Matokeo ya kuingiliwa siasa zetu na nafasi yetu katika kukemea na kudhibiti, Katibu mkuu wa CCM kafungua njia tuifuate. Case study: uchaguzi S/M

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,573
2,000
Zikiwa zimepita takribani siku tano tangu kumalizika kwa amani uchaguzi wa serikali za mitaa na matokeo kutangazwa na washindi kusheherekea ushindi wao, sasa muda wa kuliangalia swala la uchaguzi katika upana ili kuyaziba mdomo mataifa yanayoonesha kupingana na uchaguzi huo.

Baada ya matokeo kutangazwa , Marekani na Uingereza ilitoa taarifa juu ya uchaguzi ule kwamba wamesikitishwa na taarifa za ukiukwaji wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Uchaguzi wa serikali za mitaa umesimamiwa kwa 100% na wasimamizi wa Tanzania na hakukuwa na wasimamizi wa kimataifa wa kuoanisha hali ya uchaguzi, je Marekani na Uingereza imepata wapi hizo taarifa za ukiukwaji inazosema? Je, hawamini vyombo vyetu rasmi vya kutoa taarifa mpaka kuokoteza taarifa mitaani?

Kitendo cha Marekani na Uingereza kutoa taarifa ilizopata nje ya mfumo rasmi si suala la kuchekewa ila la kukemewa kwa nguvu zote na watanzania, tuna jukumu hilo kwa pamoja ili kusiwepo na namna yeyote ya kutawaliwa kisiasa. ni jukumu letu kujilinda dhidi ya hujuma hizo za Marekani na Uingereza katika uchaguzi ule wa kidemokrasia. Uhuru wa kiuchumi hauwezi kuwepo bila uhuru kamili wa kisiasa wa kutoingiliwa katika masuala ya ndani ya nchi yetu, tupaze sauti kukemea hili kwa pamoja.

Nampongeza Katibu mkuu wa CCM kwa kuonesha njia tunayotakiwa kuifata katika kukemea hujuma hizo. Umepaza sauti kuonesha kukasirishwa na kitendo hicho na umekikemea kwa nguvu zote. Tunahitaji ujasiri kama huo wa kutonyamaza kimya tunapoona nchi yetu inaingiliwa katika masuala yake ya ndani na tunakuhahakishia hatutanyamaza kimya, tutapaza sauti ili kuwatia moyo wewe na Mwenyekiti wetu na viongozi wengine wote.
 
Ntalewisegete

Member
Oct 20, 2019
60
125

[/QUOkwa mtazamo wako hao wazungu wameongea ukweli au uongo?
 
Mcharo son

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
2,651
2,000
.mleta mada wewe umeteuliwa kuwa mwenyekiti wa mtaa upi? mana ni wanufaika tu ndio wanaweza tetea hoja hii
 
prs

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
2,647
2,000
Jiwe alipokuwa anaizungumzia Libya taarifa alikuwa anatoa wapi !!😂
Saddam Hussein.. Nk..

Muhimu ni kutazama hizo tuhuma ni kweli au si kweli..
 
Dozza

Senior Member
Oct 14, 2015
152
250
Katika maisha ya Binadamu kila jambo lina mwisho wake. Hii Dunia iliishapata kuwa na watu mashababi kweli kweli lakini wote imebaki historia. Na nyinyi pia itabaki historia tu. Yote yana Mwisho, jitahidini kutenda mema ili muwe na mwisho mwema.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom