Washukiwa wawili wamekamatwa baada ya kukashifiwa kwa kumuua mwalimu wa shule ya msingi kaunti ya Kitui
Wawili hao wanazuiliwa huku uchunguzi ukifanywa dhidi yao
Wambua Mwangangi na Chris Kyalo Muli wanasemekana kumuua mwalimu huyo baada ya shule yake kutoa matokeo mabaya katika mtihani wa...
Great Thinkers,
Nakumbuka enzi zetu heshima ilikuwa kusoma shule za serikali.
Pamoja na uwepo wa shule za binafsi, wazazi wenye uwezo walihangaika kuhonga watoto wao wasome shule za serikali.
Kwenye shule hizi za serikali, tulilima bustani za mchicha, tulijifunza ufugaji, tulifanya kazi za...
Kuna post nyingi kuhusu kutafuta shule ninaamini ni jambo muhimu kwa kila mzazi.
Ningependa uzi huu ndio uwe kimbilio la wengi kama unafahamu shule yoyote nzuri mkoa wowote mwaga sera zake hapa ada zake, mgawanyiko wa ulipaji.
Mimi ningependa kufahamu shule nzuri kwa watoto kuanzia miaka...
Kengele imepigwa, muhula umeanza vituko vya zima moto kwenye elimu za watoto wa wanaoitwa masikini navyo vimeanza. ni viroja alimuradi kura zipatikane hata kwa kukwiba hapo 2020.
kuna ambao wamechaguliwa kujiunga na masomo ya sekondary lakini hawajulikani walipo, sijui taarifa za...
Kamati ya shule ya msingi ya Kibasila wilayani Temeke, imelalamikia wanafunzi zaidi ya 1,900 wa shule za msingi na sekondari mpya kutumia matundu sita ya vyoo yenye hali mbaya
Heri ya mwaka mpya kwa wote!
Msaada mwenye kujua shule ya private, iwe ya kulala huko, mchepuo CBG kidato cha tano.
Nina ndugu anahitaji kuhamia katika shule yenye vigezo tajwa hapo juu. Mwenye uelewa tujuzane, jina la shule, gharama zake ikiwezekana na mawasiliano yake.
Mwanafunzi ni jinsia...
Katika kipindi hiki cha watu na taasisi mbalimbali kutakiwa kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi ukwepaji wa kulipa kodi bado upo na ni muhimu kuangaliwa kwa makini
Mfano shule ya msingi au sekondari kuwa na akaunti mbili tofauti inawezekana kabisa wakati wa auditing akaunti moja ikawa inakaguliwa...
Sifa
1.Uwezo wa kujieleza na kumshawishi mtu
2. Mbunifu katika kuteka soko na mwenye uwezo wakutumia mitandao pia katika kufikia watu wengi zaidi kwa mda mfupi
3. Mwenye uwezo wakufanya kazi yenye matokeo kwa uaminifu mkubwa na bila usimamizi
4. Elimu kuanzia kidato cha nne nakuendelea
5. Wadada...
Wanabodi mimi ni mwalim wa masomo ya Biology na Chemistry!nimeajiriwa na serekali takribani miaka saba imepita!!Nataka nifundishe shule za private zenye mshahara mnono!!!Nina shahada ya sayansi katika elimu kutoka UDSM-DUCE!
Kama ni walimu wote wamesoma chuo kimoja na wale wa private lakini matokeo tofauti. Tatizo liko wapi? Nashangaa sana jambo hili watoto wanafeli hakuna mfano.
Mwalimu anafundisha Primary lakini mtoto wake yupo shule private, Mwalimu mwingine anafundisha Secondary lakini mtoto wake anasoma Feza...
Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa.
Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium.
Wanafiki wakubwa nyie msio na haya
Hizi ndizo...
Ni muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza hili swali, haswa ninapokuwa na kijana Wangu mdogo wa kiume mwenye umri wa miaka kumi.
Kuna wakati tupo sebuleni tunasikiliza Redio au TV, na habari inayosikika ni kuhusu Mtoto aliyelawitiwa, Binti aliyepewa mimba, Mwanamke aliyebakwa n.k.
Hapa huwa...
Ndugu Rashid Dalai, mmiliki wa shule ya kiislamu ya Zam zam iliyopo Dodoma na pia Mkurugenzi wa taasisi ya Islamic Foundation amekutwa amekufa ndani ya ofisi yake iliyopo ktk jengo moja na ofisi za Magazeti ya Serikali (Habari leo na Daily News) hapa Dodoma mjini maeneo ya Nyerere Square (karibu...
Wanajamvi habari za mapumziko.
Nikiri kwamba mimi nilisoma Mlimani, naumia sana nikisikia serikali hii inayonunua mindege inashindwa kuwakopesha wanafunzi kwa wakati.
Nikiri kwamba nilikuwepo na niligoma na kuandamana haswa pale mwaka 2004, serikali ya srlikali ya CCM chini ya Mzee Mkapa...
Habar zenu ndugu zangu.
Me naishi na binti yangu, amemaliza kidato cha NNE mwaka 2017. matokeo yake akawa na C1 na D2, ambay ni kiswahili C na eng/islamic, akawa na D mengine yote aliferi, akarudia mwaka jana masom yot kasoro islamic na kiswahili na akapata C ya eng, na mengne akafel tena...
Habarini wanajanvi,
Mwanangu amechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule ya secondary Morogoro. Natamani nimuhamishe kumpeleka shule ya secondary ya boarding ya serikali yenye ufaulu mzuri ambayo wanaweza kumconsider kulingana na ufaulu wake wa Std 7. Kuhusu Ufaulu wake ni kama...
Mkuu wa mkoa Kagera Brigedia Marco Elisha Gaguti amemuagiza Kamanda wa polisi mkoani humo Revocatus Malimi kuwakamata na kuwaweka ndani mara moja Mkandarasi wa Manispaa ya Bukoba, Mkandarasi wa Kampuni ya Mzinga Holding Company ambaye pia ni msimamizi wa ukarabati wa Shule ya Sekondari...
Hebu tafakari hili, unatembea mjini halafu upite karibu na nyumba inayolindwa na simba wala sio mbwa.
Hiyo ndio hali waliokumbana nayo wakazi mjini Lagos, Nigeria baada ya mmiliki wa nyumba moja kuamua kutumia simba kama mlinzi.
Simba huyo wa miaka miwili aliripotiwa kuonekana katika nyumba...
Wadau wa elimu naomba msaada.
Ni sahihi Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?
Mwanangu kaja na kunisimulia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.