siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Je, unazijua Sifa za mgombea wa Ubunge?

    Kama kawaida nikiwa mdau wa masuala ya Siasa za Tanzania nimeona ni jambo la Afya kwa pamoja tukijikumbusha na kuziangalia sifa zinazozingatiwa wakati wa Uteuzi wa mgombea wa Kiti cha Ubunge katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wewe ambaye umejipanga kuingia katika kinyang'anyiro cha nafasi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

    Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake. Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na...
  3. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huu u-chifu Zanzibar unakubalika?

    Naona huko Zanzibar mnaleta mambo ya ki-chifu. Abeid Amani Karume-Rais wa Kwanza Zanzibar Aman Abeid Karume- Rais Mstaafu Zanzibar Ali Hassan Mwinyi -Rais Mstaafu Zanzibar na Tanzania Hussein Mwinyi -Mgombea urais 2020 Ali Karume -Mgombea urais 2020 Hii yote ni himaya ya CCM, ndugu Watanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali acheni siasa watu tunahitaji vitambulisho

    .
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mtozi Aloyce Nyanda nini kilitokea jana kipindi cha Agenda 2020?

    Ndugu zangu habari za asubuhi! Kama kawaida siku ya jana rafiki na ndugu yetu Alloyce Nyanda alijitokeza kwenye kipindi chake tajwa hapo juu na aliwaalika vijana wawili ndg John Pambalu (mwalimu, kamanda na kiongozi wa BAVICHA Taifa) huyu walikuwa naye Ilemela Mwanza studioni. Mwingine alikuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za hamahama zimefeli kwa asilimia zaidi ya 90 kimalengo

    Ni wazi mpango huu umefeli kwa kiasi hicho kwasababu waliobuni na kutekeleza mpango huu wameshindwa kabisa kufanikiwa kuwashawishi wanasiasa wenye damu ya upinzani na wenye ushawishi katika jamii kuhama vyama vyao na kujiunga CCM. Kwa upande wa CHADEMA,wale waliokuja na Lowassa na kuondoka na...
  7. JamiiForums Tanzania Tunachagua viongozi kwa maslahi ya Taifa au maslahi ya vyama vya Siasa?

    Habari wadau. Pole na majukumu ya kujenga taifa. Wananchi wa chini wanapambana vya kutosha kusogeza taifa letu mbele, nguvu kazi zao na jitihada hukwamishwa na sera duni za nchi, sheria duni za nchi, taasisi na serikali isio-lenga kumnasua mtanzania wa chini kwenye umaskini uliokithiri. Hayo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kanuni zilizotungwa na Waziri kuhusu namna ya vyama vya siasa kuunda ushirikiano wa kisiasa zinaruhusu vyama kuunda Serikali ya mseto?

    Sheria ya Vyama vya Siasa(marekebisho ya sheria) ya mwaka 2018 katika kifungu 11(c) kinaruhusu vyama vya siasa kushirikiana kwa malengo ya kisiasa huku kanuni za kuunda ushirikiano huo zikiachwa mikononi mwa waziri husika. Swali langu ni je,wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu baadae mwaka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Zitto kukutana na Balozi wa Uingereza; Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze

    Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze. Kulingana na barua hiyo,Msajili...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ajuta na kuwaomba radhi wananchi wa Marekani kwa kuambatana na Rais katika ziara yenye utata ikihusishwa na siasa!

    Wakati wa ziara iliyoleta utata. Mkuu wa Majeshi akiomba radhi... ==== Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Siasa zetu na Hatma ya Tanzania: "Tungewawahi mapema Kuwanyonga"

    Tanzania ni nchi ambayo pengine inadhani ipo salama sana au ya kipekee kuliko nchi nyingine. Katika miaka yetu yote TZ imeshindwa kujifunza toka Rwanda,Burundi,Uganda,Kenya, Somalia,Sudan,Msumbiji n.k Hakuna mtanzania anayehangaika kufahamu na kujifunza nini kilisababisha kabila moja kuuawana...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ashutumu kushambuliwa kwa Mbowe, ataka uhuru wa siasa

    Msiyemtaka kaja yule naibu waziri wa mambo ya nje wa USA anayeshughulika Africa bwana TiBOR ambaye profesa wa majalalani kipindi fulani alienda kubembeleza na kulilia msaada ka strike again, anataka uhuru wa kufanya kazi za kisiasa jambo amabalo ni gumu kwa CCM mpya maana uwanja ukiwekwa sawa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

    Mh Rais Magufuli nakusalimu. Nimetoka Magereza hivi karibuni ambako nilikuwa huko kwa zaidi ya miezi minne kwa kunyimwa masharti ya dhamana kwa dhamana iliyokuwa wazi. Mh Rais, nimeona kwenye vyombo vya habari leo kuwa kwamba wale Wabunge waliokuwa wanataka kunisalimia nilipokuwa Magereza...
  14. JamiiForums Tanzania Unafiki kwenye siasa zetu na hatma ya maisha yetu; tukiendelea hivi ni suala la muda tu, kila mtu atalia kwa wakati wake

    Dunia kwa asili yake ina machanguo mawili, wema au ubaya, haki au dhuluma, ukweli au uongo, unafiki au kutokuwa mnafiki, na kila mtu au jamii ina hiari ya kuchagua upande. Aidha, kila mbegu ioteshwayo na mtu mmoja mmoja, kundi au jamii huzalisha matunda yafananayo na mbegu husika. Kinachotokea...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Kete muhimu kwa nafasi ya urais zikipewa ridhaa na Vyama vya Siasa hasa Upinzani

    Kuna watu makini nadhani yawezakuwa wanabanwa na katiba ama hawana interest na siasa lakini wakiamua, wanauwezo mkubwa was kuleta ushindani na kushinda kwenye nafasi ya uraisi kwa UCHAGUZI wowote, watu hao nipamoja na ; 1. Prof Assad, former CAG 2. Salim Backressa, mfanya biashara 3. Mhammed...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Ado Shaibu: CHADEMA ni chama cha siasa. Kina haki ya kuandaa Wagombea Zanzibar

    MAJIBU YA KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO ADO SHAIBU ALIPOULIZWA KUHUSU KAULI YA CHADEMA KUSIMAMISHA WAGOMBEA ZANZIBAR. Kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu msimamo wa ACT Wazalendo baada ya CHADEMA...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Siasa zinatufanya tumkufuru Mungu hata kuhusu corona

    Wengine tuliofiwa na Ndugu tokana na gonjwa hili la Covid 19 ndiyo tunajua machungu yake. Serikali yetu, naapa mbele za Mungu Wetu, ilipoamua kusimamisha kupima maambukizi ilificha mengi. Halijaisha juma moja nina uhakika na kifo cha Ndugu yangu mwingine kuwa kilisababishwa na corona. Ni kweli...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Unafiki ni sehemu ya maisha kwenye siasa hauepukiki awataka wanachama kutii kanuni hata kama ni kinafiki

    Mwenezi Polepole ambaye pia ni mlezi wa chama mkoa wa Arusha amewataka wabunge kuendelea kukutana na wananchi na kukamilisha ahadi walizotoa mwaka 2015. Hata hivyo Polepole amezuia watu wengine kufanya mkutano na wananchi kana kwamba wao ni wabunge. Polepole amewaruhusu wabunge kuwanunulia...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na upinzani kiini macho

    Tanzania ni moja ya nchi zinazosifika kama kisiwa cha Amani. Hii ni kutokana na namna siasa na utu wa watanzania unavyothamini Amani na utulivu. Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi tangia 1992 na hadi sasa chama kikuu cha upinzani ni chadema. Hata hivyo; vyama vya upinzani Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa za uchaguzi na fursa kwa wajasiriamali

    Habari za wakati huu, Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao katika kipindi hiki cha COVID wamejikuta katika wakati mgumu kwa sababu moja ama nyingine katika biashara zao na maisha kwa ujumla na kwa wale ambao wameifariki dunia katika kipindi hiki wapumzike kwa amani. Nirudi kwenye mada kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…