Siasa ya Siyo KaziI: Utasahau tu

Dec 1, 2019
42
13
Moja ya KAZI kubwa ya viongozi ni kuwaletea maendeleo wananchi nao wananchi ni kuandaa mazingira ya maendeleo lakini tunakutana kwenye ni upepo tu utapita au umetaka mwenyewe

Ni muda wa kutafakari wakati wa makinikia walikubaliana nini maana siyo KAZI kuanzishwa viwanda nchini:

Kiwanda cha karanga, korosho, mchicha wa kupaki ukianzisha baada ya wiki tank umesahau kazi yako ni kuangalia watu kwa story na kupata mishahara lakini ukijudge tu siyo kazi

Karibu kwenye Siasa ya Siyo KAZI ili hata kujenga miji Kwa kipindi maalumu isiwe kazi ni muda wetu kuzaliana

#tag Siyo KAZI utasahau tu maana story hii umesahau

 
Nani ataelimisha watu wote!?
Screenshot_20191128-153739.png
 
Dream city = a + b(KAZI ya kulipa fidia) + c(utayari wa wananchi) + d(natakiwa ya viongozi) + e(Gharama za eneo) + f(malighafi) + g(interest za miji mwingine Afrika) + h(mbinu za kutumika) + I(upatikanaji wa FEDHA) + j(Siasa za nyumbani Badoo) + k(jinsia ya kiongozi) + L(kelele za kujenga ili intruder wake) + m(awamu ya viongozi wa Siyo KAZI) +t(msituusishe tutafanya wote mkitaka) + error term

 
Back
Top Bottom