Jana ilikuwa ni siku ya wanawake duniani.
Nafikiri tumeona mengi sana pia mnakaribishwa kuandika mliyo yashuhudia hiko kwenu.
Upande wangu nilichoshuhudia na kunishangaza,, post nyingi mitandaoni HAPPY WOMAN DAY ililengwa kwa kumuwish mama Mzazi, bibi, shangazi, Dada, workmate wa kike, na...