Siasa za maisha magumu na nini utataka baada ya hapo!?

Something Inside

Senior Member
Nov 15, 2019
165
30
Hapo ndipo kila MTU alikuwa hapotezi muda kupelekea kwenye Siasa za KUPLAN kupelekea maisha ya mbele.. aliyefika mbele utajua kama unamradi wa matofari ilikuwa hupotezi muda maana IPO siku geti na bati tutayeyusha na kutengeneza mabati ya JAMII mtaa Kwa mtaa..

Tunamawazo Mazuri Ila yataishia kumpangia MTU kwenye matumizi ya kawaida ya bar wote rutaishia kwenye NYUMBA na GARI (G). Hakika IPO siku Ujerumani watatuchakaza tena labda figure tuliyotengeneza ndogo

 
Uzuri wa illicit financial flow ukimdharau MTU fursa lifespan hakuna IPO Kwa ajili ya kuwakumbusha watu mambo yenu hayana maana hata uwe professional, billioners mnaishia kwenye NYUMBA na GARI lakini hata VIPI mtaishia kwenye mambo mnayoyataka ukiharibu nimeharibu usijudge
 
Siasa za kufikiri mambo makubwa yasiyo na MAANA

Kilimo (hola)
Viwanda (hola)

Kuboresha MAISHA (hola)

Watu hawana hela (hoye)

Watapataje (ziii)
 
Back
Top Bottom