siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Clever505

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani kwenye kampeni wazunguke na vijijini, vinginevyo Urais watausikia na kuhisi wanaibiwa kura

    Mimi ni Mwananchi niishie Dodoma katika walaya ya Mpwapwa, nakaa kijijini naweza kupaita porini kabisa. Tumeishi miaka yote bila huduma muhimu kama maji na umeme ambapo maji tumekuwa tukiyapata mbali visimani. Tangu aingie madarakani JPM ameweza kusimamia vizuri ambapo umeme pamoja na maji vipo...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tujifunze kufanya siasa za kistaarabu bila kukomoana

    Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana. Mfano kabla ya tarehe 25 August, ukipita mitandao ya kijamii kulikuwa na mtifuano juu ya kilichoitwa kufanya kampeni kabla ya wakati. Hili lilifikia wakati watu wengi tukasema kama ni kweli...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuzuia mikutano kwa miaka 5 kumeleta CCM kuwa butu kwenye Siasa

    Mimi kama Mtanzania nashangazwa na viongozi wa CCM wa kisasa kuwa butu kiasi hiki. Wakati wa Kinana walikuwa wazuri kujibu hoja, kuongea na wananchi na kupiga kampeni. Ukiangalia vizuri viongozi wa CCM ni kama wamezubaa ukilinganisha na Lissu, Membe, Zitto au Lipumba. Hii ni kwa sababu kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mara ya kwanza watanzania tunashuhudia Chama cha Siasa chenye mgombea Urais 100% Kibaraka

    Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo. Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Falsafa za Yesu ni ngumu sana kwenye siasa

    Wakuu Nimejaribu kufikiria baadhi ya falsafa za Yesu wa Nazareth katika uwanja wa Siasa, Nimegundua ni ngumu mno, na hazitekelezeki kwa wengi wetu. Embu fikiria falsafa hii " Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi" Yesu wa Galilaya " Akunyang'anyaye mshipi, muachie na joho" Yesu wa...
  7. Titicomb

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

    Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC. Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe kusema No Lissu, No Election ni dharau kwa Vyama vingine vya Siasa

    Ndugu zangu, Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa nipa siku hii ya leo. In a nutshell, Post ya Mh. Mbowe kwenye twitter ni matusi kwa vyama vingine vya siasa nakuviona ni second class political parties. Kwani uchaguzi huu ni CCM vs CHADEMA? Mbowe amekuwa msemaji wa Vyama vingine vya Siasa...
  9. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa siasa katika taasisi za soka: Wakati umewadia sasa kwa FIFA kushusha rungu lake kwa vilabu vya Yanga na Simba

    Wewe ni mwekezaji tuu, na unahisa sizizozidi 49% hivyo Simba haiwezi kuwa Mali yako completely na kufanya utakalo bila ridhaa ya wengine. Nani kakutuma umpigie kampeni Magufuli katika shughuli rasmi za club bila ridhaa ya wanachama? Club yetu haina itikadi ya kisiasa wala kidini hivyo ukome na...
  10. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania MO Dewji akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa FIFA Gianni Infantino, amkabidhi jezi ya Simba SC

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohammed Dewji 'MO' amekutana na kuzungumza na Rais wa Shirikisho la Soka duniani FIFA Gianni Infantino kuhusu masuala ya maendeleo ya mpira wa miguu hususan barani Afrika. Baada ya mazungumzo hayo MO Dewji amemkabidhi jezi ya Simba SC ambayo...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakimbizi wanaojishughulisha na Siasa makambini wapewa onyo

    Serikali imewataka wakimbizi waliopo nchini kuacha kujihusisha na harakati za kisiasa katika makazi ya wakimbizi yaliyoko katika maeneo mbalimbali nchini na kwamba wanapaswa kuishi kwa kuzingatia sheria za nchi. Onyo hilo lilitolewa jana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene...
  12. lembu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli Ndie Mesiah wa Tanzania, Tumpe Kura Nyingi Oktoba 2020

    Mathayo 11:2-26 Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah anayekuja, au tumngoje mwingine?” Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

    Tupo Tayari Hatimaye ile sikukuu kubwa la kisoka Africa inafika kileleni leo katika viwanja vikubwa viwili Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru. Tutakuwa hapa kuwapa updates ya matukio na mechi kali kati ya Simba SC Vs Vital O Magoli yote ya Simba Onyo Nitakuwa wa mwisho kutomuunga mkono Mo...
  14. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, amewaomba viongozi wa dini kukemea baadhi ya maneno yanayotamkwa na wanasiasa badala ya kukaa kimya

    Ametoa ombi hilo leo Agosti 22, 2020 akiwa anaongea na viongozi wa dini visiwani Zanzibar, kuhusuiana na suala la amani, katika kipindi chote cha uchaguzi ambapo amesema viongozi wa dini ni moja ya wadau wa amani nchini. "Niwaombe sana kwasababu mnasikia baadhi ya maneno yanayotamkwa na baadhi...
  15. tzkwanza

    JamiiForums Tanzania CCM, siasa za visasi hazifai kamwe

    Kuna watu wamekatwa majina kwa sababu tu ni marafiki wa Membe. Sasa hivi CCM hata uhuru wa kuongea na mtu asiyepatana na mwenyekiti haupo. Taifa linakwenda wapi? Kuna watu walitoa rushwa hadharani kama Kingwangala, Waitara na Gambo ila majina yamepitishwa. Kuna wengine wamekatwa kwa kisingizio...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Siasa isituharibie elimu yetu

    Kumekuwa na jitihada nyingi wakati wa uchaguzi wanasiasa kutaka kuonesha walivyofanya maajabu, ubaya nipale yanapotengenezwa mambo kinguvu ili kusadifu matakwa ya wanasiasa. Tunakumbuka 2013 matokeo ya K IV yalinogeshwa ili BRN (big results now) ionekane imeleta output kubwa enzi hiyo. Hivi...
  17. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mchungaji/Askofu/Mwinjilisti anapoingia kwenye siasa za Vyama vingi Mungu anamfuta siku hiyo hiyo katika utume?

    Siku Paulo anaitwa kuwa mpleka injili Mungu alimtambulisha kwa anania kama "CHOMBO CHANGU KITEULE NILICHOKICHAGUA ILI APATE KULICHUKUA JINA LANGU KWA MATAIFA NA WAFALME" Matendo 9:15 Pia ukisoma Isaya 49, Utagundua MTUMISHI wa Mungu ni cheo kikubwa kuliko wafalme na marais. Anasema hapo...
  18. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwaheri vita dhidi ya rushwa, Kwaheri Siasa safi, kwaheri Ukweli

    Asalam, Mbiu zilipigwa, Kelele zilisikika, Wazalenda wakasema Sasa huu Ni mkuki wa mwisho kwa Adui Rushwa. Msamiati wa kukata ukatamalaki, Mwenezi Polepole akafoka, kila alipopita akaonekana mbabe, mwenye nguvu, kuliko Hata Katibu Mkuu Kakurwa Bashiru. Watia nia walimuogopa, alionekana Hana...
  19. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Miujiza ya Mungu kwa Tundu Lissu, COVID-19 na Siasa za Tanzania yetu

    Wanajamvi, Kwanza kabisa, niseme kama COVID-19 ingekuwa mbaya Tanzania, Lissu asingepata huu umati wa ajabu wenye Watanzania wenye hamasa ambayo sidhani kama nimeshawahi kuiona kwenye siasa za Tanzania. Hili ni la kumshukuru Mungu! Amejibu maombi kwa namna ya ajabu kabisa! Amejibu maombi kwa...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro ana wajibu wa kutueleza Chama cha Siasa kilichopanga kuchoma vituo vya kuuza mafuta Nchini

    Leo IGP Simon Sirro katika taarifa yake kwenye kikao chake na NEC ameeleza umma kuwa kipo Chama cha Siasa kilichopanga kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020 kwa kupanga kuchoma vituo vya kuuza mafuta aina ya diesel na petrol nchini. Kwa kuzingatia cheo alicho nacho kwa nchi, hizi mi tuhuma...
Back
Top Bottom