonda ameyasema hayo leo Ijumaa Machi 7, 2025 alipokuwa akikagua eneo ambalo nyama choma italiwa bure kwa wakazi wa Arusha kuelekea maadhimisho...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Makonda hana jambo dogo, Ng'ombe zaidi ya 400 za chinjwa Arusha ni mwendo wa kula nyama choma bure

    Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Makonda: Rais Samia ni mwanamke wa mfano duniani

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema Maandalizi ya kumpokea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan yamekamilika na kueleza kuwa Rais Samia ni Mwanamke wa Mfano duniani hivyo wao kama Mkoa wanajivunia Rais Samia. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Mbio za Magari kumpokea Rais Samia Arusha, Sherehe za Siku ya Wanawake

    Maonesho ya aina yake ya mbio za magari yanatarajiwa kurindima wakati Rais Samia akiwasili jijini Arusha na hiyo itakuwa ni sehemu ya staili ya kipekee ambayo inapangwa kama sehemu ya mapokezi hayo. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  17. Action and Reaction

    Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kata ya Itamboleo wilayani Mbarali ni balaa

    Maadhimisho hayo yaliyojaa shamra shamra, shangwe huku Jina la mama Samia likiinuliwa Juu mawinguni yameenda vizuri hadi kupelekea mgrni rasmi ambaye ni diwani wa kata hiyo kutoa zaidi tani moja na nusu za mchele kwajili ya shule zote zilizopo katani hapo baada ya wakina mama kutoa changamoto...
  18. B

    RC Homera kuongoza maadhimisho siku ya wanawake mkoani Mbeya

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani Machi 08, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kimkoa wa Mbeya yatafanyika Wilaya ya Kyela pale Kipija Arena siku ya Ijumaa Machi 07, 2025. Nyooote mnakaribishwa. *Kauli...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Singida kusherehekea siku ya wanawake duniani kwa kugawa mitungi ya gesi

    Jumapili MKOA wa Singida unatarajia kuyatumia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kila mwaka Machi 8, kwa kugawa mitungi ya gesi 29,000 yenye bei ya ruzuku kwa wanawake ikiwa ni hatua kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia mkoani hapa. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima...
  20. Right Marker

    Siku ya wanawake Duniani; Wanawake kumbukeni hili.

    Machi 8 kila mwaka, wanawake mnasherehekea siku ya mwanamke duniani. Bahati nzuri ni kwamba asilimia kubwa ya wanawake siku ya tukio..... 1. gharama za vitenge mnavyoshonesha, 2. magari binafsi mnayozunguka nayo, 3. michango mnayochangishana kwa ajili ya kununua zawadi, 4. pesa za chakula na...
Back
Top Bottom