siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Ushauri: CCM kwa kushirikiana na vyombo vya dola, viweke mkakati kuaminisha umma kuwa siasa si jambo zuri,na wapinzani hawaaminiki

    Pamoja na kwamba tayari mkakati umeshaanza kufanya kazi, nashauri uimarishwe. Lengo kuu iwe kuaminisha umma kwamba shughuli ya siasa si nzuri, ni ya kupoteza muda tu na inaweza kumuharibia mtu maisha. Lengo kuu ni kuondoa kundi kubwa la watu, hasa watumishi wa umma na wafanyabiashara na wasomi...
  2. I

    CHADEMA chama bora cha siasa Afrika

    Chama cha demokrasia, CHADEMA, kinabaki na kinaendelea kuwa moja ya vyama bora cha siasa Afrika. ni chama pekee japo hakikushika dola bado, kinakidhi matakwa ya umma na kikatiba ya kuiongoza nchi. Chama hichi ni mpango wa Mungu. japo wale walioko madarakani wamekuwa wakikisakama Chama hichi kwa...
  3. Wanaojenga hoja kuhusu Matumizi ya ruzuku kwenye vyama vya siasa wasikilizwe, ni fedha za walipa kodi lazima wajue zinavyotumika

    Nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali inayohusu matumizi ya fedha za ruzuku kwenye vyama vya siasa. Wapo wanaosema kwamba fedha hizo ni jukumu la chama husika kupanga bajeti ya matumizi na haipaswa mtu mwingine kuhoji wala kujua matumizi yake, na lipo kundi la pili linalosema kwamba...
  4. Tusikwepe wajibu wetu katika jamii yetu

    Kuna watu wengi wanakwepa majukumu yao katika jamii yetu kwa kisingizio kuwa haya au hayo ni mambo ya kisiasa. Binafisi huwa ninawaza watu hawa uelewa wao wa mambo ni mdogo sana au wameamua kwa makusudi wawe vipofu? Tuelewane kidogo iko hivi siasa ndiyo inaendesha kila kitu katika maisha yetu...
  5. J

    Prof. Patrick Lumumba: Tanzania chama cha siasa ni CCM tu hivyo vingine ni vikundi vya wanaharakati visivyo na Filosofia wala Falsafa

    Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa. Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao...
  6. T

    Kabla sijaacha kazi nilishiriki siasa na niliona makosa ya wazi kabisa!

    Katika nafasi yangu kuna wakati nilitakiwa kutoa taarifa mbalimbali ili kusifia ufanisi wa Serikali. Kuna wakati tulikuwa tunaona kabisa hamna ufanisi lakini tulipaswa kusifu tu. Kuna siku wakaguzi Wizara ya Fedha walikuja kukagua mradi ambao tulikuwa tunautekeleza kwa fedha zao. Katika mradi...
  7. N

    Air Tanzania Haiwezi Kuendelea Ikiendelea na Siasa

    Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
  8. Live from EA Radio Super Breakfast: Mtangaza Nia Urais wa JMT Kupitia Chadema, Dr. Mayrose Majinge Yuko Live, Mubashara

    Wanabodi, Wenye access fuatilieni hii Wanabodi, kiukweli huwa nasikiza Radio asubuhi mara chache sana, niwapo njiani kwenye gari, na station ninayosikilizaga sio EA Radio, lakini leo nimeamua kuisikiliza hii Redio Redio baada tuu ya kuona hili tangazo ili nimsikie huyu dada. Watangazaji...
  9. Freeman Mbowe: Kiongozi wa Chama cha siasa kutokea Afrika anayeheshimika zaidi Duniani

    Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia. Huyu ndio Mwanasiasa...
  10. J

    Mikutano ya siasa ikiruhusiwa Chadema mtawahutubia nani na wafuasi wenu wamewakimbia?

    Baada ya kupata pilau ya uhakika kwa jirani yangu ambaye ni mfuasi wa ACT wazalendo na kuzungumza mawili matatu nimejiridhisha siasa siyo Uadui. Ila bado najiuliza kama mikutano ya kisiasa ikiruhusiwa watani zangu wa Ufipa watapata wafuasi kweli? Kwanza hao watu wataenda kumsikiliza nani...
  11. Eddo Kumwembe, achana na siasa ndugu, itakugharimu!

    Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu. Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B. Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara...
  12. Vijana wanasiasa wajifunze kwa nguri wa siasa Lowassa

    VIJANA WANASIASA WAJIFUNZE KWA NGURI WA SIASA LOWASA Kizazi cha kina lowasa na wenzake kama kina JK,Kinana, Mangula etc ni kizazi kilicho anza siasa enzi za Nyerere wakati huo ilikua muhimu kwenda jeshini, kusoma chou cha siasa kivukoni, kushika madaraka ya serikali toka ngazi za chini ndipo...
  13. Madereva Watanzania wana Corona zaidi ya Kenya? Siasa au Ukweli?

    Inawezekana vipi Tanzania kuwa na maambukizi mengi kiasi hiki na bado watu wakawa wazima? Je, no mbinu za kibiashara? Au mabeberu wapo kazini?
  14. Tumsadie Lijualikali na wengine kuzijua Katiba za Vyama vya Siasa

    Hii ni katiba ya CHADEMA kila anayejiunga na chama hiki nikuwa amesoma ameikubali, na unapochukua fomu ya kugombea uongozi ni lazima unakuwa uneikubali kwanza Katiba ya Chama. Sasa kelele za Lijualikali hazina maana zaidi ni propaganda za waliomrubuni asaliti chama tu na mkumbuke Lijualikali...
  15. J

    David Silinde: Nilivutiwa sana na aina ya siasa za Dkt. Slaa na Zitto Kabwe ndipo nikajiunga CHADEMA

    Mbunge wa Momba mh David Silinde yuko mubashara Star tv katika kipindi cha medani za siasa akizungumzia sintofahamu ya uanachama wake ndani ya Chadema. Up dates; Silinde amesema yeye siyo mwanaharakati hata Mbowe analijua hilo na kwamba yeye na Zitto ni marafiki lakini baadhi ya viongozi...
  16. U

    WHO wanaposisitiza nchi zitoe takwimu badala ya dawa ya Corona nayo ni Siasa ya Dunia

    Kwa level ambayo dunia imefikia kwa sasa sio rahisi kuamini kwamba hadi sasa dunia imeshindwa kupata dawa au njia sahihi ya kuthibiti kirusi cha Corona. Ikumbukwe kuwa jamii ya kirusi hiki kipo tangu siku nyingi kitu kinacholeta ukweli kwamba tayari wanasayansi walikwishafanyia utafiti siku...
  17. B

    Kauli ya mwana siasa huyu huwa nikiikumbuka nafurahi sana

    "Ukifanya fujo, umeambiwa usifanye hiki ukaamua wewe kukaidi utapigwa tu maana hakuna namna nyingine wote lazima tukubaliane nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya sheria sasa kama wewe unakaidi, hutaki unaona kwamba ni imara zaidi, wewe ndie jeuri zaidi watakupiga tu na mimi nasema muwapige tu...
  18. S

    Siasa za Tanzania za vyama vyote zimefikia hali mbaya sana ya chuki, ubabe, kukomoana, kusalitiana, kutukanana, kudharauliana na hata kuuana!

    Hali ya siasa za Tanzania ni ya kutisha sana, na vyama vyote vya siasa vina hatia, CCM kama chama tawala na vyama vya upinzani. Imefikia mahali ambapo kuna chuki, ubabe, kukomoana, kusalitiana, kutukanana, kudharauliana na hata kuuana, sio tu kati ya chama tawala na vyama vya upinzani, bali pia...
  19. Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  20. CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

    AFRIKA CDC: VIPIMO VYA #CORONAVIRUS VINAVYOTUMIKA TANZANIA VINAFANYA KAZI VIZURI Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Afrika CDC) amenukuliwa na Reuters akipinga madai ya Rais Magufuli kuwa huenda vipimo vya #CoronaVirus nchini vina shida ya kiufundi Dkt. John Nkengasong...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…