Swali: Je, wakati huu wa maombolezo, kazi na shule zinafanya kazi kama kawaida?

moneymakerman

Member
Jan 20, 2014
93
230
Poleni sana Watanzania wenzangu na msiba mzito. Nataka kujuzwa kama kazi za kiserikali, mashule na biashara zitafanya kama kawaida ama ni tofauti ya hapo kutokana na huu msiba wa Rais wetu?

Asanteni.
 
Wametangaza ni maombolezo sio mapumziko. Kwa hiyo kila kitu kinaendelea
 
Back
Top Bottom