siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa fundeni watu wenu

    Kama Kuna Jambo litakalonipa amani wakati huu wa uchaguzi ni kuona wanasiasa wanajikita kwenye siasa za masuala( politics of issues). Na kweli kiasi unaweza ona wanasiasa cut across wanaeleza issues. Tatizo ninaloliona ni mashabiki wao au wanachama ukipenda. Wengi hawafuatilii issues na naona...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi ni Mlezi wa CCM au Vyama vyote vya Siasa? Maana kwenye Mikutano Mikuu ya Wapinzani haonekani

    Nauliza tu kwa nia njema kwa sababu malezi yana maana pana. Mara ya mwisho nilimuona msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi kwenye mkutano mkuu wa CCM. Baada ya hapo amekuwa akiwakilishwa na msaidizi wake mh Nyahoza katika Mikutano yote ya Vyama vya Upinzani iliyofuatia huku akitoa udhuru...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa akitoa neno katika mkutano mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK)

    Kikao hicho kinafanyika katika Hotel ya Ndekha hapa Manzese Kagera
  4. JamiiForums Tanzania Orodha ya mambo ya uongo na uzushi kwenye siasa za Tanzania

    Hapa tutakua tunaweka mambo ambayo yalivuma mno baadae tukaja kugundua kumbe ni uzushi mtupu.. kwenye siasa zetu za Tanzania... Nitaanza na haya: 1. Riziwani Kikwete akamatwa na madawa huko China. Hili lilivuma hadi watu usiotarajia nao kuchotwa. 2. Sumaye ni bilionea anamiliki hadi kampuni...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea wa CCM "apigwa kipapai" akiwa Jukwaani. Point zayeyuka

    Huyu Binti nadhani naangalia sura za Wajumbe akakumbuka kuwa hapa deni halitalipika na kazi hana tena! Kajikuta akili imegoma, sasa hawa ndio watu wa kwenda kushindana na akina Heche eti CCM acheni masiala aiseeee. Mtu anashindwa kujieleza mbele ya Wajumbe si ndio ataishia kupiga makofi tu...
  6. JamiiForums Tanzania Financial Intelligence Unit (FIU), muwe makini kuna fedha nyingi itatoka zitatoka Ulaya kuja kusaidia kampeni za Chama cha Siasa

    Wasalaam, Jamii Forums. Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu. Fedha kutoka Taifa moja ya Ulaya zinatarajiwa kuingizwa nchini kwa Style ambayo vyombo vya ulinzi na Usalama lazima ziwe makini kwani...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya siasa CCM Mkoa wa Dar, acheni maamuzi ya kuangamiza chama jimbo la Ukonga, mnadhalilisha chama na Uongozi wa juu kwa rushwa!

    Habari wana JF! Ni dhahili kuwa 2020 rushwa ni kigezo kikuu cha kukubalika katika mchakato wa kupata wagombea wa ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (ccm)! Na hili limelalamikiwa na tumelilalamikia tangu mchakato haujaanza , Ila penye udhia penyeza rupia ndio staili. Mwenyekiti wetu mh...
  8. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania yatoa maagizo juu ya uendeshaji wa Fedha za Kigeni

    Benki Kuu imetoa dokezo la kisera (fedha) kudhibiti zaidi upatikanaji wa fedha za kigeni. Sera hii inapunguza upatikanaji wa fedha za kigeni kwa ajili ya miamala ya kimataifa (export revenue) na kitaifa au kuharamisha biashara za fedha za kigeni kuoitia mitandao kwa miezi sita (6) ijayo Katika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa Siasa za Rais Magufuli mtu kama Lissu ndio anafaa kupambana naye. Lissu hana cha kupoteza tena hivyo hana hofu ya kumkabili jino kwa jino

    Lissu ndio hasa kisiki cha mpingo cha kupambana na Jiwe. Hata wapiga kura watakuwa majasiri wa kudai haki yao endapo wataporwa ushindi wao. Wakina Membe na wengineo wampishe Lissu kwa huu Uchaguzi maana hawana uwezo wa kupambana na Siasa za kibabe za jiwe. Lissu hasa ndio pekee anayeweza kwenda...
  10. JamiiForums Tanzania Dhana ya Ubeberu na Siasa za Tanzania

    Amani iwe nanyi wadau! Leo napenda nitoe Elimu kwa watanzania juu ya propaganda za wana CCM kuwa yeyote anayempinga Raisi Magufuli ni kibaraka wa Mabeberu. Wanasema haya wakitaka kujenga picha kwa watanzania ( wadanganyika) kuwa ubeberu ni kama dhambi au jambo fulani ambalo halifai. Najua kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kualika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwenye mikutano yao?

    Nimemuona Sisty Nyahozya kwenye Mkutano Mkuu wa CHADEMA, lakini pia nimemuona kwenye Mkutano Mkuu wa ACT WAZALENDO , huku nimemuona akipewa na Airtime ya kuongea na Wajumbe . Kiukweli nimekwazika sana na uwepo wa mtu huyu kwenye mikutano ya vyama hivi , na wala sina kumbukumbu kama amewahi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuna ulinganifu wa karibu sana kati ya Vyama Tawala vya Siasa na Mafarisayo wa zamani katika nchi nyingi zinazoendelea kwa namna hii

    Ukiangalia historia ya zamani katika kipindi ambacho Wayahudi walikuwa wakiishi chini ya sheria ya Musa, kulikuwa na kikundi cha Mafarisayo ambao walikuwa na namna ya usimamizi juu ya jumuiya ya Wayahudi, pamoja na Sheria ya Musa. Hivyo sheria ya Musa ilikuwa ndio katiba ya taifa la Wayahudi...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni kama Yona/Yunus au Yesu/Issa

    Habarini wana jukwaa hili la siasa na JamiiForums kwa umjula. Mungu aendelee kutupa uzima na afya njema ktk maisha yetu ya kila siku. Niamze kwa kumpongeza kaka yangu Lissu kwa ushindi mnono alioupata kutoka kwa viongozi (wajumbe). Nimeona historia tukufu mbili katika vitabu vitakatifu vya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

    Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Msajili: Vyama vya siasa vyenye lengo la kushirikiana uchaguzi mkuu vimeshachelewa

    Afisa kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama ameeleza kuwa iwapo vyama vinataka kuunda ushirikiano vinapaswa kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu wa vikao rasmi na sio utashi wa viongozi. Ameainisha kuwa muda wa kufanya coallition ni miezi mitatu kabla ya kuanza kwa mchakato wa uchaguzi. Tuwe tunasoma...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

    Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa. Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu haijui vizuri siasa, wamjenge kisaikolojia asije kupata tena maumivu mengine

    TUNDU LISSU akae chini atulize kichwa ajiulize kuwa kwa nini chama hakimpi heshima anayoistahili ya kupita bila kupingwa? Chama kinajua ukweli kuwa Tundu Lissu amepoteza sifa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa nafasi yoyote ya kisiasa kwa kukiaka masharti ya watumishi wa umma baada ya kuvuliwa...
  18. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa ushirikiano wa vyama vya siasa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

    UMUHIMU WA USHIRIKIANO WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2020. Maaskofu katika DR Congo walitoa mchango mkubwa sana katika kuifanya ya DRC kuwa na utulivu kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu. Ushiriki wao katika kuyaunganisha makundi au vyama ndani ya DRC hauwezi kusahaulika...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Siasa yetu imekuwa nyepesi sana, hata kuku tu anakuwa mjadala mpaka ngazi ya kitaifa!

    Inawezekana hii ni mojawapo ya sababu ya kujitokeza mamia ya watia nia kwenye kura za maoni kwenye kiti cha mgombea urais 2015, urais Z'bar 2020 na ubunge 2020, sio kukua kwa demokrasia kama inavyodaiwa na viongozi mbali mbali wa CCM. Je, tunafikiri viongozi watangulizi walikuwa hawapewi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Wanataka kuufuta Mfuko wa wafanyakazi wa WFC, hivi Serikali haioni hata aibu?

    Wewe ni Waziri mzuri ndiyo. Unajitahidi kufanya kazi zako vizuri - hulali usiku na mchana ndiyo maana ukafanikiwa hadi kuifukuza corona. nchini mwetu. Uko vizuri sana. Mwanzoni mwa juma lililopita Tarehe 21 Julai 2020 baba mdogo wangu anayefanya kazi mgodini akawa ananipiga stori kuwa Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…