Freeman Mbowe: Kiongozi wa Chama cha siasa kutokea Afrika anayeheshimika zaidi Duniani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,472
215,292
HUYU NDIYE MW_KITI WA CHA SIASA BARANI AFRICA ANAYE HESHIMIWA DUNIANI KOTE KWA S ( 335 X 640 ).jpg

Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.

Huyu ndio Mwanasiasa aliyefirisiwa na kudhulumiwa kuliko yeyote barani Africa , ambapo wote waliosaidia kudhulumiwa kwake ama wamepandishwa cheo au wamefutiwa mashitaka yao ya ufisadi , RC wa Mtwara na Mh Mchechu ni miongoni mwa wanufaikaji wa mateso ya Mbowe , Huyu Mbowe Taarifa mpya zinaonyesha kwamba ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi katika historia ya siasa za Tanzania , huyu ametukanwa hata na watu waliokuwa hohehahe aliowaokota majalalani na kuwapa maisha akiwemo Mwita Waitara aliyeokotwa na Chadema baada ya kukimbia UVCCM alikopangiwa kuwa mpika chai wa Nchimbi aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Taifa ( hii ni kwa mujibu wa kauli ya Waitara mwenyewe )

Ni mwanasiasa wa kizazi kipya asiyetishwa wala kuyumbishwa na wenye mamlaka , ni miongoni mwa wanasiasa wachache wa Tanzania WANAOFAHAMISHWA MAPEMA JUU YA NJAMA DHIDI YAO , lakini haogopi , hii imejidhihirisha hata alipofungwa jela miezi minne bila hata kuhukumiwa kifungo na Mahakama , ni miongoni mwa Magwiji wa siasa nchini Tanzania na sasa Africa na duniani , wengi wanamfananisha na kizazi cha akina Nelson Mandela na Kwame Nkurumah .

Hii ni tunu ya Dunia

A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
View attachment 1459189

Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.

Huyu ndio Mwanasiasa aliyefirisiwa na kudhulumiwa kuliko yeyote barani Africa , ambapo wote waliosaidia kudhulumiwa kwake ama wamepandishwa cheo au wamefutiwa mashitaka yao ya ufisadi , RC wa Mtwara na Mh Mchechu ni miongoni mwa wanufaikaji wa mateso ya Mbowe , Huyu Mbowe Taarifa mpya zinaonyesha kwamba ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi katika historia ya siasa za Tanzania , huyu ametukanwa hata na watu waliokuwa hohehahe aliowaokota majalalani na kuwapa maisha .

Ni mwanasiasa wa kizazi kipya asiyetishwa wala kuyumbishwa na wenye mamlaka , ni miongoni mwa wanasiasa wachache wa Tanzania WANAOFAHAMISHWA MAPEMA JUU YA NJAMA DHIDI YAO , lakini haogopi , hii imejidhihirisha hata alipofungwa jela miezi minne bila hata kuhukumiwa kifungo na Mahakama , ni miongoni mwa Magwiji wa siasa nchini Tanzania na sasa Africa na duniani , wengi wanamfananisha ni kizazi cha akina Nelson Mandela na Kwame Nkurumah .

Hii ni tunu ya Dunia

View attachment 1459193
Hakika kwa ujasiri wake, anastahili kuingia kwenye Guiness World Records
 
Hahahaaa!! Mna tofauti gani na CCM wanaomsifu Magufuli kuwa Rais Bora Africa Kama siyo duniani kote?

Kiuhalisia Mbowe Ni mbabe wa kisiasa ndani ya Chama chake, no democracy in Chadema, ila nyie wafuasi wake wa karibu mnaonufaika lazima mtafute namna ya kumfurahisha boss wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutunga uzushi dhidi ya Mh Mbowe hakutakuondoa kwenye maisha magumu yanayokukabili
 
Hah hah hah hah sio kwa kupaka ranging huko.

Mkuu asante kwa kutujuza.
 
View attachment 1459189

Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.

Huyu ndio Mwanasiasa aliyefirisiwa na kudhulumiwa kuliko yeyote barani Africa , ambapo wote waliosaidia kudhulumiwa kwake ama wamepandishwa cheo au wamefutiwa mashitaka yao ya ufisadi , RC wa Mtwara na Mh Mchechu ni miongoni mwa wanufaikaji wa mateso ya Mbowe , Huyu Mbowe Taarifa mpya zinaonyesha kwamba ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi katika historia ya siasa za Tanzania , huyu ametukanwa hata na watu waliokuwa hohehahe aliowaokota majalalani na kuwapa maisha akiwemo Mwita Waitara aliyeokotwa na Chadema baada ya kukimbia UVCCM alikopangiwa kuwa mpika chai wa Nchimbi aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Taifa ( hii ni kwa mujibu wa kauli ya Waitara mwenyewe )

Ni mwanasiasa wa kizazi kipya asiyetishwa wala kuyumbishwa na wenye mamlaka , ni miongoni mwa wanasiasa wachache wa Tanzania WANAOFAHAMISHWA MAPEMA JUU YA NJAMA DHIDI YAO , lakini haogopi , hii imejidhihirisha hata alipofungwa jela miezi minne bila hata kuhukumiwa kifungo na Mahakama , ni miongoni mwa Magwiji wa siasa nchini Tanzania na sasa Africa na duniani , wengi wanamfananisha na kizazi cha akina Nelson Mandela na Kwame Nkurumah .

Hii ni tunu ya Dunia

View attachment 1459193
Kama alizomewa na wapiga kura wake unadiriki kusifia uongo? Kama alikopesha Chadema deni la uongo mpaka sasa analipwa mil 50 kila mwezi unamfananisha na akina Nkurumah! Labda umemix mbege na K vant.
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom