siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya siasa vijiongeze kwa kuajiri wataalam ya lugha ya ishara wanapofanya mikutano yao

    Vyama vya Siasa nchini vinatakiwa kuweka mazingira wezeshi yatakayowasaidia watu wenye changamoto ya kusikia na kuongea ili kutimiza haki yao Kikatiba ya kushiriki katika mchakato mzima wa kushiriki uchaguzi bila kuwepo kwa vikwazo. Kutokuwepo kwa mazingira rafiki kwa kundi hili maalum...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha siasa ukaja kujua sio kweli?

    Wakuu kwema? Kama mada inavyosema hapo juu, umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha saisa ukaja kujua sio kweli? Kuna watu wapigwa fix nyingi kuhusu kadi hizi kwa malengo mbalimbali iwe kuongeza wanachama, ushawishi na kadhalika. Uliambiwa kadi yako ya chama ina uwezo wa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kauli gani kutoka kwa mwanasiasa ilikuvunja moyo kufatilia mambo ya siasa?

    Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyosema hapo juu, kauli gani imewahi kutolewa na mwanasiasa iwe kwenye kampeni, mkutano wa hadhara, au kiongozi akiwa anatimiza majukumu yake ikakufanya uchukie siasa ama uache kabisa kufatilia mambo yanayohusu siasa? "Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Nadhani hii inaweza kuwa ndiyo kauli ngumu sana ya Rais Samia kwa mwaka 2024

    "Hatusemi tukafanye chaguzi za kutumia nguvu hapana, taratibu, sheria na miongozo ya uchaguzi itafuatwa lakini Jeshi na vikosi vyote vya ulinzi na usalama vikae tayari kukabiliana na hali yoyote itakayojitokeza." " Hapo mwakani 2025 tunaenda kwenye uchaguzi mkuu na ule ndiyo uchaguzi wenye...
  5. JamiiForums Tanzania Suala la Umeme linafanya niwaze siasa

    Mimi ni wale watu ambao hawajihusishi wala kujishughulisha na kitu kinaitwa SIASA. Ni mwezi sasa hapa nilipo kumekuwa na mgao mkali sana wa Umeme. Yaani ndani ya siku 30 naweza kuwa nimepata umeme siku 5 tu (Yaan ukiunganisha unganisha mgao kufikia masaa 120-5days). Hii inanifanya nijiulize...
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe amekutana na Balozi wa Uingereza (British High Commissioner) David Concar hii leo kuzungumzia maswala kadhaa ya kuhusu siasa nchini Tanzania

    Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania, Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini.. Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Siasa imemlipa Mbowe kajenga kasri

    Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda amlipua Freeman Mbowe kuwa "siasa imemlipa, amejenga kasri, naenda kulala kwake" PIA, SOMA: Matamko mengine ya Makonda Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa maneno, sio kwa kugawa kanga kipindi cha uchaguzi Makonda: Yetote mwenye sifa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo la kiufundi mahali kwenye kizazi hiki tukubali au tukatae au ni njia mpya ya siasa?

    Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete. Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia. Kukiwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mwamakula: CHADEMA na CCM ni kama wapenzi wawili waliongia kwenye mahusiano bila kufuata taratibu

    Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa hivi mambo yameharibika kila mmoja analalamika. Akisema Mazungumzo ya CHADEMA na CCM yalikuwa siri...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania bado wanauelewa mdogo kuhusu siasa hivyo Rais Samia endelea kuteua wazee kwanza

    Nimefatilia siasa zote kutoka Ccm na upinzani Ila vijana bado hawapo matured mentally. Ukiwatazama vijana Wa Uvccm wao hakuna wanachowaza zaidi ya matusi, kuua , kujeruhi na kuwafunga wakosoaji Wa CCM. Ukija kwa upinzani hawa kiasi chake wanakuaga na hoja nzuri ila tatizo lao kubwa ni lile la...
  11. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke mashujaa wetu wazalendo waliopigana dhidi ya Mjerumani

    Friends and Our Enemies, Historia wakati mwingine kwa makusudi au kwa bahati mbaya haiwapi heshima wazalendo hali inayopelekea kuwasahau wazalendo hawa. 1. Alisongea Mbano 2. Abdallah Mchimani 3. Abdulhamid Mfaranyaki Hawa ni miongoni mwa mashujaa ambao walishiriki sana kwenye maji maji...
  12. JamiiForums Tanzania Msajili: Vyama vya Siasa vinatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi kama Sheria inavyowataka na kuepuka kukaa muda mrefu bila uchaguzi

    Wanaukumbi. Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
  13. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu ADC: Tulipanga kufanya maandamano kuunga mkono miswada ipitishwe kuwa sheria lakini CHADEMA wakatuwahi

    Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

    Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la kupigania kipande cha mkate. Kwa Watanzania wa sasa. Hata kama chadema itatoa pesa za kuwalipa watu...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu alitaka siasa za mapambano, Mbowe akataka maridhiano, Mbowe karudia siasa za mapambano, Lissu anakula bata AFCON

    Mnara wa Babeli? Lissu anaonekana akiwa na furaha kubwa sana huko Ivory Coast akishangilia timu ya Msumbiji. Lissu amegundua kwamba Mbowe anamuwekea mtego ili kumuonyesha kwamba aina ya siasa anazozitaka hazifanikiwagi, hasa Tanzania? Yaani anamuonyesha kwamba, si unataka siasa za maandamano...
  16. JamiiForums Tanzania Kadi ya chama cha siasa haiwezi kutumika nje ya mipaka ya chama hicho

    Kadi ya chama cha siasa, ni nyaraka anayopewa mtu aliyejiunga na chama fulani cha siasa kuthibisha kuwa yeye ni mwanachama halali au hai wa chama hicho. Wapo watu wengi wamekuwa hawatambui kazi ya kadi ya vyama vya kiasa na hudhani au huaminishwa na aidha wanaowashawishi kujiunga na vyama au...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa ni kama biashara, ukishajenga ngome ya Wateja wako kudondoka ni kazi ngumu sana

    SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu. Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

    Friends and Enemies, Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa siku zote haitabiriki. Ukiona mwanasiasa ameanguka weka akiba ya maneno

    Siasa siku zote haitabiriki. Ukiona mwanasiasa ameanguka weka akiba ya maneno. 2015, Sophia Simba, Adam Kimbisa na Emmanuel Nchimbi walitoka hadharani kupinga kutenguliwa kwa jina la Lowassa katika kinyangayiro cha uraisi. 2017, Sophia Simba afukuzwa uanachama huko Adam Kimbisa na Emmanuel...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CHADEMA haitashiriki Uchaguzi wowote kama Mazingira ya Siasa yatabaki kama yalivyo sasa

    ''Msimamo wetu bado ni huo, kutokana na mazingira tuliyopitia mwaka 2019 na mwaka 2020 yalitudhihirishia wazi kwamba hatutashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu (2024) kutokana na yale yaliyotokea yanatupa hofu kwenda kushiriki Uchaguzi tena, lakini kama kuna mambo yatabadilika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…